Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Mkuu naomba nipingane na wewe, taifa lina watu wengi sana hata uwe na mazuri mengi sana itafika mahali mawazo mapya yatahitajika kulivusha taifa tena. Uongozi mzuri ni kuamini kuwa wapo watu wengine wana uwezo wa kuongoza na kwa utaratibu ule ule uliotumika kumweka madarakani ndio utumike pia kumpisha mwingine atuongoze pindi mh. Rais Magufuli atakapomaliza muda wake.

sent from kuzimu
Ingekua mtihani umejiongeza mtu katoa hoja mwngine jibu kwa hoja na ziwe na mashiko kama hii pongezi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka miwili hakuna alichofanya zaidi ya kuongeza umaskini kwa wananchi anaoita wanyonge. Naiona dalili ya kubadilisha katiba akiingia kipindi cha pili kwa kisingizio nimeombwa. Aombwe na Nani hali watu wanatamani aondoke sasa hivi na sio badae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga, Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya "miaka kumi"

Yeye, kwa kutumia "mafumbo katika kuongea ameweka wazi na na kufikisha ujumbe na kutueleza Watanzania kuwa;

"Anaheshimu sana katiba ya nchi" iliyowekwa na wananchi, na kwa maana hiyo Katiba ndiyo "kikwazo" kikubwa kinachomzuia kuwepo madarakani kwa mda mrefu, licha ya kuwa watanzania wanampenda ila katiba ikibadilishwa yupo tayari kuwepo madarakani.

Ni dhahiri kuwa Rais Magufuli, kwa mda mchache aliokaa madarakani(miaka miwili), ameonesha kuwa anaouwezo mkubwa wa kuifikisha Tanzania mahali salama kimaendeleo na katika uchumi na hali nzuri waitakayo watanzania.

Hii inatokana na juhudi zake kubwa katika kulinda na kutetea rasilimali za nchi
kutokana na "mtukufu huyu kukubalika na kupendwa na watu, imepelekea hadi baadhi ya viongozi wakubwa nchini, Rais mstaafu, Mzee Mwinyi na wabunge mbalimbali na pia wananchi kutoka kila kona ya Tanzania kudai/kuomba Rais Magufuli tumwongezee muda.

Kwa hili ningelipenda watanzania tuanzishe mchakato wa kubadili katiba ili Rais Magufuli aweze kukaa madarakani kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)

Rais ametuambia kuwa katiba ndiyo inamzuia kuwepo kwa kipindi kirefu licha ya yeye kuwa na ndoto za kuivusha Tanzania.

Sasa ni jukumu letu wananchi kuondoa hiki kikwazo ili rais wetu mpendwa aweze kuendelea kuwepo madarakani.

Watanzania wengi tumemwelewa na tumempenda ni Rais jasiri, mkweli na muwazi, anayetekeleza na kutenda watakavyo wananchi pia sio fisadi wala mwenye tamaa na pesa kama wafanyavyo wengine kujilimbikizia mali wawapo madarakani.

###Magufuli baki madarakani##

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbakize kwenye familia yako anafaa kuiongoza pia.Hata miaka mitano haijafika mnaanza kelele.
 
Uzi wa kupima mapovu yetu..nasi tunapita kimya kimya bila kuonyesha msimamo wetu[emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Sio wapumbavu. Tukubali na tukili kuwa Afrika haita pata Marais kama hawa Thomas Sankara, Gerry Rolling na Magufuli tena. Hawa wanasifa ambazo ziko sawa: uzalendo, kupenda wananchi wenzao na tatu sio corrupt.

Na ndiyo watu wanao mpenda Magufuli wangeomba atawale mpaka lufa kwake kwani miaka 10 haitatosha kuleta maendeleo aliyeyakuaudia. Kwa wale wasio mpenda hiyo inajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara yake ni makubwa kuliko faida, yeye akisha ondoka madarakani yeyote anaye fuata awe mzuri au wa hovyo atatumia hiyo excuse kubakia madarakani kwa kadri itavyo mfaa. Pia kila anayekuja atabadilisha katiba kwa namna itavyo mfaa yeye. Unaweza usione madhara leo lakini miaka 20 kutoka leo watoto na wajukuu zenu watawalaani kwa mlichokifanya.
 
an advice from witch which is a merely craft!!!
 
Akizindua stand mpya ya mabasi korongwe mkoani Tanga, Rais Magufuli ameweka wazi kikwazo kinachomzuia kutawala zaidi ya "miaka kumi"

Yeye, kwa kutumia "mafumbo katika kuongea ameweka wazi na na kufikisha ujumbe na kutueleza Watanzania kuwa;

"Anaheshimu sana katiba ya nchi" iliyowekwa na wananchi, na kwa maana hiyo Katiba ndiyo "kikwazo" kikubwa kinachomzuia kuwepo madarakani kwa mda mrefu, licha ya kuwa watanzania wanampenda ila katiba ikibadilishwa yupo tayari kuwepo madarakani.

Ni dhahiri kuwa Rais Magufuli, kwa mda mchache aliokaa madarakani(miaka miwili), ameonesha kuwa anaouwezo mkubwa wa kuifikisha Tanzania mahali salama kimaendeleo na katika uchumi na hali nzuri waitakayo watanzania.

Hii inatokana na juhudi zake kubwa katika kulinda na kutetea rasilimali za nchi
kutokana na "mtukufu huyu kukubalika na kupendwa na watu, imepelekea hadi baadhi ya viongozi wakubwa nchini, Rais mstaafu, Mzee Mwinyi na wabunge mbalimbali na pia wananchi kutoka kila kona ya Tanzania kudai/kuomba Rais Magufuli tumwongezee muda.

Kwa hili ningelipenda watanzania tuanzishe mchakato wa kubadili katiba ili Rais Magufuli aweze kukaa madarakani kwa muda mrefu(zaidi ya miaka 10)

Rais ametuambia kuwa katiba ndiyo inamzuia kuwepo kwa kipindi kirefu licha ya yeye kuwa na ndoto za kuivusha Tanzania.

Sasa ni jukumu letu wananchi kuondoa hiki kikwazo ili rais wetu mpendwa aweze kuendelea kuwepo madarakani.

Watanzania wengi tumemwelewa na tumempenda ni Rais jasiri, mkweli na muwazi, anayetekeleza na kutenda watakavyo wananchi pia sio fisadi wala mwenye tamaa na pesa kama wafanyavyo wengine kujilimbikizia mali wawapo madarakani.

###Magufuli baki madarakani##

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamchukue akachukue nafasi ya baba yako kwenye familia yenu Mpumbavu mkubwa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kipumbavu ndio akina George Washington waliyakataa ktk karne ya 18 kwa kusema, "Leadership is not a privilege but a trust".

Mtoa mada anataka kufanya ionekane kuwa Watanzania wote ni watu mbumbumbu wasiyo na uwezo wa kuongoza isipokuwa moja wao tu, hii inathibitisha ukweli fulani kuhusu IQ yetu kweli iko chini na wala hatujapakaziwa na watafiti.

Mtaongezaje muda ktk mfumo wa vyama vingi? Je mkimwongezea muda baadaye 2020 apigwe chini mtakuwa mmefanya nn sasa?

Watu mjifunze kuheshimu katiba na ukweli kuwa kila moja ana haki ya kupiga kura na vile vile haki ya kupigiwa, na juu ya yote, lazima ieleweke kuwa, " No One Is Indispensable Anywhere ".
 
Back
Top Bottom