Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Shekhe wa Answar Suna na ni kioo cha Qadiiriya Twarika ni Shekhe pekee aliyakataa kuhongwa Ubwabwa na CCM Shekhe aliyeviziwa na Wauwaji wa CCM na kushambuliwa kwa Risasi za Moto lakini kwa mshangao wa wajivuni wa CCM akatoboa.

Si mwingine si mwingine ni Alhaji Sheikh Ponda ibn Issa allah amjaalie
Duh Mkuu! hautaki aulize swali la nyongeza hahahahah,
 
Shekhe wa Answar Suna na ni kioo cha Qadiiriya Twarika ni Shekhe pekee aliyakataa kuhongwa Ubwabwa na CCM Shekhe aliyeviziwa na Wauwaji wa CCM na kushambuliwa kwa Risasi za Moto lakini kwa mshangao wa wajivuni wa CCM akatoboa.

Si mwingine si mwingine ni Alhaji Sheikh Ponda ibn Issa allah amjaalie
Kwani CDM ni chama cha kisilam au imekuwaje sijajua. Nilifikiri Shekh kazi yake kuomba dua za mkutano kumbe kuzurura na mgombea wenu okay sawa tutakutana 28/10/2020 uchaguzi kati ya waislam na CCM.
 
Kwani CDM ni chama cha kisilam au imekuwaje sijajua. Nilifikiri Shekh kazi yake kuomba dua za mkutano kumbe kuzurura na mgombea wenu okay sawa tutakutana 28/10/2020 uchaguzi kati ya waislam na CCM.
Hilo swali ungewauliza CCM na Mashehe Ubwabwa wao hususan huyo Shekhe aliyezowea Liwati dhidi ya Wake za watu huyo Shehe wa Makonda na Mufti wa CCM laana ya Mungu iwe juu yake

CCM imekuwa ndio kinara cha kucheza na dini

CCM imekuwa ikiwapiga Mashekhe makini wapenda Haki wa huko Pemba bila ya sababu

Askofu Mwamakula amekemea mchezo wa CCM dhidi ya Mashekhe wanaojitambua.
 
Rais Magufuli ni genius.
Usidanganye kwamba anasema leo, labda Kama mnataka kufurahishana BAVICHA. Siku kuunga May Day Kilimanjaro alitamka wazi bila unafiki, " Siwaongezei mishahara, lakini kabla ya vipindi vyangu vya urais kuisha nitaongeza mishahara".

Na alikuwa wazi kutotaka kuongeza mishahara kisanii bali akiongeza mishahara ataongeza kwelikweli.

Nchi ilikuwa inakusanya billion 800, mishahara inakula billion 600-700! Alafu bado unataka kuongeza mishahara! Muwadanganye wasiojielewa. Angewekeza kuongeza 20,000.00 au 30,000.00 Kama ilivyokuwa siku za nyuma alafu akaja sifa imeongezeka mishahara!

Magufuli kaongeza makusanyo ya kodi. Kawekeza kwenye kuboresha huduma kwa wote hivyo kupunguza gharama za maisha. Kawekeza kwenye uzalishaji na hivyo kuwa na uhakika wa ongezeko kubwa zaidi la kipato, na ndipo afikirie kuongeza mishahara.

Kumbukeni Rais ni wa watanzania milioni 60 na siyo wafanyakazi laki 6. Kumlaumu Rais anayetumia keki ya taifa kwa manufaa ya watanzania milioni 60 badala ya laki 6 tu ni upunguani!
 
Ndugu yangu Chamachamapinduzi kimeboresha orodha ya wanachama wake just before kura za maoni za chama Yani ni juzi tu. Hai mili 14 ni juzi tu wamekua updated. Ovaa we bishana na data majibu utayaona wiki ijayo. CCM wanatafuta asilimia 90 za kura siyo ushindi tu. Kitakwimu wameshashinda Ila wanatafuta ushindi wa kishindo.
Lazima itakuwa mchawi wewe si bure!
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!

Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?

Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini

Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?

Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Magufuli akiahidi, hutekeleza. Hakuwahi kuahidi kabla ya jana.
 
Huo Mshahara hata Kama angeongeza Leo Mara mbili ya ule mshahara WA awali bado Ningemtumbua tuu tarehe 28/10/2020.Tunataka HAKI mshahara kuongezwa ni haki ya mfanyanyakazi sio hisani ya Mtu.

Yeye na familia yake wanakula, kulala kuvaa ,kusafiri Buree Kupitia KODI zetu hajui shida za wafanyakazi wanavyo teseka. Asubirie kunyoshwa tuu Mahamba Sana huyu Jama.
 
Huo Mshahara hata Kama angeongeza Leo Mara mbili ya ule mshahara WA awali bado Ningemtumbua tuu tarehe 28/10/2020.Tunataka HAKI mshahara kuongezwa ni haki ya mfanyanyakazi sio hisani ya Mtu. Yeye na familia yake wanakula, kulala kuvaa ,kusafiri Buree Kupitia KODI zetu hajui shida za wafanyakazi wanavyo teseka. Asubirie kunyoshwa tuu Mahamba Sana huyu Jama.
Kaweke kura yako kwa Mbeligiji lakini mshindi JPM. Mtaelewa tu.
 
Back
Top Bottom