Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Aliwahi kumwambia kuwa JK ANAWASHWA WASHWA, ata anzia wapi tena kumuomba kwenye hilo?
 
Uchaguzi wa mwaka huu 2020 CCM wameanza kujikojolea majukwaaani maana hawana sera .......KIFO CHA MKAPA !
 
Halaf leo nimemcheki pale Nzega kachoka mnoooo, na hii ni siku ya 3 ya kampeni zake....si ajabu huyu Jamaa kutokupenda Uchaguzi, anateseka jamani!
Enzi zake za Ubunge alizoea kupata ushindi HARAMU wa kupita bila kupingwa na baadae kwenye urais kupita kwa MABAVU, safari hii akithubutu tunaingia barabarani akatuchape wote risasi ili ang'olewe vizuri.
 
Kwenye kampeni mgombea wa ccm watu wanafuata singeli.
Mziki ukizimwa akianza kuonge ,watu wanandoka.

Mm naona sasa ni wakati.ccm ibadilishe jina wakalabati rangi yao,wabadirishe na nembo.
Angalau ionekane mpya kidogo.

Wafanye kama walivyofanya nyerere enzi ya TANU.
 
Hivi zero brain angeongea nini?Mh.Mkapa alimbeba sana huyu zuzu zero brain
 
Kama mikutano ya CCM imejaa wanawake basi ni Ishara njema kwani hao ndio wanaoongoza kupiga kura,

Kampeni zenu zina kundi ambalo wengi sio wapiga kura.

CCM itapeta.
 
Enzi zake za Ubunge alizoea kupata ushindi HARAMU wa kupita bila kupingwa na baadae kwenye urais kupita kwa MABAVU, safari hii akithubutu tunaingia barabarani akatuchape wote risasi ili ang'olewe vizuri.
Unaongea kuingia barabarani ukiwa umejificha kwenye jina la ID. Peleka tu ugoko wako barabarani virungu vinausubiri.
 
Si kweli mazingira ya tropical ndo yametuokoa check nchi zote za tropical Kama wanavaa maski.
Ameishinda Covid19 kwa mbinu aizotumia kupambana nayo
Unaona Kenya wanavyoteseka kwani wao si nchi ya tropical?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Ameishinda Covid19 kwa mbinu aizotumia kupambana nayo
Unaona Kenya wanavyoteseka kwani wao si nchi ya tropical?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
kumbuka kwenye maisha kuna zali pia ila sio yule zari wa diamond hapana
 
Uchaguzi wa mwaka huu 2020 CCM wameanza kujikojolea majukwaaani maana hawana sera .......KIFO CHA MKAPA !
Waimba singeli kwenye majukwaa ya kampeni wanamfanya Magufuli wanachokitaka.

Mara wampigishe magoti mzee wa watu
Mara wamfundishe kucheza singeli ili mradi asipate muda wa kupiga push ups baada ya hoja kumuishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…