kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
Ingekua mtihani umejiongeza mtu katoa hoja mwngine jibu kwa hoja na ziwe na mashiko kama hii pongezi mkuuMkuu naomba nipingane na wewe, taifa lina watu wengi sana hata uwe na mazuri mengi sana itafika mahali mawazo mapya yatahitajika kulivusha taifa tena. Uongozi mzuri ni kuamini kuwa wapo watu wengine wana uwezo wa kuongoza na kwa utaratibu ule ule uliotumika kumweka madarakani ndio utumike pia kumpisha mwingine atuongoze pindi mh. Rais Magufuli atakapomaliza muda wake.
sent from kuzimu
Akizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga, Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya "miaka kumi"
Yeye, kwa kutumia "mafumbo katika kuongea ameweka wazi na na kufikisha ujumbe na kutueleza Watanzania kuwa;
"Anaheshimu sana katiba ya nchi" iliyowekwa na wananchi, na kwa maana hiyo Katiba ndiyo "kikwazo" kikubwa kinachomzuia kuwepo madarakani kwa mda mrefu, licha ya kuwa watanzania wanampenda ila katiba ikibadilishwa yupo tayari kuwepo madarakani.
Ni dhahiri kuwa Rais Magufuli, kwa mda mchache aliokaa madarakani(miaka miwili), ameonesha kuwa anaouwezo mkubwa wa kuifikisha Tanzania mahali salama kimaendeleo na katika uchumi na hali nzuri waitakayo watanzania.
Hii inatokana na juhudi zake kubwa katika kulinda na kutetea rasilimali za nchi
kutokana na "mtukufu huyu kukubalika na kupendwa na watu, imepelekea hadi baadhi ya viongozi wakubwa nchini, Rais mstaafu, Mzee Mwinyi na wabunge mbalimbali na pia wananchi kutoka kila kona ya Tanzania kudai/kuomba Rais Magufuli tumwongezee muda.
Kwa hili ningelipenda watanzania tuanzishe mchakato wa kubadili katiba ili Rais Magufuli aweze kukaa madarakani kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)
Rais ametuambia kuwa katiba ndiyo inamzuia kuwepo kwa kipindi kirefu licha ya yeye kuwa na ndoto za kuivusha Tanzania.
Sasa ni jukumu letu wananchi kuondoa hiki kikwazo ili rais wetu mpendwa aweze kuendelea kuwepo madarakani.
Watanzania wengi tumemwelewa na tumempenda ni Rais jasiri, mkweli na muwazi, anayetekeleza na kutenda watakavyo wananchi pia sio fisadi wala mwenye tamaa na pesa kama wafanyavyo wengine kujilimbikizia mali wawapo madarakani.
###Magufuli baki madarakani##
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa!angeongeza aone
Hi "mumu".. Longtime no see you.huku ameikanyagia miguuni
Madhara yake ni makubwa kuliko faida, yeye akisha ondoka madarakani yeyote anaye fuata awe mzuri au wa hovyo atatumia hiyo excuse kubakia madarakani kwa kadri itavyo mfaa. Pia kila anayekuja atabadilisha katiba kwa namna itavyo mfaa yeye. Unaweza usione madhara leo lakini miaka 20 kutoka leo watoto na wajukuu zenu watawalaani kwa mlichokifanya.Sio wapumbavu. Tukubali na tukili kuwa Afrika haita pata Marais kama hawa Thomas Sankara, Gerry Rolling na Magufuli tena. Hawa wanasifa ambazo ziko sawa: uzalendo, kupenda wananchi wenzao na tatu sio corrupt.
Na ndiyo watu wanao mpenda Magufuli wangeomba atawale mpaka lufa kwake kwani miaka 10 haitatosha kuleta maendeleo aliyeyakuaudia. Kwa wale wasio mpenda hiyo inajulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tena?? Wanaotokwa povu ni wale wanaodai aogezewe muda wakati hata ule alio pewa kikatiba haujafika nusu!!Mkuu mbona povu linakutoka kama umekunywa dawa ya kuoshea ng'ombe?
Kamchukue akachukue nafasi ya baba yako kwenye familia yenu Mpumbavu mkubwa wwAkizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga, Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya "miaka kumi"