Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ngoja ntajibu baadae, na ntajibu hapahapa public[emoji1787][emoji1787]Ni unajibu tu!
Marehemu Mkapa alipokuwa Mr Clean alipoapishwa alitutangazia mali zake ikiwemo nyumba,magari na mashamba lakini alipotoka hakututajia tena.Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.
Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini, Mheshimiwa Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA baadae kubadilishiwa sekta, watumishi hao ambao Rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi. Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.
Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi, nashawishika kusema kuwa Rais Magufuli ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Mimi simpendi wala simchukii,nipo huru napoona kafanya zuri kwa mtazamo wangu naeleza hilo jambo kuwa ni zuri na pia napoona upungufu pia nasema na ndio maana utaona hata humu nimeeleza mapungufu yake.Naruhusiwa kumchukia kama wewe unavyompenda
Unanilazimisha nimpende?
Mbona wewe unampenda unaongelea mazuri yake kila siku?
Mimi namchukia naongelea mabaya yake na mapungufu yake kila siku,mazuri tayari watu wa kuyaongelea mpo
Na mabaya huna haja ya kuyasema waongeleaji hayo mabaya tupo..
Team ziko mbili,kila mtu aheshimu upande wa mwenzie....
Thanks ma nigga!
Sidhani kama utaweza, ngoja tuone! Ila nimehisi tu una kauzoefu humu. Haya tuendelee kujadili marupurupu ya mkulu[emoji39][emoji39]Daah ngoja ntajibu baadae, na ntajibu hapahapa public[emoji1787][emoji1787]
Tutakupa urais wa jamii forums.Uamuzi ni wenu waTZ mtanipa urais wawapi
Haya marupurupu hayakusaidii kitu mkuu, yatakupa stress tu, tafuta helaSidhani kama utaweza, ngoja tuone! Ila nimehisi tu una kauzoefu humu. Haya tuendelee kujadili marupurupu ya mkulu[emoji39][emoji39]
Hata nikitafuta vipi, 9m kwa mwezi sitafika. Naomba niwe mpole katika hili, niendelee kujadili nisiyoyaweza.. hahaha!Haya marupurupu hayakusaidii kitu mkuu, yatakupa stress tu, tafuta hela
Kwa kweli, maana wanatuhadaa kwa.kutaja mishahara yao pasipo kuwela wazi other benefits ili tupimeHata nikitafuta vipi, 9m kwa mwezi sitafika. Naomba niwe mpole katika hili, niendelee kujadili nisiyoyaweza.. hahaha!
Yeah!!Kwa kweli, maana wanatuhadaa kwa.kutaja mishahara yao pasipo kuwela wazi other benefits ili tupime
Haya na Yule 'Mbelgiji Mweusi' nae atuambie au atuweke wazi hao 'Mabeberu' wake wa Kijerumani, Kimarekani na Kibeleshi wanamlipa Kiasi gani?Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12....
Naunga mkono hoja yako kwa 100%Rais mzuri hapimwi kwa yeye kutaja mshahara wake!
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu ni wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeHaya na Yule 'Mbelgiji Mweusi' nae atuambie au atuweke wazi hao 'Mabeberu' wake wa Kijerumani, Kimarekani na Kibeleshi wanamlipa Kiasi gani?
Mabaya ni mengi kuliko mazuri ingawa mabaya mengi huwanufaisha wale waotumwa kuyatekeleza na hao ndiyo hupiga kelele kwani uwepo wa mabaya ni manufaa kwao, Mfano kuwabambikia kesi wapinzani au ununuzi wa covid 19 kwenye kesi kuna Rushwa na kwenye ununuzi kuna 10% wanufaika wa mabaya huwa hawataki mtukufu akosolewe kwani akiacha mabaya watakosa pa kupiga pesa.Mimi simpendi wala simchukii,nipo huru napoona kafanya zuri kwa mtazamo wangu naeleza hilo jambo kuwa ni zuri na pia napoona upungufu pia nasema na ndio maana utaona hata humu nimeeleza mapungufu yake...
Bado tu unatamani Mimi niwe 'Mume' wako kama ambavyo umekuwa ukitaka hivyo na 'Kunisumbua' mara kwa mara Maji Mafupi kule nje ya hapa?Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium? CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu ni wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
Sikulazimishi kunielewa,muhimu umekubali tu kuwa kweli una chuki na umeshindwa kutenganisha kati ya chuki na kukosoa sasa kwa hali hiyo lazima ushindwe kunielewa navyosema simchukii wala simpendi. Wewe haupo huru unachoeleza humu si kukosoa bali ni chuki na mwenye umekubali. Sasa tofauti mimi sina chuki nae hivyo nikikosoa nakosoa kwa sababu naona hilo jambo halipo sawa na nikipongeza napongeza kwa sababu naona ni jambo zuri haina maana nampenda. Sasa wewe unataka kusema et haiwezekani mtu kupongeza na kukosoa kwamba lazima mtu awe na chuki au mapenzi.Hakuna kitu kama hicho eti nipo huru....
Upo huru maana yake in short unampenda....
Unampinga pale in apokua convenient kwako
Hua kuna pande mbili kitu..hakuna kitu kinaitwa neutral side!
Acha blah blah mzee...Hakuna neutral side,kadanganye wanao huko!
Kwahiyo wewe unasema upande wenye haki ni upi?Huo Neutral uliochagua,au upande wa Kumpenda au upande wa Kumchukia?
Upande upi ni una moral authority zaidi wa yeyote?
Haiwezekani eti mtu wa Neutral side amkoromee mtu wa Kumchukia side huku anamuacha wa upande wa Kumpenda side hamkaripii lolote!
Maana ni kwamba Neutral Side yupo upande wa Kumpenda Side ndio maana wale wa Kumpenda Side hujawakosoa hata kidogo,umenikosoa mimi wa Kumchukia Side
Halafu upo hapa kunidanganya eti upo Neutral Side,go to hell with all your lies!
Lies,lies,lies.....
Baba wa uongo wa kunidanganya hapa eti upo Neutral Side,kwanini unaonesha kutuchukia sisi wa Kuchukia Side only unawaacha wa Kupenda Side pekee yao huwagusi?
Maana yake unapenda upande wa Kupenda Side pia,huna Neutrality yeyote wewe jambazi!
Kadanganye matoto huko wewe..stop this nonsense!