Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli china imeendelea kwa kutumikisha wananchi wake mpaka leo hii. Hata wewe unaweza kuendelea ukijitumikisha wewe mwenyewe kufanya kazi yako ya kujiajiri kisha kuwauzia watu wenye uhutaji na bidhaa zako. Ulikuwa hujuwi hili?
Narudia tena kukuambia umerudia rudia sana mambo yale yale katika aya tofauti kwani ujumbe wako ulikuwa unaweza ishia aya chache tu na ukaeleweka. Kwani wewe hukusoma kuandika barua ya maneno kumi? Au kwenye mtaala wenu hii iliondolewa? Siku nyingine kabla ya kuandika vitu ujiulize mara mbili mbili, huwezi sema tutumikishe watu wa nje ndio uchumi wetu ukue, hapo unatudanganya.Andiko limelenga watu wazima waliopevuka akili, kama ningekuwa naandikia watoto wa chekechekea ningeandika aya mbili tuu, lakini umeshaona nimemtaja Rais, Uliona wapi Rais tena mwenye Phd akaandikiwa kifupi kana kwamba yeye ni mtoto mdogo.
Aliyekuambia hayo uliyosema siyaoni ni nani? Naomba ukisoma makala za kikubwa utulize akili yako, kama umezoea makala zenye ufupisho ninngekusihi ufuatilie hizo hizo. Hizi ndefu waachie wakubwa wako
Hii makala imeshiba. Kama unasema mleta mada ni mtoto mdogo, basi lazima wewe ni mtoto mchanga.Kweli wewe bado mtoto mdogo. Ujeruman, China na Korea Kaskazini ziko hapo zilipo kwa juhudi za watu kufanya kazi kwa bidii.
Mao aliwachimbisha wachina visima vya mafuta hila ya mitambo.
Hitler aliwakusanya wasomi na kuwaweka kambini kisha kuwaamuru watengeneze mitambo ama mifumo kulingana na taaluma zao.
Kasome tena kisha urudi hapa.
Kama kumbukumbu yangu ipo sahihi, nadhani hii ni falsafa ya utajiri iliyotolewa na Tajiri msomi wa Marekani, aliyesema kuwa, huwezi kuwa tajiri mpaka uwe na uwezo wa kuwafanya watu wengine wafanye kazi kwaajili yako.Wewe ndio ukasome tena.
Wapi hujaelewa?
Hakuna taifa linaloendelea dunia kwa kutegemea watu wake wa ndani pekee, wapi hujaelewa wewe?
Hata wewe binafsi, fanya kazi ufanyavyo kwa bidii zote, huwezi kuwa tajiri kwa kujitumikisha mwenyewe, lazima utumikishe wengine. Bado hujanielewa na hapa
Yaani MATAGA ni kama MALAYER.Kweli wewe bado mtoto mdogo. Ujeruman, China na Korea Kaskazini ziko hapo zilipo kwa juhudi za watu kufanya kazi kwa bidii.
Mao aliwachimbisha wachina visima vya mafuta hila ya mitambo.
Hitler aliwakusanya wasomi na kuwaweka kambini kisha kuwaamuru watengeneze mitambo ama mifumo kulingana na taaluma zao.
Kasome tena kisha urudi hapa.
Narudia tena kukuambia umerudia rudia sana mambo yale yale katika aya tofauti kwani ujumbe wako ulikuwa unaweza ishia aya chache tu na ukaeleweka. Kwani wewe hukusoma kuandika barua ya maneno kumi? Au kwenye mtaala wenu hii iliondolewa? Siku nyingine kabla ya kuandika vitu ujiulize mara mbili mbili, huwezi sema tutumikishe watu wa nje ndio uchumi wetu ukue, hapo unatudanganya.
Hivi Israeli walimtumikisha nani? China, Urusi, Dermak, Norway walimtumikisha nani? Shauri watanzania tufanye kazi tujenge uchumi wetu kisha watu wavutiwe waje hapa kwetu wafanye biashara tukusanye kodi, sio kuleta fikra za kitumwa karne hiiya 21.
Kama kumbukumbu yangu ipo sahihi, nadhani hii ni falsafa ya utajiri iliyotolewa na Tajiri msomi wa Marekani, aliyesema kuwa, huwezi kuwa tajiri mpaka uwe na uwezo wa kuwafanya watu wengine wafanye kazi kwaajili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawaza labda huenda ulikuwa na maana kuwa Magufuri hawawezi kutuletea maendeleo bila kushirikiana na mataifa mengine! Imagine Tanzania inawezaje kuwatumikisha mfano mataifa kama Marekani,Ujerumani ,nk ili tuendelee?
Wewe unaijui historia gani sasa, badala ya kunijibu kuwa Israeli imejengwa na nani au china, Rusia,Nikishakuambia utulie kwenye mada za kikubwa utulie kweli.
Wewe israel unayoizungumzia ni ipi hiyo? Ni ile ya kwenye Biblia? au hiyo iliyoanzishwa 1948 hapo Palestina?
Ukishanijibu hapa ndio nitajua nazungumza na nani hasa.
Wewe kama hujui Historia nimekuambia ukae kimya, Urusi na china unazijua vizuri, Unaijua USSR? Kabla hujataja nchi lazima uijue vyema, hizo nchi zingine kama Norway huna ulijualo, unajua kwa nini Norway iliongoza kwa uvuvi na kuipiku Japan baada ya vita ya pili ya dunia?
Nakushauri ukasome historia vizuri kabla hujaja kwenye uzi wa kikubwa. Yaani andiko halijafikisha hata maneno elfu kumi unalia lia
Wale walikamatwa na Hitler walikuwa ni Wayahudi sio watu wa taifa lake na hata hivyo sidhani kama waliponaKweli wewe bado mtoto mdogo. Ujeruman, China na Korea Kaskazini ziko hapo zilipo kwa juhudi za watu kufanya kazi kwa bidii.
Mao aliwachimbisha wachina visima vya mafuta hila ya mitambo.
Hitler aliwakusanya wasomi na kuwaweka kambini kisha kuwaamuru watengeneze mitambo ama mifumo kulingana na taaluma zao.
Kasome tena kisha urudi hapa.