Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ni kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani ama kuibadili katibahuku ameikanyagia miguuni
angeongeza aoneni kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani ama kuibadili katiba
Hatakama asingesema, hawezi kujiongozea muda, hana ubavu huo!ni kuhusu kuongeza muda wa kukaa madarakani ama kuibadili katiba
Ujumbe umefika kwa wale wenye kujipendekezaSasa awaambie wale wa kampeini ile wasitishe
Kama wananchi tutaamua kumuongezea muda wa miaka mitano mingine, lakini tukimchoka miaka mitano inamtoshaRais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania