Rais Magufuli na IGP Sirro, zuieni mauaji haya

Rais Magufuli na IGP Sirro, zuieni mauaji haya

Ndugu zangu tangu baada ya uchaguzi nchi yetu inapitia kipindi kigumu watu wanauawa kinyama mchana kweupe kwa sababu za kisiasa , kuchomeana makazi na kutekana.

Kibaya zaidi wenye mamlaka wanadai hali ni shwari kabisa labda kwa sababu wanalindwa kwa mizinga na rada ndiyo maana hawaogopi kinachoendelea nchini.

Leo Rorya mdogo wake Ezekia Wenje kauawa baada ya Wenje kukimbia kujificha, wauaji hawa wametamba kuiangamiza familia nzima ya Wenje na ndugu zake.

Tanzania ni moja, tunatoa roho za wenzetu kwa maslahi gani?

Ili CCM ibakie madarakani?

Au CHADEMA iiingie madarakani?

Mtawala hutawala watu, kiongozi huongoza watu, Leo watu mnawaua mtawatawala akina nani?

Watu mnawaua mtawaongoza akina nani?
Meko ni muhutu asili yake ni kuua,ila mungu ni fundi iko siku yake hataamini nini kimetokea kwake
 
They both end up in jail each suckin dik next to each other.
 
Mkuu ungejiuliza kwanza familia ya Wenje inataka kuuwawa yote kweli? kuna nini nyuma ya haya mauaji? Aliyeshinda ni CCM sasa iweje aliyeshindwa na kuuwawa wauwawe wao tena?

Wana sababu wana walichowafanya hao wauaji, ingetafutwa sababu kwanza ya mauaji kama inahusu uchaguzi au ni chuki zitokanazo na sababu tofauti uchaguzi ulikuwa wa amani na huru kabisa
Unataka kusema kukiwa na sababu nzuri basi mauaji hayo ni sahihi! Wewe utakuwa mwanaccm.
 
Back
Top Bottom