Hii ni dalili ya kushindwa. Yaani ni sawa na mpira haujaanza uwanjani, mnaanza kumlalamikia refa atapendelea. Sasa kama mnaona refa atapendelea wekeni mpira kwapani tuokoe kodi za watanzania.Mikakati ya ccm ipo kwenye nguvu ya rais ambaye anaweza kuagiza tume ya uchaguzi imtangaze mgombea yoyote wa ccm. Toka lini mbeleko ikawa mikakati?
Kwamba Jecha bado yupo siyo......Atashinda au atatangazwa mshindi? Kuna tofauti ya hayo mambo mawili.
Acha zako wewe. Jiwe kapiga campain kwa miaka mitano peke yake baada ya kuwafungia wengine na bado leo hii anahaha! Hakutegemea haya yanayoendelea hivi sasa. Na anaweza kudondoka jukwaani wakati wowote kwa hofu.Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Kwamba Jecha bado yupo siyo......Atashinda au atatangazwa mshindi? Kuna tofauti ya hayo mambo mawili.
Huu ulikuwa unabii, au jamaa alikuwemo kwenye kikao cha mipango?
Siulizi swali, ninatafakari.
Sijasema vijiwe vyenu vya Mataputapu vya buku saba naiongelea MbokaVijiwe gani ambavyo wanamzungumzia lisu?
Wote mbona wanakwambia uchaguzi ulishaishaaa?
Endeleeeni na kiiki zenu tuuuu.
Hakuna mtz yeyeto mwenye akili timamu atarudia makosaMbona kampeni alishamaliza imebakia kuapishwa kama desturiii tuuu
Maaanaa hana mpinzani ata wa kuthubutu, hayupo.
Wanaojiiita wapinzani wake wako busy na kiki ambazo hazina ata la maana.
Pole kwa mawazo. Endelea kujifariji kama alivyokuwa Member mmoja humu JF aitwae "Bia yetu"Mbona kampeni alishamaliza imebakia kuapishwa kama desturiii tuuu
Maaanaa hana mpinzani ata wa kuthubutu, hayupo.
Wanaojiiita wapinzani wake wako busy na kiki ambazo hazina ata la maana.
Kwamba anapendwa Sana au ana lipi jipya zaidi ya maneno ya shobo? Walinena zamani kuwa aliyesimama aangalie asije anguka! Hilo una habari nalo?Hata ukipewa wewe ukampigie Kampeni Magufuli na Yeye apumzike, bado atashinda tu!!
Hii ni dalili ya kushindwa. Yaani ni sawa na mpira haujaanza uwanjani, mnaanza kumlalamikia refa atapendelea. Sasa kama mnaona refa atapendelea wekeni mpira kwapani tuokoe kodi za watanzania.
Wananchi wapo kwenye mikutano ya kampeni za ccm mifukoni hawana hata Senti tano. Mnasema JK aende akawaambie nini watanzania? Hali ya kimaisha kuwa watanzania ni mbaya Sana Sana. Maendeleo anayoongelea hakuna anaye tapinga tatizo ni maisha yamekuwa magumu kuliko serikali zote zilizowahi kupita.CCM ni chama cha mikakati. Hawa wastaafu inajua itawatumia wapi na wakati gani? Subiri kampeni bado hazijaisha ndo kwanza kumekucha asubuhi. Wapinzani wao haijulikani kama hata kampeni zao watazimaliza kabla pumzi haijakata.
Toa sababu zenye ushawishi wa kwanini CHADEMA isipewe nchi! Jambo gani linainyima CHADEMA sifa za kuongoza nchi? Au nawe no Kati ya wale wanaoamini kuwa CCM Ina hati miliki ya kuongoza nchi hii Kama biashara au kampuni yao?Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Atawashinda SanaHalaf leo nimemcheki pale Nzega kachoka mnoooo, na hii ni siku ya 3 ya kampeni zake....si ajabu huyu Jamaa hapendi Uchaguzi