Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Duh Mkuu! hautaki aulize swali la nyongeza hahahahah,Shekhe wa Answar Suna na ni kioo cha Qadiiriya Twarika ni Shekhe pekee aliyakataa kuhongwa Ubwabwa na CCM Shekhe aliyeviziwa na Wauwaji wa CCM na kushambuliwa kwa Risasi za Moto lakini kwa mshangao wa wajivuni wa CCM akatoboa.
Si mwingine si mwingine ni Alhaji Sheikh Ponda ibn Issa allah amjaalie
😁😁😂Duh Mkuu! hautaki aulize swali la nyongeza hahahahah,
Kwani CDM ni chama cha kisilam au imekuwaje sijajua. Nilifikiri Shekh kazi yake kuomba dua za mkutano kumbe kuzurura na mgombea wenu okay sawa tutakutana 28/10/2020 uchaguzi kati ya waislam na CCM.Shekhe wa Answar Suna na ni kioo cha Qadiiriya Twarika ni Shekhe pekee aliyakataa kuhongwa Ubwabwa na CCM Shekhe aliyeviziwa na Wauwaji wa CCM na kushambuliwa kwa Risasi za Moto lakini kwa mshangao wa wajivuni wa CCM akatoboa.
Si mwingine si mwingine ni Alhaji Sheikh Ponda ibn Issa allah amjaalie
Hahahaaa kibwengo hahaa duu Bonge la ID. Poa Kura yako ni kama tone la mchanga kwenye bahari...
Hilo swali ungewauliza CCM na Mashehe Ubwabwa wao hususan huyo Shekhe aliyezowea Liwati dhidi ya Wake za watu huyo Shehe wa Makonda na Mufti wa CCM laana ya Mungu iwe juu yakeKwani CDM ni chama cha kisilam au imekuwaje sijajua. Nilifikiri Shekh kazi yake kuomba dua za mkutano kumbe kuzurura na mgombea wenu okay sawa tutakutana 28/10/2020 uchaguzi kati ya waislam na CCM.
Lazima itakuwa mchawi wewe si bure!Ndugu yangu Chamachamapinduzi kimeboresha orodha ya wanachama wake just before kura za maoni za chama Yani ni juzi tu. Hai mili 14 ni juzi tu wamekua updated. Ovaa we bishana na data majibu utayaona wiki ijayo. CCM wanatafuta asilimia 90 za kura siyo ushindi tu. Kitakwimu wameshashinda Ila wanatafuta ushindi wa kishindo.
Magufuli akiahidi, hutekeleza. Hakuwahi kuahidi kabla ya jana.Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Hahaha zee limechanganyikiwa na mziki wa Lissu, alitegemea mwaka huu atakubalika 99% hakutegema Lissu kujaza watu alihisi watanzania wote vilawa wanadanganyika kama vilaza aliowa-brainwash
Angekuwa mkweli angetuambia pia vianzo vya mapato ya kuongeza mishahara.Tundu Lissu amesisitiza kwenye swala la mishahara.Ataboresha.
Kura zote kwa Lissu.
Mzee mjanja mjanja huyu!Aache unafiki watumishi lazima tuchinjeee...alisema mei mosi ataongeza kabla ya kutoka madarakani sasa anakuja na ulaghai mwongomwongo
Foolish, Kwani nikiwa Masamaki tatizo nini?Inawezekana wewe ni familia masamaki wa nyumba 70 sikushangai ukimchukia JPM endelea kulia lakini 28/10/2020 kura za heshima kwa JPM nyingi mno.
KabisaaaaTundu Lissu amesisitiza kwenye swala la mishahara ataboresha.
Kura zote kwa Lissu.
Kaweke kura yako kwa Mbeligiji lakini mshindi JPM. Mtaelewa tu.Huo Mshahara hata Kama angeongeza Leo Mara mbili ya ule mshahara WA awali bado Ningemtumbua tuu tarehe 28/10/2020.Tunataka HAKI mshahara kuongezwa ni haki ya mfanyanyakazi sio hisani ya Mtu. Yeye na familia yake wanakula, kulala kuvaa ,kusafiri Buree Kupitia KODI zetu hajui shida za wafanyakazi wanavyo teseka. Asubirie kunyoshwa tuu Mahamba Sana huyu Jama.