Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Mbona kipindi kile hukuwachana?Em achana na hizo mambo wewe kuna mtu anatetea chama hapa. Sio kila sehemu mnapenda kuchoose side. Ko kila anaepinga jambo fulani linalofanywa na serikali ni chadema. Afu hata hao uliowataja si ni wana siasa? Je una uhakika wasingechanwa kwa hichi kinachoendelea?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app