Rais Magufuli ndiyo ameuona sasa utendaji kazi mbovu wa Jeshi letu la Polisi?

Jeshi la polisi linafanya kazi kwa maelekezo ya jiwe, hivyo jiwe kuonesha kutofurahishwa na utendaji kazi wake ni kujaribu kuwafanya Watanganyika kuwa ni wajinga wasiodadisi na kutafakari juu ya mstakabari wa nchi yao.

Huyu bwana kauli na matendo yake ndivyo kauli na matendo ya polisi wa nchi hii, hivyo kujaribu kujitenga nao ni kuonesha namna alivyo kubwa la wanafiki

Kujaribu kumtenga jiwe na maovu yote yanayotendwa na vyombo vya usalama ni kutaka kumpa sifa asiyoatahili
 
Hilo la kuwa LOCATION ndio jibu sahihi, na hawezi kubadilika kwa sababu sisi wananchi tumejenga tabia ya ukimuona Jangala au Kingwendu hata katika maisha ya kawaida na mambo serious azungumze na afanye yale tunayoyaona kwenye clips tununuazo.
Huyu mtu anajua WATANZANI ni malofa,wapumbavu.
Wajinga wachache sana.
Sasa afikiria kuwa Jumuia ya kimataifa nayo ni pumbavu kama anaowaongoza.
Anafikiria anavyotugeuza geuza watanzani chapati kikaangoni atakavyo, aweza fanya hivyo Jumuia za kimataifa.
Huyu mtu ni hatari sana,ccm imchekee tu na kuamini ananyoosha nchi wataona matokeo yake.
Vituko vyote hivi bado hawaoni tu kuwa huyu mtu hayupo sawa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatugeuza watanzania wote kuwa wapumbavu na malofa!
 
Jeshi la polisi linafanya kazi kwa maelekezo ya jiwe, hivyo jiwe kuonesha kutofurahishwa na utendaji kazi wake ni kujaribu kuwafanya Watanganyika kuwa ni wajinga wasiodadisi na kutafakari juu ya mstakabari wa nchi yao.

Huyu bwana kauli na matendo yake ndivyo kauli na matendo ya polisi wa nchi hii, hivyo kujaribu kujitenga nao ni kuonesha namna alivyo kubwa la wanafiki

Kujaribu kumtenga jiwe na maovu yote yanayotendwa na vyombo vya usalama ni kutaka kumpa sifa asiyoatahili
Absolutely true

Huwezi tenganisha utendaji mbovu wa Jeshi la Polisi na Jiwe
 
Magufuli ni mtu wa kiki na kutafuta kusikika kila uchao.
Kwa mtu wa hadhi kama yake ya Urais hastahili kabisa kutafuta kiki za "kitoto" kama tukio hili la kutekwa kwa Mo

Yeye Rais hawezi tugeuza watanzania wote kuwa ni wapumbavu na malofa!
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, Rais Magufuli akitoa lawama kwa watendaji wa Jeshi letu la Polisi kuwa baadhi ya utendaji wao wa kazi kwa kweli hauridhishi.

Akitolea mfano utekwaji nyara wa mfanyibiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mo, ambaye tokea lilipotokea suala la utekwaji nyara wake, ambapo ulitokea mwezi Oktoba mwaka jana, hivi sasa ni zaidi ya miezi 5 tumeshuhudia zaidi "movie" katika upelelezi wake, ambapo hadi Leo hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusiana na skendo hiyo!

Ndiyo hapo nikawa najiuliza iweje Leo hii ikiwa imepita miezi zaidi ya 5 tokea tukio hilo litokee nchini ndipo Rais anajitokeza hadharani kulilaumu Jeshi lake la Polisi??

Hivi hakuwa akiona kupitia mitandao ya kijamii, hususani mtandao huu wa Jamii Forum namna sisi "whistle blowers" tulivyokuwa tukilishutumu vikali Jeshi lake la Polisi namna linavyofanya "maigizo" katika masuala muhimu ya usalama wa raia na mali zao??

Hivi yeye Mheshimiwa Rais hajui kuwa wajibu na 1 wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kulinda uhai wa raia wake na Mali zao??

Hivi si yeye Mheshimiwa Rais tulimsikia wenyewe kwa masikio yetu akiliambia Jeshi lake la Polisi kuwa eti wakiua "jambazi" basi asisikie akiburuzwa mahakamani na badala yake asikie akipongezwa na kupandishwa cheo??

Hivi mbona hatujamsikia Mheshimiwa Rais akiyaongelea matukio mengine mengi tu ya kutekwa akina Roma Mkatoliki,kupigwa risasi mchana kweupe kwa Mheshimiwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kuuawa kwa Mwenyekiti wa Chadema, mkoani Geita, Alphonce Mawazo, kuyataja baadhi ya matukio mengi yanayotokea nchini hivi na kutekelezwa na "watu wasiojulikana" ambayo nayo hatujawahi kusikia Jeshi letu la Polisi likimkamata hata mtuhumiwa .mmoja na kumuhoji na baadaye kumburuza mahakamani??

Iweje leo hii Mheshimiwa Rais aliongelee suala la Mo,kuwa ni "special case" na kueleza kuwa Jeshi letu la Polisi limefanya uzembe wa kutoweza mkamata mtuhumiwa yeyote kwa mahojiano na kuwaburuza mahakamani??

Hivi katika utendaji kazi wao akina IGP, Simon Sirro na Kamanda wa kipolisi, wa kanda maalum ya kipolisi Dar, Athumani Mambosaa, ambao sisi wadau tumekuwa tukiwalalamikia kwa muda mrefu sana kuhusu utendaji kazi wao wa "maigizo" ni kwanini Mheshimiwa Rais hajawafukuza kazi??

Ndipo hapo wananchi tumejiuliza swali muhimu sana ya kuwa hivi Mheshimiwa Rais alikuwa "serious" kweli wakati analilaumu Jeshi lake la Polisi??

Nimekuwa pia najiuliza hivi ni kitu gani kilichosababisha Mheshimiwa Rais alilaumu Leo Jeshi letu la Polisi kuhusiana na suala la utekwaji wa mfanyibiashara maarufu nchini, wakati huko nyuma Jeshi hilo la Polisi katika utendaji kazi wake mbovu, lilikuwa likipata "all blessings" kutoka kwake Mheshimiwa Rais??

Mungu ibariki Tanzania
Wakati ameshawaruhusu mpaka kuua watuhumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maigizo wanafanya ya kitoto kwa kuwa hakuna wa kuwahoji...na huku wakichezea uhai wa watu..
TAFAKURI;

Nahisi ndoto yake ilikuwa ni kuinyamazisha tz ili hata kama ukilawitiwa na vibaraka wa chama chake useme ahsante.

ANGALIZO;

Watanzania ipo siku moja mtamkumbuka sana huyu mwanasheria msomi kwa kuwapigania haki zenu na kuweka jitihada ya kuwarudishia uhuru wenu juu ya viongozi kuheshimu haki zenu.
NB
Na huenda mabadiliko muhimu kama KATIBA BORA na TUME HURU YA UCHAGUZI vikawa reviewed

MAONI;

1. Binafsi naona huyu sio mwanaharakati bali ni mpigania uhuru kama walivyofanya akina Mandela ambao nusura wafe lakini walisimama kuwatetea watu wao bila kujali maisha yao.

2. Japo mwanasheria huyu binafsi simuungi mkono juu ya anachokiamini juu Barrick kulipa deni letu labda alitolee ufafanuzi, lakini faida ya mtu huyu ni kubwa sana juu ya kupigania haki za watu (raia) bila kujali maslahi binafsi,

ni wajinga pekee ndio wasiouona umuhimu wake ambao kesho wakielimika watamjengea mnara hata kama ameisha tutoka mtu huyu.

MENGINEYO;

Amini usiamini hata miongoni mwao ndani ya chama chao wanamfurahia huyu mwanasheria kwa kuwa hata wao wanakabwa huko waliko wasiongee ni siri yao tu.

Tatizo na nia ya kuwanyazisha watu wasiongee lilitaka kuikumba nchi na kama huyu mtu asinge pona walikuwa wanafanikiwa pakubwa.
Kwa kitisho kile sioni mtu angenena tena

WITO;

Viongozi watambue Dunia ya sasa sio ya kuongoza watu kama kondoo tujifunze kuheshimu haki na tuwasaidie wananchi wazitambue na kuziheshimu sheria kwa upendo sio kuleta chuki ubaguzi na visasi ambavyo havijengi uzalendo bali huzaa uasi na visasi waulize somalia hawakuwa hivi.

MWISHO;
Tumuunge mkono kila anayemtetea mwananchi, anayemletea maendeleo mwananchi, anayemundeleza mwananchi aungwe mkono bila kujali chama chake.

Na tuwalaani kila wanaowanyonya na kuwahujumu wananchi, wanaowatisha wananchi bila kujali vyama vyao.
Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, Rais Magufuli akitoa lawama kwa watendaji wa Jeshi letu la Polisi kuwa baadhi ya utendaji wao wa kazi kwa kweli hauridhishi.

Akitolea mfano utekwaji nyara wa mfanyibiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mo, ambaye tokea lilipotokea suala la utekwaji nyara wake, ambapo ulitokea mwezi Oktoba mwaka jana, hivi sasa ni zaidi ya miezi 5 tumeshuhudia zaidi "movie" katika upelelezi wake, ambapo hadi Leo hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusiana na skendo hiyo!

Ndiyo hapo nikawa najiuliza iweje Leo hii ikiwa imepita miezi zaidi ya 5 tokea tukio hilo litokee nchini ndipo Rais anajitokeza hadharani kulilaumu Jeshi lake la Polisi??

Hivi hakuwa akiona kupitia mitandao ya kijamii, hususani mtandao huu wa Jamii Forum namna sisi "whistle blowers" tulivyokuwa tukilishutumu vikali Jeshi lake la Polisi namna linavyofanya "maigizo" katika masuala muhimu ya usalama wa raia na mali zao??

Hivi yeye Mheshimiwa Rais hajui kuwa wajibu na 1 wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kulinda uhai wa raia wake na Mali zao??

Hivi si yeye Mheshimiwa Rais tulimsikia wenyewe kwa masikio yetu akiliambia Jeshi lake la Polisi kuwa eti wakiua "jambazi" basi asisikie akiburuzwa mahakamani na badala yake asikie akipongezwa na kupandishwa cheo??

Hivi mbona hatujamsikia Mheshimiwa Rais akiyaongelea matukio mengine mengi tu ya kutekwa akina Roma Mkatoliki,kupigwa risasi mchana kweupe kwa Mheshimiwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kuuawa kwa Mwenyekiti wa Chadema, mkoani Geita, Alphonce Mawazo, kuyataja baadhi ya matukio mengi yanayotokea nchini hivi na kutekelezwa na "watu wasiojulikana" ambayo nayo hatujawahi kusikia Jeshi letu la Polisi likimkamata hata mtuhumiwa .mmoja na kumuhoji na baadaye kumburuza mahakamani??

Iweje leo hii Mheshimiwa Rais aliongelee suala la Mo,kuwa ni "special case" na kueleza kuwa Jeshi letu la Polisi limefanya uzembe wa kutoweza mkamata mtuhumiwa yeyote kwa mahojiano na kuwaburuza mahakamani??

Hivi katika utendaji kazi wao akina IGP, Simon Sirro na Kamanda wa kipolisi, wa kanda maalum ya kipolisi Dar, Athumani Mambosaa, ambao sisi wadau tumekuwa tukiwalalamikia kwa muda mrefu sana kuhusu utendaji kazi wao wa "maigizo" ni kwanini Mheshimiwa Rais hajawafukuza kazi??

Ndipo hapo wananchi tumejiuliza swali muhimu sana ya kuwa hivi Mheshimiwa Rais alikuwa "serious" kweli wakati analilaumu Jeshi lake la Polisi??

Nimekuwa pia najiuliza hivi ni kitu gani kilichosababisha Mheshimiwa Rais alilaumu Leo Jeshi letu la Polisi kuhusiana na suala la utekwaji wa mfanyibiashara maarufu nchini, wakati huko nyuma Jeshi hilo la Polisi katika utendaji kazi wake mbovu, lilikuwa likipata "all blessings" kutoka kwake Mheshimiwa Rais??

Mungu ibariki Tanzania
Good analysis,he can't tell us the truth because himself is who created all of it.
Let's say it louder for all to hear.
 
ulikuwa ni usanii tu kama ilivyo kawaida yao. jeshi la Polisi tanzania si chochot ila ni kitengo kimoja wapo cha ccm wapo kwajili ya kuiilinda ccm ibaki madarakani kwa vyovyote
 
Good analysis,he can't tell us the truth because himself is who created all of it.
Let's say it louder for all to hear.
Ninachokiona Mimi ni yeye amejihami, iwapo Tundu Lissu ataendeleza juhudi zake za kutoa lawama kwa Jeshi lake Polisi, watokee watetezi wake waseme kuwa mbona hata Rais mwenyewe analilaumu Jeshi lake??

Kumbe hawajui kuwa akichofanya Jiwe ni usanii wa hali ya juu, kwa kuwa katika "screen" akiongea na Umma wa watanzania anajifanya anakerwa na utendaji wa Jeshi lake la Polisi..........

Lakini "behind the scenes" ni yeye mwenyewe anayeliamrimsha Jeshi lake la Polisi litekeleze unyama wote huu wa raia wasio na hatia akiwa katika jumba lake leupe!
 
Hv uchaguzi mwaka gani?
Tunaomba Lissu asifanye kampeni 2020 tunataka mifumo ya kuhesabu kura ya digital sever zenye uakika chini ya ungalizi wa UN saa nne asubhi ushindi njenje
 
Mtiti alio uanzisha Lissu kule nje ndio kisa cha kutoa tamko la aina hiyo. Hiyo kauli ni kama kusema "hata mimi nashangaa kwa nini hawa Polisi hawafanyi uchunguzi?"
Inaweza kuwa sababu mojawapo au anatafuta justification ya kufanyika kitu flan mf inaweza kutengenezwa zengwe kwamba MO alijiteka na kesi ikaunguruma juu yake, hatujasahau ya Abdu Nondo! (nawaza tu), siwaamini kabisa wanasiasa, yeye sio wa kulituhumu hivyo jeshi la polisi muda huu, wakati limekuwa likifanya uonevu wa kutisha kwa raia kwa muda mrefu!

Natamani akemee na matukio mengine ya watu kupotea, kuuawa kwenye viroba n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaweza kuwa sababu mojawapo au anatafuta justification ya kufanyika kitu flan mf inaweza kutengenezwa zengwe kwamba MO alijiteka na kesi ikaunguruma juu yake, hatujasahau ya Abdu Nondo! (nawaza tu), siwaamini kabisa wanasiasa, yeye sio wa kulituhumu hivyo jeshi la polisi muda huu, wakati limekuwa likifanya uonevu wa kutisha kwa raia kwa muda mrefu!

Natamani akemee na matukio mengine ya watu kupotea, kuuawa kwenye viroba n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, Rais Magufuli akitoa lawama kwa watendaji wa Jeshi letu la Polisi kuwa baadhi ya utendaji wao wa kazi kwa kweli hauridhishi.

Akitolea mfano utekwaji nyara wa mfanyibiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mo, ambaye tokea lilipotokea suala la utekwaji nyara wake, ambapo ulitokea mwezi Oktoba mwaka jana, hivi sasa ni zaidi ya miezi 5 tumeshuhudia zaidi "movie" katika upelelezi wake, ambapo hadi Leo hakuna mtu yeyote aliyekamatwa kuhusiana na skendo hiyo!

Ndiyo hapo nikawa najiuliza iweje Leo hii ikiwa imepita miezi zaidi ya 5 tokea tukio hilo litokee nchini ndipo Rais anajitokeza hadharani kulilaumu Jeshi lake la Polisi??

Hivi hakuwa akiona kupitia mitandao ya kijamii, hususani mtandao huu wa Jamii Forum namna sisi "whistle blowers" tulivyokuwa tukilishutumu vikali Jeshi lake la Polisi namna linavyofanya "maigizo" katika masuala muhimu ya usalama wa raia na mali zao??

Hivi yeye Mheshimiwa Rais hajui kuwa wajibu na 1 wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kulinda uhai wa raia wake na Mali zao??

Hivi si yeye Mheshimiwa Rais tulimsikia wenyewe kwa masikio yetu akiliambia Jeshi lake la Polisi kuwa eti wakiua "jambazi" basi asisikie akiburuzwa mahakamani na badala yake asikie akipongezwa na kupandishwa cheo??

Hivi mbona hatujamsikia Mheshimiwa Rais akiyaongelea matukio mengine mengi tu ya kutekwa akina Roma Mkatoliki,kupigwa risasi mchana kweupe kwa Mheshimiwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kuuawa kwa Mwenyekiti wa Chadema, mkoani Geita, Alphonce Mawazo, kuyataja baadhi ya matukio mengi yanayotokea nchini hivi na kutekelezwa na "watu wasiojulikana" ambayo nayo hatujawahi kusikia Jeshi letu la Polisi likimkamata hata mtuhumiwa .mmoja na kumuhoji na baadaye kumburuza mahakamani??

Iweje leo hii Mheshimiwa Rais aliongelee suala la Mo,kuwa ni "special case" na kueleza kuwa Jeshi letu la Polisi limefanya uzembe wa kutoweza mkamata mtuhumiwa yeyote kwa mahojiano na kuwaburuza mahakamani??

Hivi katika utendaji kazi wao akina IGP, Simon Sirro na Kamanda wa kipolisi, wa kanda maalum ya kipolisi Dar, Athumani Mambosaa, ambao sisi wadau tumekuwa tukiwalalamikia kwa muda mrefu sana kuhusu utendaji kazi wao wa "maigizo" ni kwanini Mheshimiwa Rais hajawafukuza kazi??

Ndipo hapo wananchi tumejiuliza swali muhimu sana ya kuwa hivi Mheshimiwa Rais alikuwa "serious" kweli wakati analilaumu Jeshi lake la Polisi??

Nimekuwa pia najiuliza hivi ni kitu gani kilichosababisha Mheshimiwa Rais alilaumu Leo Jeshi letu la Polisi kuhusiana na suala la utekwaji wa mfanyibiashara maarufu nchini, wakati huko nyuma Jeshi hilo la Polisi katika utendaji kazi wake mbovu, lilikuwa likipata "all blessings" kutoka kwake Mheshimiwa Rais??

Mungu ibariki Tanzania
Kama Mhe. Lowasa juzi alitambulishwa na Mhe. Rais mwenyewe kama Waziri Mkuu mstaafu, aliyefanya mengi kwa nchi hii. Wakati watu waliowahi kuimba "Tunaimani na Lowasa" walipatilizwa mabaya ni nini kisichowezekana kwa rais? Nini kilisichowezekana kwa siasa za TZ?
 
Huyu mzee anabembeleza MISAADA kimtindo,
Baada ya hali ya nchi kuwa mbaya hususani nchi za ulaya kukata misaada kutokana na uminywaji wa democracy na ukiukwaji wa haki za binadamu TANZANIA huyu mzee wetu ameanza kutongoza wahisani kwa gear ya kujivua.

Utekwaji wa MO alikuwa anajua mwanzo mwisho waliomteka iweje leo hii anakuja kwa unafiki wa kiwango hiki?
 
That is absolutely true
 
Back
Top Bottom