Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Hivi mnafikiri kubadili katiba ni jambo la mchezo mchezo. .....hilo jambo haliwezi kutokea bila damu kumwagika ....na huenda ukawa ndio mwisho wa amani ya Tanzania.
 
Madictator wasiotaka kuondoka madarakani hufanya mabadiliko ya katiba mwishoni yaanj 2023 ikifika ndo mipango inaanza sio sasa hivi kwakweli
 
bora iwe hivyo hawa ccm pamoja na kutuchezea akili miaka 55 na ushee wanatukejeli kwenye majukwaa
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Huu uzi utakua muhimu sana ifikapo 2025,
 
ANATAKA ASEME AMESIKILIZA MAOMBI YA WANANCHI WENGI!
AMEONA AKUBALI TU KUENDELEA HATA BAADA YA MIAKA 10 KUISHA!

ahahahahhahahaa yale yale ya WANANCHI WAMENITUMA NIGOMBEE UBUNGE!
ah mtajijua wenyewe bana!
ndo akili zake hizo wakati wananchi wenyewe huwa anawatuma wasimamishe misafara yake na mabango
cc tanga walimu na watumishi wengine walilazimishwa waende kumshangilie hahaha maigizo oyyyyy
 
bora iwe hivyo hawa ccm pamoja na kutuchezea akili miaka 55 na ushee wanatukejeli kwenye majukwaa
Chuki zako kwa ccm zisikufanye uichukie nchi.
Tujiulize kwanza je tuna vyama vya upinzani vya kueleweka...?
 
Kama hataki ni yeye sisi bado tunamtaka akae miaka 20 ikiwezekana bila uchaguzi kwani katiba si msahafu tubadilishe tu hicho kipengele. Lengo ni tumpe muda wa kutosha akamilishe yote mazuri aliyoanza ili atapoondoka tuwe na akili ya kuyaendeleza big up mzee
 
barafuyamoto lengo la hao wote ni kuleta vuguvugu la kumuongezea muda jpm!
Na mimi siamini kuwa eti kati ya wanacha 8m wa ccm hakuna aliye bora kutuvusha 2025 to 2035 mpaka awe Magufuli!
Ifike 2025 akae kando,tulete jembe jingine!
 
Kwani nani angemruhusu kuendelea zaidi ya miaka 10 hata hivyo? Hiko kilikuwa kimbelembele cha baadhi ya watu wajinga. Hatuwezi kubadili katiba eti sababu ya rais Magufuli utendaji wake wa kazi. Kwa hiyo ina maana akichaguliwa rais asiye na utendaji mzuri awamu ya kwanza, hivyo tutabadilisha katiba tena ili apunguziwe tena miaka ya kutawala?? Hiyo ilikuwa hoja ya kipuuzi hii Bongo siyo Rwanda.
 
Chuki zako kwa ccm zisikufanye uichukie nchi.
Tujiulize kwanza je tuna vyama vya upinzani vya kueleweka...?
naichukia ccm na mambo yake yote naipinga na mm si mwanachama wa chama chochote
 
Back
Top Bottom