Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Nini maana ya kuwa na sheria ya mipango miji? Shule mlienda kusomea ujinga.Mimi kwa hili naona muheshimiwa Raisi yuko sahihi kabisa. Nini chema kwako kuwa na standi maridadi isiyo na watu wakati watu wako wanakufa njaa au kuwa na standi iliyojengwa kwa kodi za watu wako itakayotumiwa na watu wako kujitafutia ridhiki? Mambo mengine ni kupima manufaa mapana ya taifa na watu wake. Nasimama na muheshimiwa Raisi, raia watanzania wafanye biashara sehemu yoyote isipokua ndani ya nyumba za ibada.
Mimi kwa hili naona muheshimiwa Raisi yuko sahihi kabisa. Nini chema kwako kuwa na standi maridadi isiyo na watu wakati watu wako wanakufa njaa au kuwa na standi iliyojengwa kwa kodi za watu wako itakayotumiwa na watu wako kujitafutia ridhiki? Mambo mengine ni kupima manufaa mapana ya taifa na watu wake. Nasimama na muheshimiwa Raisi, raia watanzania wafanye biashara sehemu yoyote isipokua ndani ya nyumba za ibada.
Sheria za mipango miji siyo msahafu, inabadilishwa. Pia nyingi ni subsidiary legislations, hazijatungwa na bunge, hivyo zinaweza zikawa zimebadilishwa. Shule hatujaenda kukariri, tunatumia akili kupambana na mazingira yetu.Nini maana ya kuwa na sheria ya mipango miji? Shule mlienda kusomea ujinga.
Hayo mabadiliko ya sheria za mipango miji yalifanyika lini kuruhusu hu upuuzi wa kuruhusu machinga hadi katikati ya barabara huko kariakoo?Sheria za mipango miji siyo msahafu, inabadilishwa. Pia nyingi ni subsidiary legislations, hazijatungwa na bunge, hivyo zinaweza zikawa zimebadilishwa. Shule hatujaenda kukariri, tunatumia akili kupambana na mazingira yetu
Mipango miji nenda Posta na Masaki huko.Nini maana ya kuwa na sheria ya mipango miji? Shule mlienda kusomea ujinga.
Wewe piga miluzi tuMagufuli hakupaswa hata kuwa RC .
Sema tu dunia inaendeshwa kinyumenyume
Kuna muda sheria huvunjwa kwa maslahi ya umma.Hayo mabadiliko ya sheria za mipango miji yalifanyika lini kuruhusu hu upuuzi wa kuruhusu machinga hadi katikati ya barabara huko kariakoo?
Halafu majitu yanakurupuka eti nchi hii inafuata utawala wa sheria
Mkuu machinga anaweza akawa mjomba wako, shangazi yako au kijana wako aliyekosa ajira kwenye mfumo rasmi. Hao wote ni watanzania na hii ni nchi yao. Wanayo haki, kama watanzania wengine, kusaka na kupata riziki yao kwa njia halali ikiwa ni pamoja na kufanya biashara sehemu yoyote ya ardhi ya Tanzania, na jambo hili lina akisi uhuru wao wa kweli na si vinginevyo.Hayo mabadiliko ya sheria za mipango miji yalifanyika lini kuruhusu hu upuuzi wa kuruhusu machinga hadi katikati ya barabara huko kariakoo?
Halafu majitu yanakurupuka eti nchi hii inafuata utawala wa sheria
Ni wajinga tuNini maana ya kuwa na sheria ya mipango miji? Shule mlienda kusomea ujinga.
Watengewe wap? Nyie watu mna roho mbaya sana watengewe nje ya mji ili wafe njaa sio?Yaani awamu hii dar imekua takataka kabisa mabanda ya machinga kila sehem angalia kuanzia pale DIT hovyo kabisa mabanda ya mihogo watu wanapikia kuni city centre, mlimani city hata haionekani imezibwa na mabanda..afu na pale chini ya flyover walianza kujipanga bahati nzuri tu wamejenga uzio. Hatusemi wasifanye biashara bali watengewe maeneo.