Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Last seen yake inasomeka lini Mkuu?Sijui ni jamaa gani huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Last seen yake inasomeka lini Mkuu?Sijui ni jamaa gani huyu
Mbona wale wabunge 20 hiyo dawa haijafanya kazi?Subiri mwaka huu uone unafikiri mbinu ya CCM kujitangaza washindi hata Kama wameshindwa kwenye sanduku la kura kupitia nec watu hawaijui wameandaa dawa yenu mwaka huu .
Wapinzani wa Burundi???CCM ni chama cha mikakati. Hawa wastaafu inajua itawatumia wapi na wakati gani? Subiri kampeni bado hazijaisha ndo kwanza kumekucha asubuhi. Wapinzani wao haijulikani kama hata kampeni zao watazimaliza kabla pumzi haijakata.
Huyu bwana Petro unabii wake bado kidogo (5%) kutumia kwa asilimia zote. Yaani Lisu kuingia ikulu tu.
Kwani kushindwa ni tatizo? Tunamtaka tu ashiriki Uchaguzi kwa moyo mweupe na ashinde kihalali kama atashinda, hakuna tatizo kwa Upande wetu!Atawashinda Sana
Mzee Warioba aljyepigwa ngwara(aliyechotwa mtama)?Kuna watu sita (6) ambao Mheshimiwa anapaswa kuwaomba kwa njia ya kipekee wamsaidie katika kampeni zake za uchaguzi mwaka huu;
1. Mzee Kikwete
2. Kamarade Kinana
3. Mzee Warioba
4. Mzee Butiku
5. Mzee Msekwa
6. Mzee Makamba
Hii ndiyo think tank ya CCM, kwa kuzidi kujimwambafai kwake, na kuwaweka kando wazee hawa, kura zake zinakwenda kuwagawanyika na za Membe.
Kama kwa wizi wa kura, sawaHata ukipewa wewe ukampigie Kampeni Magufuli na Yeye apumzike, bado atashinda tu!!
Dk. Mihogo...chukueni si mlijua ndo dili? Awasaidie Sasa KampeniNkifikiri unamshauri Lisu aombe msaada kwa Slaa kumbe unamshauri Magufuli?
Kinana, Kikwete na makamba utawaona jukwaani soon...
Wanaingia dakika za mwisho kusafisha uchafu.....
Wananchi ambao ndo wapiga kura hawawezi?Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Magufuli kila akisimama kwenye majukwaa ya kisiasa alikuwa lazima aukandie utawala wa baba yetu mtukufu Daktari Jakaya Mrisho Kikwete utafikiri hakuwahi kwenye cabinet ya Jk, zee ni linafki la kutupwa.
Atakuwa ametimiza malengo yake ya muda mrefu ya kwenda kuwa kiongozi wa malaika wa motoni.Huyu jamaa hatomaliza kampeni atadondoka na kusepa peoni. Utanikumbuka.
Magufuli na ujuaji ni chanda na peteJiwe ni mbinafsi sana na anajikuta ndio mwenye akili na uwezo kuliko Watanzania wote. Kwa kweli Watanzania sasa wanamfunza ya dunia, haamini kuona kwenye picha kuwa kuna watu wanakanyagana na kukimbiza misafara ya watu wengine ukitoa yeye. Anapenda iwe yeye tu kila kitu.
Karata ya mwisho hiyo mkuu,vitani unaanza na migambo kwanza na magobore.........Ushauri kwa Rais Magufuli kipindi hiki cha uchaguzi.
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu, hali sio ya kuchukulia poa kama CCM ilivyokuwa ikifikiria. Ukimya wa watu miaka 5 usiwadanganye wana CCM kuwa uchaguzi huu ni mwepesi. Watu wamebeba mengi kwenye Nafsi zao.
Huu uchaguzi ni mgumu sana haijawai tokea hapa Tanzania na ukiudharau utakushangaza.
Rais Mstaafu J. Kikwete ni mmoja wa viongozi wenye upawa mkubwa wa kuvuta hisia za watu.
Rais Magufuli, Jisushe na Muombe Mh Kikwete aje akusaidia kufanya kampeni. Hutaweza wewe peke yako. Kumbuka bado siku 50+. Uliyekuwa ukimtegemea sana ndiyo hivyo Mungu kampenda zaidi. Sasa mtumie aliyebaki anaweza kuwa msaada mkubwa kwako zaidi ya hata uliyekuwa ukimtegemea.
Sijui ataongea nn kwa watu huyu aliyenaswa kibao na kupigwa mtamaMzee Warioba aljyepigwa ngwara(aliyechotwa mtama)?
Sasa mbona anafanya kampeni na hadi ameanza kukonda na kuzeeka ghafla! Au we unaona yuko sawa?Hata ukipewa wewe ukampigie Kampeni Magufuli na Yeye apumzike, bado atashinda tu!!
Ushauri kwa Rais Magufuli kipindi hiki cha uchaguzi.