Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha......huko hawezi gusia atabaki tu kusema asiyefanya kazi na asile coz hayo ndio maneno anayoota kila kukicha.Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisikika akimalizia kwa kionjo hiki "Tanzania Ni Tajiri bhana"Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala huo muda ungetumia kumsifu mzazi wako kwa kukuleta duniani kuliko kujipendekeza huku kwa Jiwe kwa kiwango cha PhD!Mimi sio mnafiki kama wewe,penye sababu ya kusifu nasifu,penye sababu ya constructive criticism na-criticize.
Uongo kama huu ulioandika wewe hapa?Na Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Namsifu Rais wetu kwa matumizi mazuri ya hela za Watanzania ili kuiwezesha nchi yetu kuanza kupiga hatua kimaendeleo.Mama yangu haya hayamhusu,ana yake ambayo napaswa kumsifu kwayo.Bila matumizi mazuri ya fedha na usimamizi mzuri wa rasilimali zetu,ununuzi wa ndege;kuanza ujenzi wa SGR;ujenzi wa mradi wa umene wa Rufiji;ujenzi wa vituo vya afya;ujenzi wa hospitality za rufaa na kuziwekea vifaa vya kisasa kabisa;ujenzi wa barabara;ukarabati wa reli;kusambaza umeme vijijini;ujenzi wa madaraja makubwa na madogo;ujenzi wa flyovers nk.nk.isinge wezekana.Kiukweli ninayo kila sababu ya kumsifu,kutomsifu itakuwa ukosefu wa shukrani.Mbona marais waliopita wote walishindwa kuyafanya haya.Badala huo muda ungetumia kumsifu mzazi wako kwa kukuleta duniani kuliko kujipendekeza huku kwa Jiwe kwa kiwango cha PhD!
Tuliza akili na andika kwa utulivu. Jee tumelipa? Tumeshinda? Au tumesamehewa? Hata hilo ni siri?
Na tukio la ndege kuachiwa ni mpaka Rais ndio aseme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda kujua ndege zilizopo zinaingiza faida? Manake ni muda kidogo tangu zinunuliwe. Tusifanye biashara ya kujaza duka bidhaa nyingi halafu tunafurahia kuona duka limejaa huku hakuna faida yoyote.Kuna watu wanaomba ikamatwe tena
Huu uzi huwezi kuwaona wapinga maendeleo
Tunapenda kujua ndege zilizopo zinaingiza faida? Manake ni muda kidogo tangu zinunuliwe. Tusifanye biashara ya kujaza duka bidhaa nyingi halafu tunafurahia kuona duka limejaa huku hakuna faida yoyote.
Mimi mwenyewe nawadai serikali hawanilipi wanalipa kwa mafungu kama ville na mimi nimetoa huduma kwa mafungu. Kama unadaiwa lipa kama unadai lipwa kila mtu asimamie sehemu yake kwa haki na uaminifu.Eti lipeni,kwa hiyo wewe huhusiki na wala sio Mtanzania,si ndio.Hama basi utuache na nchi yetu.
Na kama tumeshinda kesi kwa nini tulipe?Shall we not be very stupid?Na nikuambie kitu,kama Canada tumeshinda hakuna wa kutuweza,Steyn akae chini atulie.Halafuu,nchi gani itakubali kumpoteza mteja mzuri na tajiri kama Tanzania?Jibu ni hakuna.
Mkuu Msuluhishi ukiwa upande wa chama fulani ccm cdm cuf nk. unakuwa na makengeza mimi natamani hizo pesa za kununulia ndege tugeimarisha ttcl mana biashara ya mawasiliano inalipa na haina hasara kama ya ndege lakini siwezi kufurahia ndege yetu kushikwa na mdeni anayetudai zaidi ya bi 70 hizo kilomita ngapi? za brbr. ukiona mtoto anafurahi mali ya nyumbani kushikwa na mdeni uyo si mwanafamilia.
Nime google sana sijaona nakala. Kama una link please provide.Proceedings za mahakama huwa public documents nenda mahakama ya Canada utaona kama mkulima wenu kashinda kesi ama la!! Wakati mwingine tumieni akili hata kidogo.
Hiv bado mnaendelea kumjibu huyu shoga kilaza hapa jamviniTunapenda kujua ndege zilizopo zinaingiza faida? Manake ni muda kidogo tangu zinunuliwe. Tusifanye biashara ya kujaza duka bidhaa nyingi halafu tunafurahia kuona duka limejaa huku hakuna faida yoyote.