Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

Mtetee wewe na familia yako ,,usituusishe kwny ujinga wako.
Wewe wasema lakini Kama upo Tanzania au unandugu hapa, basi wanafaidi matunda ya jasho lao kwa Rais na serikali kutumia vizuri kodi zao kuhakikisha;
Wanapata maji safi na salama
Kusambaza umeme vijijini
Watoto wao kupata elimu ya msingi bila malipo
Kusafiri na kusafirisha mazao yao kwenye barabara nzuri
Kuboreshewa huduma za kiafya
Kurudisha nidhamu serikalini
Mambo ni mengi
 
Kwanza kaa kimya usituambie upuuzi watu wanapigwa risasi kama lissu, wewe utakuwa kichwa kibovu sio bure
 
Nimesoma mpaka Aya ya tatu nikagundia kinachoendelea uko chini ni taka taka aisee sijamaliza kusoma . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Mnatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa kafanya kazi kubwa. Kwa kuwa tunajiamini tumefanya kazi kubwa turuhusu tume huru ya uchanguzi nazani ndo kipimo tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli lazima usemwe hasa pale unataka kupotoshwa
 
Nimesoma mpaka Aya ya tatu nikagundia kinachoendelea uko chini ni taka taka aisee sijamaliza kusoma . Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Mnatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa kafanya kazi kubwa. Kwa kuwa tunajiamini tumefanya kazi kubwa turuhusu tume huru ya uchanguzi nazani ndo kipimo tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uvivu bwashee
 
Mimi nasubiria 28/10/2020 niende nikamuidhinishe Mh Jembe Dr John Joseph Magufuli aendelee kuiongoza nchi yetu kwa amani na upendo.

Hawa wengine walishajisemea wenyewe kwamba wakishindwa uchaguzi wa 2015, wasuburi miaka mingine hamsini, kwa hiyo miaka haujakamilika.
Hoja nzito hiyo. Washawishi na wengine uandamane nao. Hatuhitaji ushindi kiduchu, tunataka tuvunje rekodi
 
Nenda kapimwe akili taira we ulie toroka merembe et tumuunge tumuunge muuwaji na mbaguzi mavi yako ww tako
 
Wewe wasema lakini Kama upo Tanzania au unandugu hapa, basi wanafaidi matunda ya jasho lao kwa Rais na serikali kutumia vizuri kodi zao kuhakikisha;
Wanapata maji safi na salama
Kusambaza umeme vijijini
Watoto wao kupata elimu ya msingi bila malipo
Kusafiri na kusafirisha mazao yao kwenye barabara nzuri
Kuboreshewa huduma za kiafya
Kurudisha nidhamu serikalini
Mambo ni mengi

Hizo huduma unazotaja ni za south Afrika.
 
Back
Top Bottom