Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Madaraka ya nchi huwa hayapewi,ni lazima
 
Magufuri hana haja ya kufanya kampeni na kuanza kutoa ahadi mpya
Anachokisimamia yeye hivi sasa miradi yake aliyoianzisha ifikie ukomo
Kazi kubwa hivi sasa ni ya wapinzani kuibua hoja mpya
Hoja za zamani za wapinzani
Tume huru ya uchaguzi
Katiba mpya
Nchi aina ndege hata 1 ni aibu hii
Elimu bure kuanzia awali mbaka seco
Vifaa tiba hospital zetu hakuna
Madawa hospital zetu hakuna
Madini yanaibiwa na mabeberu
Ndani ya ccm kuna mapapa wa ufisadi
Miradi ya umeme tunapigwa
Mikataba feki
Mali asili za taifa ikiwemo twiga wanapindwa kwenye ndege
Rushwa serikalini
Nidhamu mbovu ya watumishi serikalini

Baada ya miaka mitano ya magufuri
Leo wapinzani wamepindua meza
Wamekuja na hoja mpya
Kazi ya magufuri na ccm yake ni kuzisikiliza hoja za wapinzani na kisha kuzifanyia kazi ili 2021 2022 mbaka 2025
Mtakuwa tayari mmeshamalizana nazo
Ifikapo 2025 wapinzani waje tena na hoja zingine hapo ndio tutakuwa tunajenga taifa la tanzania..
 
Magu ni jeuri na kibri, amekuwa na kibri kutokana na mamlaka aliyonayo..ila kwa sera alizonazo hivi sasa hata mtoto wa darasa la kwanza akimsikia anamkataa mazima.

Hana mvuto kabisa huyu bwana dhalimu wa madhalimu...amebakia kutangaza sera mfu na zisizotekelezeka....Eti Ajira milioni 8 umeshindwa kuajiri watu hata elfu 50 kwa miaka mitano unakuja na vioja vingine.

Yaani muda aliyokuwa anatumia kupanda jukwani kunadi sera bora angewaacha wakina Khadija kopa,Harmonize n.k wakitumbuiza ili watu wapate flavour ya mziki baada ya hapo wasepe zao.

Lisu ananishawishi kumpigia kura kutokana na sera alizonazo lakini zinamlenga mwananchi moja kwa moja.

Kwa sera alizonazo lisu wazungu wanamsemo unaosema" A nod is as good as wink"...hana haja ya kuzielezea sana sera zake kwa sababu tumezielewa.

Ni yeye kura yangu anayo.
 
Magufuli alishindwa kumpa hata Sumaye, waziri mkuu wa Mkapa kwa miaka 10 slot ya kutoa neno kwenye ratiba ya wazungumzaji kwenye Msiba wa Mkapa ndo atampa JK nafasi ya kumpigia kampeni?

Achievement za Mkapa alikuwepo Sumaye kama waziri mkuu lakini walimuignore, very unfair
Hili sikuli notisi

Duuh!![emoji44]
 
Kampeni za 2015, J. KIKWETE alimpigia kampeni 3 tu, Dar ufunguzi, Morogoro na Mwanza, na kipindi hicho sio Rais aliyetekeleza chochote... mda upo ila hata asipoitwa ushindi upo nje nje
 
Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Subiri mwaka huu uone unafikiri mbinu ya CCM kujitangaza washindi hata Kama wameshindwa kwenye sanduku la kura kupitia nec watu hawaijui wameandaa dawa yenu mwaka huu .
 
Magufuri hana haja ya kufanya kampeni na kuanza kutoa ahadi mpya
Anachokisimamia yeye hivi sasa miradi yake aliyoianzisha ifikie ukomo
Kazi kubwa hivi sasa ni ya wapinzani kuibua hoja mpya
Hoja za zamani za wapinzani
Tume huru ya uchaguzi
Katiba mpya
Nchi aina ndege hata 1 ni aibu hii
Elimu bure kuanzia awali mbaka seco
Vifaa tiba hospital zetu hakuna
Madawa hospital zetu hakuna
Madini yanaibiwa na mabeberu
Ndani ya ccm kuna mapapa wa ufisadi
Miradi ya umeme tunapigwa
Mikataba feki
Mali asili za taifa ikiwemo twiga wanapindwa kwenye ndege
Rushwa serikalini
Nidhamu mbovu ya watumishi serikalini

Baada ya miaka mitano ya magufuri
Leo wapinzani wamepindua meza
Wamekuja na hoja mpya
Kazi ya magufuri na ccm yake ni kuzisikiliza hoja za wapinzani na kisha kuzifanyia kazi ili 2021 2022 mbaka 2025
Mtakuwa tayari mmeshamalizana nazo
Ifikapo 2025 wapinzani waje tena na hoja zingine hapo ndio tutakuwa tunajenga taifa la tanzania..
Ccm Zanzibar inatia huruma .
Mgombea Urais Wanapewa
Wabunge wanapewa
Hata wawakilishi wanapewa kutoka Dodoma.

Tukumbuke ASP+TANU =CCM
Lakini Zanzibar hawezi kutoa M/Kiti wala SG

Kuna Makamu Wenyeviti 2

Akifa M/Kiti wao wa taifa anachukua nafasia Makamu wa Bara Ccm
Kwa ufupi Ccm Zanzibar Kama Tawi la Ccm Mtwara.

Wanzazibar hamkeni.
 
JPM atashinda uchaguzi ata akiwa amelala nyumbani kwake, shida itakuja atakapo amua kulala nyumbani itaonekana dharau kwa wapiga kura.
Wapiga kura si ndo wanampa ushindi? Ss akilala ataonekanaje dharau tena na bado ashinde?
 
Dodoma Ulimwalika wewe Huyu Kikwete kwani kampeni zimeisha Ajishushe kwani kajipandisha Endeleeni na Kutafuta Umaarufu na wala sio Kura hahaa
 
Kuna watu sita (6) ambao Mheshimiwa anapaswa kuwaomba kwa njia ya kipekee wamsaidie katika kampeni zake za uchaguzi mwaka huu;
1. Mzee Kikwete
2. Kamarade Kinana
3. Mzee Warioba
4. Mzee Butiku
5. Mzee Msekwa
6. Mzee Makamba
Kikwete, Kinana na Makamba watasema nn? Wametukanwa hadharani na Musiba na walipojaribu kulalamika Kinana na Makamba wakapewa adhabu na Magufuli.

Hii maana yake Misiba alitumwa na John.
 
Kuna msemo kuwa "Usitukane Wakunga na Uzazi Ungalipo". Mwenye tafsiri ya huu msemo atusaidie.

Kitabu cha bible pia kinasema "Alaaniwe yeye amtegemeaye mwanadamu.....". Kifupi ni kwamba bora kumtegemea Mungu kuliko mwanadamu mwenye mwili na Roho ambayo Mungu huitoa pumzi muda wowote ule.

Hapa ndiyo Masomo yenyewe.
 
Acha zako wewe. Jiwe kapiga campain kwa miaka mitano peke yake baada ya kuwafungia wengine na bado leo hii anahaha! Hakutegemea haya yanayoendelea hivi sasa. Na anaweza kudondoka jukwaani wakati wowote kwa hofu.
Huyu jamaa hatomaliza kampeni atadondoka na kusepa peoni. Utanikumbuka.
 
Huyu bwana Mbelwa Petro ana maono yenye kuaminika!!! If you read between the lines all that he wrote has come to pass!
Huyu bwana Petro unabii wake bado kidogo (5%) kutumia kwa asilimia zote. Yaani Lisu kuingia ikulu tu.
 
Back
Top Bottom