Ras Rizzy G
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 225
- 241
aondoke tuu ata baada ya miaka mitano koz wengi tumemchoka siyo siri...mzee wa kiki 24/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni zuzu kabisaHakuna Mtanzania asiyejua uwajibikaji, uzalendo, uaminifu, ujasiri, uchapakazi na weledi wa Rais Magufuli ambaye si tu amekuwa kivutio ndani ya Tanzania, bali amekuwa ni kipenzi cha wengi hata nje ya mipaka ya nchi yetu.
Kutokana na uwezo ambao ameshauonyesha tangu alipoingia madarakani, hasa katika kupigania raslimali za nchi hii, kupambana na rushwa, ukusanyaji wa mapato ya Serikali, udhibiti wa matumizi ya Serikali, uwajibikaji wa wafanyakazi wa sekta za umma, uboreshaji wa miundo mbinu na ukuaji wa uchumi; ningependekeza muda wa Rais kukaa madarakani uongezwe kutoka miaka 5 muhula wa kwanza hadi kufikia “miaka 7” kwa muhula mmoja hivyo akikaa kwa vipindi vyote 2 awe amehudumu kwa “miaka 14” badala ya miaka 10 ya sasa.
Nasema hivi kwasababu muda wa miaka 10 hautoshi kwa Rais kutimiza yote aliyokusudia na isitoshe tumempata Rais mchapakazi(jembe hasa) ambaye ni “hazina” muhimu kwa taifa hili hivyo ni lazima tumuongezee muda zaidi ili taifa “linufaike” kwa uwepo wake madarakani kwa kipindi kirefu zaidi.
Nawaomba Wabunge wote wa CCM waungane pamoja na kuipeleka hoja hii Bungeni mapema sana mwakani kabla ya vikao vya bajeti kuanza ili mchakato wa kuibadilisha KATIBA kwenye kipengele cha muda wa Urais kifanyiwe marekebisho kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 ili uchaguzi huo ufanyike mwaka 2022. Hata kama itahitajika kura ya maoni kutoka kwa wananchi, Watanzania asilimia 75 tutaunga mkono hoja hii. Tena isitoshe Wabunge wa CCM ndio wengi(na wanazidi kuongezeka), lazima hoja hii itapita bila kupingwa. Kuna Mbunge aliwahi kuileta hoja hii Bungeni lakini sijui iliishia wapi. Tafadhalini sana, hakikisheni hoja hii inarudishwa tena Bungeni ili ifanyiwe maamuzi sahihi.
Kwa kufanya hivi sisi Watanzania hatutakuwa wa kwanza wala wa mwisho sababu kuna nchi ambazo ni majirani zetu wamekwisha badilisha muda wa kuhudumu Rais na zingine pia zitafuata hapo baadae. Kwa kifupi Rais akikaa madarakani kwa kipindi cha miaka 7 kuna faida nyingi sana kuliko muda wa miaka 5 ambao ni mfupi sana. Kwa upande wa Wabunge natumaini mnaelewa zaidi nini “faida” ya kukaa Bungeni kwa miaka 7 kuliko miaka 5 ya sasa hivi.
Najua humu ndani ya JF kuna Wabunge wengi sana wa CCM hivyo ningewashauri haraka sana andaeni hoja binafsi ya kuongezwa muda wa Rais ili muiwasilishe kwenye kikao cha kwanza kabisa cha Bunge cha mwaka 2018. Tena msiwe na hofu sababu Watanzania wengi tunamkubali sana Rais Magufuli. Nafahamu kuwa wapo wachache watakaopiga kelele; hao tumeshawazoea na kelele zao, hoja hii ikipita watakuwa wapole tu sababu siku zote demokrasia inaheshimu maamuzi ya walio wengi. Isitoshe upinzani wenyewe umeshaanza kupukutika, mpaka ifike mwaka 2020 watakuwa wamesambaratika kabisa. Kwasasa hivi sisi wana-CCM ndiyo tupo wengi hivyo tuna haki na wajibu wa kuamua mustakabali wa Taifa letu, na uamuzi huu siyo mbaya ni uamuzi wenye faida kubwa kwa Taifa na kwa Watanzania wote kwa ujumla.
Nawasilisha hoja.
Hasara je umezitathimini?Hakuna Mtanzania asiyejua uwajibikaji, uzalendo, uaminifu, ujasiri, uchapakazi na weledi wa Rais Magufuli ambaye si tu amekuwa kivutio ndani ya Tanzania, bali amekuwa ni kipenzi cha wengi hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

SASA IMEKUWA KINYUME CHAKE.Amesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Hii siyo tabia nzuri, Rais wa Tanzania hana lolote la kuinga kutoka Uganda na Rwanda. Tanzania iko juu sana katika mambo mengi mazuri. Hana la kujifunza pale.
usimsikilize sana MangeKama kauli hii itakuwa ni kweli, hana nia ya kubadili katiba na kuendelea na katiba ya sasa kutawala miaka mitano mitano kwa vipindi viwili, mimi nitakuwa wa kwanza kushauri kanisa katoliki kumunzishia mchakato wa kuwa mtakatifu.
Propaganda za juma nkamia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
hahahuku ameikanyagia miguuni
Hii takataka ni bora hata imetangulia. Stupi.d.Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Nazkumbuka San ,kauli za huyu jamaa.ni mtaalam,wa kuwadanganya .ww angalia vitendo vyake,utagundua.Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Una namba za mangeHaya mpigie mange kimambi akurushie mpunga.