Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Kwahiyo yule wa kampeni ya Baki Magu akalime?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa mbinu za kamati za Ufundi kama uganda, Zimbabwe na Rwanda lakini kwa njia za kawaida ni vigumu sana tambua watanzania wanataka maendeleo sio visasi kukomoana kubambikiana kesi na kuchukua pesa za Umma kuwanunua madiwani wa chadema na kumpatia Lipumba adhoofishe Ukawa, hakuna viwanda tena pesa yote inatumika kukandamiza Demokrasia.HABARI: Rais John Magufuli amesema hawezi kukaa kwenye urais miaka 20 kama alivyoombwa na Mbunge, Steven Ngonyani kwa kuwa ni kinyume na katiba.
Mh Rais anahutubia muda huu hapa Korogwe Stand,Tanga.
JPM raisi makini.,Tz tungejuta sana kaMA tungemkosa JPM
Kama anaikumbuka katiba na aliapa kuiteteana kuilinda mbona anafanya mengine ambayo anaikiuka hiyo katiba [ mfn KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA KWA WAPINZANI ]HABARI: Rais John Magufuli amesema hawezi kukaa kwenye urais miaka 20 kama alivyoombwa na Mbunge, Steven Ngonyani kwa kuwa ni kinyume na katiba.
Mh Rais anahutubia muda huu hapa Korogwe Stand,Tanga.
Inaonyesha jinsi ulivyo shallow au haukumuelewa mzee Mwinyi, alisisitiza kabisa KAMA KATIBA ingeruhusu!!Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Mpinzani gani amemteua?Tuna Subiri Utekelezaji Wa Kauli.
Maana Huyu Mtu Si Wakumuamini
Hata Kidogo. Alisema Hatochagua
Wapinzani Katika Utawala Wake.
Lakini Hakumbuki Kauli Yake Sasa
Anateua Na Kuita Wengine Vilaza.
Naomba Post Hii Iwekwe Kwenye
Kumbukumbui Za JF.
Just A Matter Of Time.