Naona wageni wengi wanamuona rais wetu kama kilanja wa eneo la maziwa makuuu na Afrika Mashariki mpaka kusini mwa bara hili changa.
Walinza wanyarandwa ,warundi,wakenya ,waganda na wamamalawi na mpaka sasa hivi Wacongo, sio mbaya baba wa jirani kupendwa na watoto wa majirani wakimuona anafanyia familia yake mengi na kuwaacha wanae waovu wakimtukana na kumbeza bila aibu.
Gwiji wa muziki kutoka Congo Anayaeishi nchini kisheria ameamua kuvaa mavazi ya CCM na kutunga wimbo wa kumuombea kura rais magufuli mchana kweupe bila chenga ndio ameamua kusema ukweli kuwa hakuna zaidi yake.
Bella ambaye pia anaishi nchini Belgium na familia yake anajua mitego na roho mbaya ya watawala hao wa congo katika zama za kikoloni kitu ambacho wapinzani wanajivunia .
Kwa jpm kila goti litapigwa
USSR