Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

Hilo gawio ni la mtaji huo mdogo,mtaji ukiwa mkubwa gawio litakuwa kubwa
Ila mtaji ukiwa mdogo huwezi kufanya expansio kubwa kama kuongeza mitambo n.k
...Mkuu, acheni kutetea Watu! Hivi unajua kuwa TTCL ndio yenye infrancture kubwa kuliko kampuni zote za Mawasiliano nchi lakini bado haifikii Voda, Airtel na Tigo kwa mapato!
Tatizo ni nini Unadhani?

Kubali tu ukiambiwa kuwa huku kutoa Gawio kwa Serikali ilikuwa ni Siasa tu ili MTU ajilinde!

Nitajie Kampuni Moja tu nchini ambayo imeishafutwa na kuvunjwa kwa kuchelewesha gawio LA serikali?
Walikuwa na haraka ama Dharura gani ya kutoa Gawio?

Si wangeomba muda ili Gawio litumike katika kuboresha ' Infrakcha' ili hatimaye kuleta Gawio kubwa zaidi?

TTCL imekwama na haisogei mbele kutokana na mawazo ya Kihenga kutoka kwa Wafanyakazi Wahenga wa Kampuni hiyo!

Hii inanikumbusha mno kuhusu alichopata kuandika Mdau mmoja wa iliyokuwa Kampuni yetu ya Ndege ya Wakati huo ya ATC Mzazi wa huyu ATCL.

Alisema kuwa anapopanda ndege za ATC alikuwa hana amani maana kuna wakati alikuwa anajikuta anahudumiwa na Air Hostess MTU mzima kiasi cha Mdau kujiuliza amuamkie 'Salamu Dada!' ama ' Shikamoo Mama!'

Ndivyo TTCL yetu ilivyo Sasa....

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Gawio ni jambo la kumpongeza mkuu, zaidi ya miaka 17 TTCL haikuwai kutoa gawio lakini kupitia DG Kindamba TTCL imefanikiwa kutoa gawio. kwa kweli ni jambo la kumsifia
..Mkuu, Unatoa Gawio huku ukijua kuwe we we ni Masulupwete na Unahitaji kufanya Update ya Mitambo yako ili kuwezesha kupata Gawio kubwa Zaidi??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Tunashukuru kwa ushauri wako.
...Ninaona kuwa TTCL Costumer Care amechungulia tu humu kidogo na Kuishia..
Ninatumaini kuwa atarejea kuchungulia tena..
Ninaomba kueleza Ushuhuda wangu mwenyewe kuhudu Uhafifu wa Huduma za TTCL ambazo nyingine ni kwa Mfanyakazi tu Husika wa TTCL kukubali kutumia hats Nusu SAA tu Tatizo na linaisha, lakini waapii, Ubunifu Ziro kabisa...

Ninatoa mfano wa No yangu ya Vodacom
Ninaweza kununua kifurushi kupitia Menu ya MPesa *150*00# na kupata kifurushi ninachohitaji.
Ninaweza kununua pia kifurushi hicho kwa kutumia menu ya Huduma kwa Wateja ya *149*01# na malipo ya kifurushi ninachohitaji ninaunganishwa Moja kwa Moja na Mpesa na malipo yanafanykka juu kwa juu na ninapata kifurushi change Vila azizi.
Kwa TTCL hili haliwezekani. Ni lazima manunuzi yote ya Kifurushi yafanyike thru TPesa!
Ukipitia Menu ya Huduma yao kwa Wateja *148*30# na ukachagua kifurushi cha kununua, huwezi kukinunu kwa Pesa yako ili TPesa na unapata ujumbe kwamba transaction yako imeshindikana....hata kama una Mamilioni kwenye TPesa yako!
Kifurushi utakipata tu kama una Airtime ama una vocha!
Hili kwa mfano linahitaji nini ili Mteja kuwezeshwa kununua kifurushi chake kupitia *150*71# ama *148*30#...???



Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Tumesikia malalamiko yako mkuu.
 
Namba hazidanganyi,

Kindamba kaikuta TTCL mahututi mbapaka sasa inatoa gawio serikalini. Tatizo kuu lilikua ni mtaji na hakupewa,anafanya maboresho kutokana na mtaji mdogo uliopo,hata awekwe mwingine hataweza kufanya zaidi ya huyu Kindamba.

Hakuna lolote....unaongea siasa tu....mimi niliomba uwakala wa TPESA Dodoma tangu mwezi June mwaka jana wamenizungusha mpaka nimekuwa mpole.....huduma kwa wateja ni mbovu balaa.....nilikwenda kurenew line mbili za simu ya Voda na TTCL ....ya voda jamaa akamaliza kila kitu pale pale ikiwemo police report kwa 5,000 nikatumia dk 5....lakini kwenda TTCL nikambiwa niende polisi kwanza ambako kuna foleni ya kufa mtu....nikaachana nayo nikawaambia waifunge tu pamoja na kuwa kuna salio la kutosha.....Hawa jamaa bado wanafanya biashara kama roboti ,kizamani sana
 

Hapa nilipo ni mjini lakini internet mbovu kabisa
 
Zamamni kabla sijanunua line yao nilikuwa nafikiri inapatikana nchi nzima......sasa kumbe bure kabisa...sijui wanakwama wapi hawa jamaa
 
Mkuu, unapatikana wapi?
Nipo tayari kukusaidia.
 
Pole sana.
Naomba nikusaidie?
Mimi Ni mwanafunzi, nilikuwa natumia boom pack nikalazimika ku renew SIM card na ndiyo ikawa MWISHO wa vifurushi vya mwanachuo. Napiga simu customer care Mara zote tano kwa siku tofauti haipokekewi nikaamua kuipumzisha hiyo SIM card kwa sababu huduma ya Boom pack pekee ndiyo ilikuwa inanivutia hapo TTCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…