Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Ukweli lazima usemwe hasa pale unataka kupotoshwa
Uvivu gani. ? Umeandika vitu ambayo avivutii totally. Mnatumia nguvu kubwa Sana.Acha uvivu bwashee
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza kaa kimya usituambie upuuzi watu wanapigwa risasi kama lissu, wewe utakuwa kichwa kibovu sio bure
Tanzania hii hii ndugu. Lipi la uongo hapo?Hizo huduma unazotaja ni za south Afrika.
KUvivu gani. ? Umeandika vitu ambayo avivutii totally. Mnatumia nguvu kubwa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwenda Rasmi kumpigia kura Rais Magufuli kura ya urais ila udiwani na ubunge nitapigia upinzani.Ninawasalimu ndugu zangu.
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.
Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.
Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.
Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.
Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.
Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Familia ya lisu na ben sanane wakisoma huu utopolo wanakulaani mbele za Mungu.Ninawasalimu ndugu zangu.

Mkuu bado sijajua Kati yangu mimi na ww n nani mwenye kichwa kibovu ila tutamjua tuu. Tuvute subira ila wakati tunaendelea kusubiri unaweza kuniambia kuna uhusiano gani kati ya maendeleo yanayoonekana kwa macho na mtu kupigwa risasi
Kaa kwenye mada
Atetewe kwa lipi aise embu jiheshimu ebo!!!
Imeandikwa, usilaani. Hata hivyo hawaana cha kuwafanya wanilaani.Familia ya lisu na ben sanane wakisoma huu utopolo wanakulaani mbele za Mungu.
Unaandika ujinga mkuu muogope Mungu.
Mungu yupi? Labda sio Mungu nimjuaye mini
Ujinga ni upi hapo? Kubali ukweli, utakuwa huru
Hivi unajua mamlaka ya Rais?Unamtetea kwa nani na kwa jeshi la Nani?Yaani wewe umtetee anayepaswa kututetea sisi kwa mujibu wa katiba?Acha kumpangiaNinawasalimu ndugu zangu.
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.
Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.
Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.
Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.
Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.
Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.
Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.
Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Nenda kapimwe akili taira we ulie toroka merembe et tumuunge tumuunge muuwaji na mbaguzi mavi yako ww tako
Hivi unajua mamlaka ya Rais?Unamtetea kwa nani na kwa jeshi la Nani?Yaani wewe umtetee anayepaswa kututetea sisi kwa mujibu wa katiba?Acha kumpangia
Hebu wataje tuwafuate Sasa hiviDhidi ya maadui wote, wa ndani na nje
Kama huyu ni lulu, basi lulu imepoteza thamani Sana.Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu
Ni matusi makubwa na kufuru isiyo na kifani kumfananisha nabii na baladhuli.Nabii mara nyingi hapati heshima kwao,
Acha ubinafsi wewe. Vipi wa upande wa pili na wakosoaji wanaotekwa, kuuawa na kujeruhiwa kwa risasi?Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM.
Atadhali weweKwanini atetewe? Sijaelewa
Hebu wataje tuwafuate Sasa hivi
Kama huyu ni lulu, basi lulu imepoteza thamani Sana.
Ni matusi makubwa na kufuru isiyo na kifani kumfananisha nabii na baladhuli.
Acha ubinafsi wewe. Vipi wa upande wa pili na wakosoaji wanaotekwa, kuuawa na kujeruhiwa kwa risasi?