Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
FactKutajirika ni kutegemewa, ni uwezo wa kuwafanya wengine wakutumikie na kukutegemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactKutajirika ni kutegemewa, ni uwezo wa kuwafanya wengine wakutumikie na kukutegemea.
Tunaweza kuanza na nchi za Kenya, south sudan na India watutegemee sisi kwa chakula. India watutegemee kwa mbaaziUmetumia muda mwiiingi kuandika lakini msingi wa ushauri wako unajipinga wenyewe!!
Lazima mtu anapotaka kujitegemea ni sharti afanye kazi na baada ya zile kazi kuleta matunda, mwenyewe tu bila kuambiwa na mtu ataweka watu wa kusaidia ili azidi kuimarika na kujiletea utajiri
Kwa akili nyingine ambayo nilitaka nielewe ingawa hata hukikisema, ni Tanzania na Jeshi lake waende Tu kwenye ki nchi tukakikalie na kuchukua Mali huko ili tutajirike kama zifanyavyo nchi zenye nguvu
Wewe ndio ukasome tena.
Wapi hujaelewa?
Hakuna taifa linaloendelea dunia kwa kutegemea watu wake wa ndani pekee, wapi hujaelewa wewe?
Hata wewe binafsi, fanya kazi ufanyavyo kwa bidii zote, huwezi kuwa tajiri kwa kujitumikisha mwenyewe, lazima utumikishe wengine. Bado hujanielewa na hapa
MKUU ROBERT UMEANDIKA VIZURI SANA..
Nchi jirani tu kama Rwanda inapiga hatua kwa kasi sana kwa sababu ya kuitawala Congo. Vita vya Congo Maradhi nk Vyote ni kutokana na Mataifa Mengi makubwa kuivamia Congo.
KUNAUWEZEKANO MKUBWA AFRIKA MASHARIKI KUTAWALIWA NA BAHIMA EMPIRE.
Tatizo kubwaa Lipo hapa.
"MIMI UKINISHAURI NDIO UMEHARIBU KABISA MAANA SITOFANYA UNACHO NISHAURI".
.
MIMI SIPANGIWI.
JPM Magufuli.
Mtoa hoja hujui tayari tunaitawala na kuitumikisha Zanzibar !!
Zanzimana IQ yake ni too low to understand what you wrote , Hana anachojua , ni hamna kitu kabisaaa ,Hana anachoelewa huyo waliomsukumiza wamempa kazi Sana Mzee wa marijuana sativa .
Ndefu mno. Nitamalizia kesho
Mkoloni mweusi.
Bandiko refu sana ungeweza kuandika fupi tu na ujumbe wako ungeeleweka, umerudia rudia mno maneno. Ushuri wako sijui unalenga nini maana unachokidai hapa mbona ndicho kinachofanyika? Hivi hya makampuni ya kigeni mfano yanyojenga SGR, Nyerere george, daraja la Busisi wewe huyaoni? Au unataka tuwateke watu waje tuwatumikishe halafu sisi tuwe wanyapra?
Marekani imeendelea kwa kutegemea watu wake pekeeWewe ndio ukasome tena.
Wapi hujaelewa?
Hakuna taifa linaloendelea dunia kwa kutegemea watu wake wa ndani pekee, wapi hujaelewa wewe?
Hata wewe binafsi, fanya kazi ufanyavyo kwa bidii zote, huwezi kuwa tajiri kwa kujitumikisha mwenyewe, lazima utumikishe wengine. Bado hujanielewa na hapa