Rais Magufuli na IGP Sirro, zuieni mauaji haya

Rais Magufuli na IGP Sirro, zuieni mauaji haya

Mkuu wa wilaya hiyo, Simon Odunga

BY Anthony Mayunga, Mwananchi
Mara. Nyatega Wenje, kaka wa aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Rorya kwa tiketi ya CHADEMA, Ezekiah Wenje ameuawa katika vurugu zilizoibuka kijijini kwao Michire wilayani Rorya.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Oktoba 31, 2020, mkuu wa wilaya hiyo, Simon Odunga alisema kifo hicho kilitokea katika vurugu za jioni ya Oktoba 30.

“Eneo la Michire wanaishi watu wa jamii na ukoo mmoja ambao awali walikuwa wafuasi wa Chadema kabla ya kugawanyika uchaguzi wa mwaka huu. Baada ya matokeo, kuliibuka ugomvi kati yao na hatimaye kifo,” amesema Odunga.

Amesema Nyatega alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali baada ya kuchomwa na kitu kinachoaminika kuwa kisu na ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kubaini chanzo na wahusika wa vurugu hizo.

wenjepic.jpg
 
Nitoe pole kwa familia ya Mhe. Wenje kwa magumu wanayopitia kipindi hiki ambacho nchi inapita kuelekea awamu ya sita. Ni muda mzuri kwenu kumtegemea Mwenyenzi Mungu kuliko wakati mwingine wote. Ni muda wakusamehe, ni muda wakutafakari kuhusu mapambano ,mapya kuelekea Uhuru wa pili. Natambua familia imepata pigo kubwa kwa tuliyoyasikia na ambayo tunazidi kuyasikia ila yote yatapita.
uhuru unakaria
 
Maandamano ya BILA KIKOMO kuanzia Jumatatu yanaenda kufuta UHUNI wote huo, usiogope.
 
Nilisoma mahali kuhusu hii habari.Niseme tu vitendo hivi ndio vitavyochochea watu kuandamana.
 
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu;na ile iliyopo imeamriwa na Mungu. Mkiambiwa mtii sheria bila shurti mnaleta harakati.
 
Hahaha wacha waionje ladha ya CCM na JPM.

Msipouliwa mtajuaje wao ni watawala?!
 
Kuleta habar za hatari namna bils ufafanusi wakina ni aina nyinge ya uchochezi wa kusababusha machafuko nchi!! Moderators kwenye vikao vyenu angalieni namna ya kuliweja sawz jambo hili.
Hili ni jukwaa la CHADEMA, na habari za hivyo ndo wanazipenda sasa hivi kwa hiyo usitegemee moderators kuchukua hatua yoyote. Angalia jinsi wanavyorusha matusi hapa jukwaani na hawachukuliwi hatua yoyote; ebu jaribu wewe usiyeshabikia CHADEMA uone utakavyopigwa ban kurudi mpaka baada ya JPM kuapishwa!
 
Aisee inauma Sana IGP chukua hatua kwa Mambo Kama haya nakwambia nchi italipuka toeni pamba masikio au mwataka Sasa visasi viwe vingi maana haitawezekana mtu akauliwa na ndugu yake akakaa kimya lazima atafanya reaction kwa mhusika au kwa anaeona ana mlengo sawa na mhusika
 
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu;na ile iliyopo imeamriwa na Mungu. Mkiambiwa mtii sheria bila shurti mnaleta harakati.
magu sio chaguo la watu na sio chaguo la Mungu.
 
Majibu ya watu wasiomuamini ubongo kichwani hayo
IMG_20201029_120054.jpg
 
Sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo
Unamfokea jamaa bure tu, lakini kama ilivyo yeye, huwezi ku-justfly hoja yako! Ujinga au kutokua na akili siyo swala la kupishana mtazamo! Unaweza kumwona jamaa hana akili, lakini unachokosea, unafungua milango ya Wewe kuonekana umemzidi yeye ujinga!
 
We nimjinga kama walivyo ccm wengine, mbona kiongozi wa ccm alivyouliwa huko IRINGA week haikuisha washukiwa wakakamatwa, mbona Mawazo mpaka leo hajakamtwa mtu?. Hao wanaoua kwa mapanga nihao uvccm wanaojiita green guard.
Green guard wao wanakinga ya kutokamatwa.
 
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu;na ile iliyopo imeamriwa na Mungu. Mkiambiwa mtii sheria bila shurti mnaleta harakati.
Hii mamlaka ya sasa,haijatoka kwa Mungu bana tusidanganyane.
 
maswali ni mengi kuliko majibu aliyo nayo mleta mada.

hata hawa polisi unaowakumbusha hapa huwa wanaanza na sababu za kifo kwanza ndipo dawa ipatikane.
 
Sasa hivi Tanzania haiko salama CCM ipobsalama zaidi kuliko Tanzania.
 
Huna akili nakuambia wewe nimjinga ,mpumbavu na zwazwa ndio maana unashabikia ccm. Ushindi ambao wahusika wanajua siushindi halali ndani ya nafsi zao hauna maana. Nimekuuliza kwa nini Mawazo aliuliwa kwa mapanga mpaka leo hajakamatwa mtu na leo mwaka wa nne. Je alipouliwa palikuwa na uchaguzi?.
unajuwa ukiwa huna akili timamu ni shida sana yaani huna hata hoja ya kuniambia huu ni ushindi halali kama hukupiga kura wewe kuichagua ccm ni wewe wenzio tumeichagua na huyo mawazo unamuingizaje wenye mambo ya uchaguzi huu naye alikuwa na makosa yake ndiyo maana wakamfanyia walichomfanyia na siyo kwa ccm iunahusika ni wahuni tu kama walibvyo wahuni wengine
 
sawa mimi ni mpumbavu lakini wewe umenizidi upumbavu tena ni mjinga haswaa sasa unaniambia anayewaua hao familia ni ccm? naona unaakili ya kuvukia barabara tu mkuu huna ya kupambanua mambo

nimewauliza kitu kimoja aliyeshinda ni ccm kwanini wauwawe chadema? wanajambo nyie hamlijui mtapasua vifua kutetea ujinga kila mchuma janga hulana wa kwao
Muuaji anaendelea kusaka watu ili awaue we unasema tujiulize kwanza, halafu tunapokuja kupata jibu muuaji ameshatekeleza adhma yake , majiulizo yetu yatakuwa na faida gani?

Hatua ya kwanza ni kuzuia mauaji halafu ndipo kuhojiana kuanze lakini muda huo muuaji anatakiwa awe ameshakamatwa yupo ndani.
 
Back
Top Bottom