chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Lakini tujiulize, baada ya watu kupotea, baadhi ya watu utoa sababu uenda zilisababishwa kupotea kwao, na sababu ni mkwaruzano na wakubwa, tafakari kila mmoja na sababu yake, mfano Roma- wimbo, lisu ukosoaji, sanane, anzori, n.k. sasa sababu zinatolewa humu humu jf. Sasa tusema nani? Au tuitimishe vipi? Sababu za kisiasa tuseme ugomvi wa mapenzi?Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Kwa Nini Mpwa???
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
Mpaka siku akitekwa mtu wako wa karibu ndipo utakapoacha kubwabwaja hapa.Unless uwe na PhD ya unafiki!Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
Vyombo vyetu either vinajichafua vyenyewe kwa kushindwa kufanya majukumu yake au huyo anae toa maagizo toka juu ndo anavichafuaHapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Huyu ni ccm ni mwenzetu, ulipaswa utuletee wa CHADEMA ndio tungemfanyia kazi.Huyu hapa Ally Mwandoje mwaka jana aliandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa:
Kinachoshanganza zaidi ni kuona upuuzi huu unatamalaki kipindi hiki ambacho kiongozi wa malaika mtarajiwa ndo rais watanzania.Hao malaika sina hakika kama wanaweza kuwa wa Mungu sana sana labda ni wa Gomboshi au milima ya uluguruNi sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu alisukumiziwa huko so sina hakika kama anajua wajibu wakeMbona waliopotea na kurudi kumekuwa na ukakasi walikuwa wapi?Halafu jukumu la Ulinzi na usalama wa Watanzania ni lako wewe Amiri Jeshi Mkuu.Sasa kama hivyo vitendo havikomeshwi nani wa kulaumiwa kama sio wewe?
Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
bora umenena hayo mkuu wa nchi yetu,mwenye ufaham na watekaji akatolee ushahidi mahakamani
Na majimama ya siku hizi yalivyo na nguvu kuliko serikali yetu tukufu?Huoni yanavyofungia watu mpaka ndugu na jamaa wanakataa tamaa kwamba ndugu yao kishakufaMama yako anaweza akaisaidia polisi kwa maelezo yake kama lini alikuona wewe mara ya mwisho? Ulivaa nguo gani? Uliondoka katika mazingira gani? Nakadhalika na kadhalika. Alafu wao wanaendelea zaidi mpaka upatikane au uachiwe huru na huyo lijimama wako.
Sent using Jamii Forums mobile app