Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

magufuli hana hata aibu anataka kuendelea kuwa rais? he is a total failure and and an instigator of hate and divisions. kwa unafiki bila haya jana anasema anampenda Lissu mbona anatuona sisi wapumbavu sana?
 
Hata Kikwete aliwahi susiwa na akashinda ,usihofu,kikwete apumzike tu,hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Kuna moja ya uzi ulishawahi kuletwa hapa jukwaani wa "One term president" nafikiri sasa ni wakati wake wakufikia utimilifu wake wote. Zile sauti za kolidoni na wale wahusika sasa ni wakati wao wakutimiza unabii huu.
Asante kwa madini
 
Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Sasa kama mnalijua hilo kampeni za nini so muache tu muendelee na majukumu mengine
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
 
Hawezi kampa nafasi hiyo kwani anajua Vasco Dagama yuko karibu sana na Membe kuliko yeye!!

Mbona Kinana na Lowassa wako karibu sana na hawakua na uadui wowote lakini alifanya kazi kwa imani kubwa ndani ya ccm ..
 
Wananchi wapo kwenye mikutano ya kampeni za ccm mifukoni hawana hata Senti tano. Mnasema JK aende akawaambie nini watanzania? Hali ya kimaisha kuwa watanzania ni mbaya Sana Sana. Maendeleo anayoongelea hakuna anaye tapinga tatizo ni maisha yamekuwa magumu kuliko serikali zote zilizowahi kupita.
Halafu CHADEMA mlivyo na roho mbaya kwenye kampeni zenu mnawaptishia bakuri hao maskini,hivi mkoje nyie wakora msio na huruma hata chembe?
 
hata likiwekwa jiwe kwa niaba ya magufuli Magufuli bado litashinda tu
 
Magufuli alishawahi kuwaambia wastaafu wanawashwawashwa.
Jakaya Kikwete ni mmoja ya wastaafu.

Unategemea ungekuwa wewe ni mstaafu kama JK ungemsaidia mpuuzi aliyekwambia unawashawa washwa ?
 
Back
Top Bottom