Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

Ungekuwa na akili ya kufuatilia mambo ungeelewa ila kwakuwa wewe ni zuzu la kusifia hutaelewa kamwe. Ni wapi uliwahi kusafiri wakakuambia kuwa una bahati kumpata Magufuli?
G Sam, kwani hasira za nini ndugu yangu? Wanasema kuuliza si ujinga. Sikuelewa ndio maana nikauliza.

Sijajua kama mtu asiye zuzu anaweza kujadiliana na zuzu. Natambua kuwa ndege wenye rangi moja abadani hawaachani, huruka pamoja
 
Umeshaelewa?
 
Ninawasalimu ndugu zangu.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".
Mzalendo wa kweli ALWAYS ataipigania nchi, and no exception! Ataipigania serikali na/au rais IF AND ONLY IF anaamini serikali na/au kiongozi wa nchi anayofanya au kusema yana maslahi mapana kwa taifa, na sio kinyume chake!

Mzalendo wa kweli akiamini Rais anafanya au kusema jambo linaloweza kuhatarisha maslahi ya taifa, atapambana bila uoga dhidi ya rais au serikali husika!!

Basically, inatarajiwa Rais atakuwa hapo alipo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa lakini si ajabu hata kidogo kukuta rais anafanya mambo sio tu yanayolenga maslahi yake binafsi bali pia yanayohatarisha maslahi mapana ya taifa!!

Nchi nyingi kama sio zote barani Afrika zinahujumiwa na viongozi wa juu, including marais!!

Rais wa aina hiyo ni adui wa taifa, na anastahili kupingwa kwa nguvu zote na wazalendo wa kweli haidhuru hata kama ataendelea kutetewa na wazalendo fake ambao kimsingi wao kazi yao sio kutetea au kulipigania taifa bali kazi yao kubwa ni kutetea utawala na watawala!!

Na hakuna sumu kubwa kwa taifa kama watu ambao goal yao ni kutetea utawala na watawala, kwa sababu hawa huwa haoni aibu kutetea au kuunga mkono jambo lolote linalotoka kwa watawala hata kama ni jambo la kipumbavu!!

Wewe, kwa maana ya mleta mada, unaonesha wazi ni mtetezi wa mfumo/rais/serikali na sio mtetezi wa taifa!!
 
Ni nani atamtetea Rais anayewatesa raia anaowaongoza?

*Huduma za afya gharama zake ziko juu.
*Watumishi wa umma hawajaongezwa mshahara kwa miaka mitano.
*Watu wanauawa, kutekwa na kupotezwa kila uchao.
*Wakulima wananyang'anywa korosho utadhani wanaishi uhamishoni wakati wako kwenye nchi waliyozaliwa.
*Na kadhalika, na kadhalika.
Wanaccm mazuzu
 
Ninawasalimu ndugu zangu.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".

Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.

Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.

Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.

Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.

Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.

Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.

Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.

Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Sioni kama anaunyonge hata atetewe!
 
Mzalendo wa kweli ALWAYS ataipigania nchi, and no exception! Ataipigania serikali na/au rais IF AND ONLY IF anaamini serikali na/au kiongozi wa nchi anayofanya au kusema yana maslahi mapana kwa taifa, na sio kinyume chake!

Mzalendo wa kweli akiamini Rais anafanya au kusema jambo linaloweza kuhatarisha maslahi ya taifa, atapambana bila uoga dhidi ya rais au serikali husika!!

Basically, inatarajiwa Rais atakuwa hapo alipo kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa lakini si ajabu hata kidogo kukuta rais anafanya mambo sio tu yanayolenga maslahi yake binafsi bali pia yanayohatarisha maslahi mapana ya taifa!!

Nchi nyingi kama sio zote barani Afrika zinahujumiwa na viongozi wa juu, including marais!!

Rais wa aina hiyo ni adui wa taifa, na anastahili kupingwa kwa nguvu zote na wazalendo wa kweli haidhuru hata kama ataendelea kutetewa na wazalendo fake ambao kimsingi wao kazi yao sio kutetea au kulipigania taifa bali kazi yao kubwa ni kutetea utawala na watawala!!

Na hakuna sumu kubwa kwa taifa kama watu ambao goal yao ni kutetea utawala na watawala, kwa sababu hawa huwa haoni aibu kutetea au kuunga mkono jambo lolote linalotoka kwa watawala hata kama ni jambo la kipumbavu!!

Wewe, kwa maana ya mleta mada, unaonesha wazi ni mtetezi wa mfumo/rais/serikali na sio mtetezi wa taifa!!
Angalau sasa hoja zinaanza. Nimefurahi kuona uelewa wako mzuri kwenye mada hi ila mwisho umehitimisha kwa kunilisha maneno.

Ni kweli na nilisema hapo awali, mzalendo wa kweli ni yule ambaye yupo tayari kufa kwaajili ya nchi yake. Ila ni vyema kujiuliza, nchi ni nini hasa? Ni Rais?, ni mimi na wewe? Ni utamduni wetu? N nn hasa? Tafuta jibu.

Rais ndie kiongozi mkuu na taswira ya nchi. Yeye kiitifaki anaitwa raia namba moja. Yeye amebeba maono na ndoto za nchi, akitikisika, nchi imetikisika. Rais anapokuwa anatenda mambo ya maendeleo basil sisi raia was kawaida kumuunga mkono sio kujipendekeza, kumuunga mkono ni uzalendo.

Ninaomba utambue kuwa Rais Magufuli sio malaika na hajawa mtakatifu, anayo madhaifu na huo ndio ubinadamu. Nimeweka orodha ya mambo mazuri anayoifanyia Tanzania. Ungesema lipi ni la uongo?

Dhana ya kutetea inatokana na kundi la watu kuibuka na kupotosha ukweli wa mambo
 
Mada yenyewe ni ya kimagumashi, hoja haziwezi kuzalishwa na mada zilizokaa tenge.

Unavunjia wananchi nyumba kibabe wakati kuna zuio la mahakama kusitisha zoezi, wewe kweli ni binadamu?
 
Unajua kuwa hujui lakini hutaki kujuzwa, kwenye ujinga haupo na kwenye upumbavu sikuoni. Wananzengo watakutafutia kundi lako stahiki
 
Ninawasalimu ndugu zangu.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".

Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.

Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.

Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.

Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.

Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.

Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.

Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.

Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Na huu ubaguzi anao endekeza?
 
Unajua kuwa hujui lakini hutaki kujuzwa, kwenye ujinga haupo na kwenye upumbavu sikuoni. Wananzengo watakutafutia kundi lako stahiki
mada yako ni utopolo mtupu
Ni ya kilofa

Unawaambia wakurugenzi wasitende haki kuwatangaza watu walioshinda uchaguzi kwa sababu ni wapinzani na kwamba eti mishahara unawalipa wewe, magari ya kazi unawapa wewe, kwa hiyo unataka wakupe favor wewe kinyume cha maamuzi ya wananchi. Kweli wewe ni kiongozi unayestahili kutetewa?
 
Kwa Mikakati yenye Nia nzuri inayopangwa na upinzani Magufuli Ashindi na ndiyo mwisho ccm mjiandae kisaikolojia hakuna ushindi wa mezani kila mbinu yao hila itawekwa wazi
 
Ninawasalimu ndugu zangu.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".

Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.

Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.

Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.

Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.

Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.

Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.

Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.

Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
Kama unaona kafanya mengi ni shauri yako. Hata wengine tunaona hayo mengi aliyofanya kwa jicho la ziada. Nakutajia:
A.Mara tu alipoingia Ikulu alionyesha "ushetani" wake kwa kubomolea wana Kimara nyumba zao kisa walijenga isivyo! (Kumbuka Mwanza aliwaacha kuwa ni wapiga kura wake!)
B.Akiwa Waziri wa Ujenzi "alipora" na kuuza nyumba kifisadi.
C.TANGU AINGIE iKULU AMEKUWA ANAJITAHIDI KUENDESHA NCHI KIKABILA,KIUKOO(KAJAZA NDUGUZE) na kuondoa isivyo halali walokuwa awali. Rejea CAG.
D.Kauli na vitendo vya kukandamiza upinzani kukithiri (hadi miradi ya maendeleo kutolewa kibaguzi (jibu kwa wakazi wa Lindi kwa Mh.Bwege!
E.Uwongo uliokithiri kwa wananchi(juu ya miradi ya maendeleo kutumia fedha ya ndani/nje.Ushahidi upo na deni kuongezeka kwa kasi ya ajabu.
F.Kuleta siasa za chuki na mgawanyiko (sumu kali) kwa umoja wetu na uhuru wa maoni,kujieleza n.k. kodorola.
Sijui hayo unayotaka kutuaminisha kafanya mengi ni kwa ajili ya nani/nini?
 
Imeandikwa, usilaani. Hata hivyo hawaana cha kuwafanya wanilaani.
Tatizo hutaki kusikia usichokipenda. Huo ni ugonjwa na tiba yake ni kuupenda ukweli tuu
Ulihusika kumchapa risasi Lissu na kumpoteza Ben au ni mmoja wa wanufaika na "uhuni" huu? Siku yakikukuta madhila ya ain hiyo utakuwa shuhuda wa malalamiko yasikikayo kila kona!
 
Ninawasalimu ndugu zangu.

Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais ndie taswira ya nchi. Mwalimu Nyerere alipata kusema " ukimtikisa Rais wa nchi, umeitikisa nchi".

Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika kipindi hiki kifupi cha miaka mitano. Pamoja na ukweli kuwa watangulizi wake walifanya kwa kadiri ya uwezo wao, Rais Magufuli ninaweza kusema amefanya na ziada. Mungu ampe maisha marefu yenye mafanikio kiongozi wetu huyu.

Marehemu mzee Mengi alikuwa akisema kuwa moja ya changamoto kubwa inayowakabili watu wanaotaka kufanya biashara ni uthubutu. Uthubuti sio kwenye biashara tuu, ni kwenye kila jambo. Rais Magufuli anayo sifa hii adimu. Amethibitisha pasipo kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni zawadi kwa watanzania.

Mzee huyu ni hodari, jasiri, msema kweli, mchapakazi, mfuatiliaji na zaidi sana, ni mzalendo kwelikweli.

Sekta zote za uchumi, kijamii na kiutamaduni amegusa. Angalia miundombinu, kilimo, afya, madini, elimu, utalii, uvuvi n.k. Mambo yameanza kukaa sawa. Tunahiy kumpa mzee wetu miaka mingine mitano ili atuvushe na kuendelea kutuheshimisha.

Hata kwa CCM, Kuna wakati ulikuwa hukatizi mitaani ukiwa na sare za chama. Binafsi ni muhanga wa kuzomewa na watu pale Arusha mjini mwaka 2013. Leo hii tunaona ufahari kuwa wanaCCM. Ukisafiroli nje ya Tanzania, watu wanatuambia nyie mnabahati sana kumpata Magufuli. Tunaheshimiwa sana huko nje. Pamoja na ukweli kuwa hafanyi haya yeye peke yake lakini yeye Kama kiongozi ndie mbeba maoni na dereva wetu. Mafanikio yanaakisi ndoto yake kwa nchi yake na maono yake.

Ninawaomba watanzania wore wazalendo bila kujali itikadi za vyama, dini au kabila, tumuunge mkono Rais Magufuli, tumtie moyo na kumuombea sana. Huyu ni lulu kwetu. Mimi binafsi, nitasimama na kumtetea Rais bila uoga wala aibu.

Ninawapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kumsaidia Rais kuifikisha Tanzania hapa ilipo. Viongozi wa dini zote nao ninawashukuru kwa kusimama na Rais bila kujali matusi na dharau kutoka kwa waumini wao. Wamechagua fungu lililo jema. Tusiache kumuombea Rais ili tiendelee kuwa salama.

Nabii mara nyingi hapati heshima kwao, lakini tubadilike, tusisubiri mtu afe halafu ndio tuseme sifa zake nzuri. Haisaidii sana maana hasikii. Tuseme sasa, wakati ni sasa.
nakubali sana magu atetewe sana but pia akubali anapokosolewa maana twajua yu binadam so yapo makosa amefanya bila kujua au kutojua na niwai sema hum kwamba wenda magu nikiongozi mzuri tatizo kubwa wenda wakawa wapambe au washauri wanao angalia matumbo yao
 
Back
Top Bottom