Yaani itafutwe sababu huku familia inateketezwa, hakuna mauwaji yanaruhusiwa kwa sababu yeyote ile.Mkuu ungejiuliza kwanza familia ya Wenje inataka kuuwawa yote kweli? kuna nini nyuma ya haya mauaji? Aliyeshinda ni CCM sasa iweje aliyeshindwa na kuuwawa wauwawe wao tena?
Wana sababu wana walichowafanya hao wauaji, ingetafutwa sababu kwanza ya mauaji kama inahusu uchaguzi au ni chiki zitokanazo na sababu tofauti uchaguzi ulikuwa wa amani na huru kabisa
Sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mamboWe nimpumbavu yaani itafutwe sababu huku familia inateketezwa, hakuna mauwaji yanaruhusiwa kwa sababu yeyote ile.
Najua nisemacho nanjia hiyo imefanya kazi hapo KENYA ,uliza kwa nini RAILA anaheshimika Kenya, ilifanya kazi COROMBIA kwenye ujangili ambao ulikuwa umetukuka, wanaweza shindwa kabiliana na ndugu wa jiwe lkn hawawezi shindwa kabiliana na ndugu wa hawa uvccm wanotekeleza mauwaji.hujui ukisemacho kanywe chai kwanza usikulupuke utakosea mwisho utatukana
Wewe bila shaka ni mmoja wa hao wauaji. Unataka wakati watu wanajiuliza chanzo na wewe unapata nafasi ya kuendeleza mauaji yako.mkuu ungejiuliza kwanza familia ya wenje inataka kuuwawa yote kweli? kuna nini nyuma ya haya mauaji? aliyeshinda ni ccm sasa iweje aliyeshindwa na kuuwawa wauwawe wao tena? wana sababu wna walichiwafanya hao wauaji ingetafutwa sababu kwanza ya mauaji kama inahusu uchaguzi au ni chiki zitokanazo na sababu tofauti uchaguzi ulikuwa wa amani na huru kabisa
sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mamboWe nimpumbavu yaani itafutwe sababu huku familia inateketezwa, hakuna mauwaji yanaruhusiwa kwa sababu yeyote ile.
nimewauliza kitu kimoja aliyeshinda ni ccm kwanini wauwawe chadema? wanajambo nyie hamlijui mtapasua vifua kutetea ujinga kila mchuma janga hulana wa kwaoWewe bila shaka ni mmoja wa hao wauaji. Unataka wakati watu wanajiuliza chanzo na wewe unapata nafasi ya kuendeleza mauaji yako.
Kwa mwenendo huu nchi itakuwa ya visasi na mauaji ya kutisha.sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo
nimewauliza kitu kimoja aliyeshinda ni ccm kwanini wauwawe chadema? wanajambo nyie hamlijui mtapasua vifua kutetea ujinga kila mchuma janga hulana wa kwao
We nimjinga kama walivyo ccm wengine, mbona kiongozi wa ccm alivyouliwa huko IRINGA week haikuisha washukiwa wakakamatwa, mbona Mawazo mpaka leo hajakamtwa mtu?. Hao wanaoua kwa mapanga nihao uvccm wanaojiita green guard.sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo
Wewe nimjinga Lissu alitaka kuuuliwa kwa sababu zipi?. Mawazo alipigwa mapanga kwa sababu zipi? .huko Pemba wanapoua watu hawajashinda?. Ushindi usio halali sio ushindi ndani yamioyo yao bali kwako wewe mlalahoi.sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo
nimewauliza kitu kimoja aliyeshinda ni ccm kwanini wauwawe chadema? wanajambo nyie hamlijui mtapasua vifua kutetea ujinga kila mchuma janga hulana wa kwao
Wewe nitaendelea kukuita mpumbavu nitashindaje ubunge mimi halafu nianze kukuuwa umenifanya nini wakati nimekushinda tumia akili basiWe nimjinga kama walivyo ccm wengine, mbona kiongozi wa ccm alivyouliwa huko IRINGA week haikuisha washukiwa wakakamatwa, mbona Mawazo mpaka leo hajakamtwa mtu?. Hao wanaoua kwa mapanga nihao uvccm wanaojiita green guard.
Huna akili nakuambia wewe nimjinga ,mpumbavu na zwazwa ndio maana unashabikia ccm. Ushindi ambao wahusika wanajua siushindi halali ndani ya nafsi zao hauna maana. Nimekuuliza kwa nini Mawazo aliuliwa kwa mapanga mpaka leo hajakamatwa mtu na leo mwaka wa nne. Je alipouliwa palikuwa na uchaguzi?.we nitaendelea kukuita mpumbavu nitashindaje ubunge mimi halafu nianze kukuuwa umenifanya nini wakati nimekushinda tumia akili basi
Kwahio alioshndwa kamuua ndugu yake?.Huko Pemba wanakoua watu wanauliza walioshindwa au walioshinda?.we utaendelea kuwa mjinga tu wanaoanzisha fujo ni walioshindwa sasa aliyeshinda tena akaanzishe fujo huna akili nzuri nakuona
Kuleta habari za hatari namna bila ufafanusi wakina ni aina nyingine ya uchochezi wa kusababisha machafuko nchini!! Moderators kwenye vikao vyenu angalieni namna ya kuliweja sawa jambo hili.Mkuu ungejiuliza kwanza familia ya Wenje inataka kuuwawa yote kweli? kuna nini nyuma ya haya mauaji? Aliyeshinda ni CCM sasa iweje aliyeshindwa na kuuwawa wauwawe wao tena?...
Ndugu yangu, usiwe mvivu wa kufikiri, mleta mada hajasema CCM wanahusika na mauaji yoyote. Anachowaomba Sirro (IGP) na Magufuli (RAIS) wazuie mauaji haya. Wala hajawataja CCM.Sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo
Wewe huna akili kabisa. Hata mbwa ana nafuu. Kuna sababu yoyote inayohalalisha mauaji? Mbona unakuwa kama mshenzi anayechekelea mauaji? Au wewe ndiyo unahusika?Mkuu ungejiuliza kwanza familia ya Wenje inataka kuuwawa yote kweli? kuna nini nyuma ya haya mauaji? Aliyeshinda ni CCM sasa iweje aliyeshindwa na kuuwawa wauwawe wao tena?..