Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Huyu bwana Mbelwa Petro ana maono yenye kuaminika!!! If you read between the lines all that he wrote has come to pass!
Bado kubwa Lao ambalo litadondoka jukwaani ghafla na kufariki hapohapo siku na saa ileile
 
Tunamnanga tu. Alisema huwa hapangiwi sasa tunamshauri ili asifate ushaur kwa jeur yake na apotee kabsa.


Anasema yeye huwa hapangiwi??!!--- ni jeuri na kiburi gani hicho!!!, basi kawa Mungu-mtu.
 
JK Mwenyewe hata Juzi pale Taifa kwenye hakuwela hata neno la kumsifia Rais hata kwa uwepo wa Àmani na kutokuwa na hofu ya korona mpaka uwanja umejaa na umewapa mapato Yanga.
Amuache mjuaji apambane na hali yake kibebeo mkapa hayupo tena
 
Hata mkifanya kampeni huku mnalia. ccm itashinda tu na hilo mnalitambua sema mnajikaza.
 
Magufuli alishindwa kumpa hata Sumaye, waziri mkuu wa Mkapa kwa miaka 10 slot ya kutoa neno kwenye ratiba ya wazungumzaji kwenye Msiba wa Mkapa ndo atampa JK nafasi ya kumpigia kampeni?

Achievement za Mkapa alikuwepo Sumaye kama waziri mkuu lakini walimuignore, very unfair
Alikuwa ameshakatwa mkia yule
 
Zero Hours,
Kikwete angekuwa amefanya vizuri kwenye awamu yake, angekuwa an asset,lakini kwa kuwa he performed very poorly,akae tu pembeni,atakuwa liability.After all Magufuli hahitaji msaada wake.Kwa Magufuli aliyofanya in his first term,yeye mwenyewe anatosha.
 
Unaruhusiwa kuota na kujipa matumaini[emoji3][emoji3]
Tumeshandaa sherehe za kumpongeza JPM
Hata asaidiwe na nani, sisi wananchi ndio tushaamua. Nchi si mali ya Kinana, Kikwete wala Makamba. Wenye nchi (sisi Watanzania), tunamuweka Lissu madarakani. Msiwape watu fulani fulani umiliki wa nchi yetu. Wao ndio watapiga kura?

Kwa taarifa yako hao wazee hakuna rangi nao wameacha kuona kwa huyu bwana. Hata wakijitokeza itakuwa ni unafki tu. Lissu hazuiliki aisee, imekula kwenu Mataga na Jiwe wenu.
 
Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Tumia nguvu kidogo utaeleweka tuu!
 
Kwa nyuzi za namna hii na comments zake ama kweli CCM kutoka madarakani ni ndoto

Watanzania wengi hawapendi mabadiliko,kila siku wanataka sura zile zile

Ukoloni mambo leo hauwezi kuisha.
 
Nimemsikia Mwenyekiti akiwa Singida na akiwa Shinyanga anayo yaongea hayana tofauti na hotuba yake ya kuvunja bunge......"vijiji elfu mbili vilivyobaki havia nishinda"....wanaomshauri inabidi wamweleze ukweli......kampeni ni zaidi yakusema mafanikio
 
Back
Top Bottom