Wewe ndio ukasome tena.
Wapi hujaelewa?
Hakuna taifa linaloendelea dunia kwa kutegemea watu wake wa ndani pekee, wapi hujaelewa wewe?
Hata wewe binafsi, fanya kazi ufanyavyo kwa bidii zote, huwezi kuwa tajiri kwa kujitumikisha mwenyewe, lazima utumikishe wengine. Bado hujanielewa na hapa
Hajakuelewa huyu ndugu Sexless..
Ukweli ndiyo huo...
Mfano Mdogo ni kampuni hii inayoitwa Q-NET...
Hawa jamaa wala si matapeli kama watu wanavyowazushia...!
Ukweli ni kuwa, hawa jamaa wameitumia kikamilifu kanuni hii ya "...TUMIKISHA WATU WENGINE, UTAJIRIKE...!!"
Jamaa ni wabunifu. Wamekuja na mifumo fulani ya kibishara halisi kabisa lakini inayotumia lugha ngumu kueleweka kwa watu wa kawaida...
Lakini kwa kuwa Watanzania tunapenda mafanikio chee, ya haraka na kwa kuwa maelezo ya biashara hiyo yako ktk lugha nzuri, ya kuvutia sana kiasi ambacho kama hutafakari kwa umakini na weledi, utavutiwa na kushawashika mara moja kuingia kwenye biashara hiyo....
Utakapoingia (kulipa fedha yako ili uanze biashara hiyo) ndipo unaoogundua kuwa kumbe practically ni biashara inayohitaji professionalism ya hali y juu huku waliongia wakiwa hawana...!!
Matokeo yake nini?
Ni kuanza kulalamika umeibiwa au hii kampuni ni ta kitapeli....!
Sababu ni nini?
Ni hii uliyosema, kuwa sisi watanzania tumejengwa ktk msingi wa elimu tegemezi, elimu ya kitumwa. Hatujajengwa katika msingi wa elimu bunifu ya kutumia akili zetu sawasawa...
Inasemekekana Q.NET wanachunguzwa ili kujua ni matapeli kweli au vipi...
Huku ni kujisumbua tu. Q-NET ni kampuni halali inayofanya biashara halali kwa mujibu wa sheria za Dunia na Tanzania..
Iko katika biashara kwa zaidi ya miaka 22 na iko nchi nyingi duniani kote. Laiti kama ingekuwa ni ya kitapeli, isingekuwapo hata leo huku ikitoa sponsorship ktk biashara na huduma tofauti tofauti ktk taasisi na kampuni nyingi duniani...
There is nothing kitu "utapeli". Ni ujinga wetu tu binadamu wa kuparamia mambo bila kuwa na ujuzi na akili ya jinsi ya kwenda nayo....
Robert Herriel, you are damn right...