Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha......huko hawezi gusia atabaki tu kusema asiyefanya kazi na asile coz hayo ndio maneno anayoota kila kukicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good news for Tanzania and everybody who wanted this issue to be resolved one way or the other. We need to concentrate on rebuilding our country to its full potential. Congratulations to his excellency the president of the United Republic of Tanzania JPM for his vision, hard working and delivering the needs for all Tanzanians.
 
Mimi sio mnafiki kama wewe,penye sababu ya kusifu nasifu,penye sababu ya constructive criticism na-criticize.
Badala huo muda ungetumia kumsifu mzazi wako kwa kukuleta duniani kuliko kujipendekeza huku kwa Jiwe kwa kiwango cha PhD!
 
Badala huo muda ungetumia kumsifu mzazi wako kwa kukuleta duniani kuliko kujipendekeza huku kwa Jiwe kwa kiwango cha PhD!
Namsifu Rais wetu kwa matumizi mazuri ya hela za Watanzania ili kuiwezesha nchi yetu kuanza kupiga hatua kimaendeleo.Mama yangu haya hayamhusu,ana yake ambayo napaswa kumsifu kwayo.Bila matumizi mazuri ya fedha na usimamizi mzuri wa rasilimali zetu,ununuzi wa ndege;kuanza ujenzi wa SGR;ujenzi wa mradi wa umene wa Rufiji;ujenzi wa vituo vya afya;ujenzi wa hospitality za rufaa na kuziwekea vifaa vya kisasa kabisa;ujenzi wa barabara;ukarabati wa reli;kusambaza umeme vijijini;ujenzi wa madaraja makubwa na madogo;ujenzi wa flyovers nk.nk.isinge wezekana.Kiukweli ninayo kila sababu ya kumsifu,kutomsifu itakuwa ukosefu wa shukrani.Mbona marais waliopita wote walishindwa kuyafanya haya.
 
Kuna watu wanaomba ikamatwe tena


Huu uzi huwezi kuwaona wapinga maendeleo
Tunapenda kujua ndege zilizopo zinaingiza faida? Manake ni muda kidogo tangu zinunuliwe. Tusifanye biashara ya kujaza duka bidhaa nyingi halafu tunafurahia kuona duka limejaa huku hakuna faida yoyote.
 
Nenda ofisni kwao ukaulize faida
Tunapenda kujua ndege zilizopo zinaingiza faida? Manake ni muda kidogo tangu zinunuliwe. Tusifanye biashara ya kujaza duka bidhaa nyingi halafu tunafurahia kuona duka limejaa huku hakuna faida yoyote.
 
Eti lipeni,kwa hiyo wewe huhusiki na wala sio Mtanzania,si ndio.Hama basi utuache na nchi yetu.

Na kama tumeshinda kesi kwa nini tulipe?Shall we not be very stupid?Na nikuambie kitu,kama Canada tumeshinda hakuna wa kutuweza,Steyn akae chini atulie.Halafuu,nchi gani itakubali kumpoteza mteja mzuri na tajiri kama Tanzania?Jibu ni hakuna.
Mimi mwenyewe nawadai serikali hawanilipi wanalipa kwa mafungu kama ville na mimi nimetoa huduma kwa mafungu. Kama unadaiwa lipa kama unadai lipwa kila mtu asimamie sehemu yake kwa haki na uaminifu.
 
Mkuu Msuluhishi ukiwa upande wa chama fulani ccm cdm cuf nk. unakuwa na makengeza mimi natamani hizo pesa za kununulia ndege tugeimarisha ttcl mana biashara ya mawasiliano inalipa na haina hasara kama ya ndege lakini siwezi kufurahia ndege yetu kushikwa na mdeni anayetudai zaidi ya bi 70 hizo kilomita ngapi? za brbr. ukiona mtoto anafurahi mali ya nyumbani kushikwa na mdeni uyo si mwanafamilia.

Mzee “The Boy TZ”, umetoa hoja kistaarabu sana tofauti kabisa na mtoa mada ambaye kaandika kimipasho kupindukia. Hoja kama yako ni ya heshima na Chama chochote cha siasa kinaweza kuichukua na kuiweka kwenye ilani yake ya uchaguzi ili ishindanishwe kwenye kura katika uchaguzi ujao 2020.
 
Proceedings za mahakama huwa public documents nenda mahakama ya Canada utaona kama mkulima wenu kashinda kesi ama la!! Wakati mwingine tumieni akili hata kidogo.
Nime google sana sijaona nakala. Kama una link please provide.
 
Back
Top Bottom