mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WATANZANIA WENGI BADO NI MABWEGE NDO WALIOKO HUKO SAAHIZI WANAMPIGIA MAKOFI WAKATI MUDA MWINGI HUWA ANAWAAMBIA MANENO YA KEJELI IFIKE MAHALI AKIENDA MAHALI WATU WAWE WANACHAPA KAZI HUKO MASHAMBANI EBOOOOOOOOOOOOOOOOOH
Leo mnajifanya Kama hamjui,lolote analosema ni kussupport kwa unafiki,ningepata nafas ya kukutana na Mkuu wa nchi ningemshauri apige stop kusifiwa na vijana wanafiki nyie,ni fuata upepo,kawasema wengne wapumbavu mnasupport tu madame tu mpewe UDCSijui watasema nini tena....?
Kwanini 2025?ni 2020.Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
....tunza hii Thread hadi miaka 10 ipite then tutaifufua utajua Nini kitatokeaIts officially kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais, hii kauli imemaliza wasi wasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani
NASHANGAA NA NAPE HAYUPOAseme mitano sio kumi,ana hakika gani atatoboa 2020?
Kuapa kuilinda katiba na kuilinda katiba kweli kweli ni vitu viwili tofauti kabisa, je anailinda??? usinijibuAmesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.