Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

aondoke tuu ata baada ya miaka mitano koz wengi tumemchoka siyo siri...mzee wa kiki 24/7
 
We ni zuzu kabisa
 
Hasara je umezitathimini?
 
Amesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.
SASA IMEKUWA KINYUME CHAKE.
 
akisema ameoteshwa na mungu aongeze miaka mingine nani atambishia?
 
Kama kauli hii itakuwa ni kweli, hana nia ya kubadili katiba na kuendelea na katiba ya sasa kutawala miaka mitano mitano kwa vipindi viwili, mimi nitakuwa wa kwanza kushauri kanisa katoliki kumunzishia mchakato wa kuwa mtakatifu.
 
Kama kauli hii itakuwa ni kweli, hana nia ya kubadili katiba na kuendelea na katiba ya sasa kutawala miaka mitano mitano kwa vipindi viwili, mimi nitakuwa wa kwanza kushauri kanisa katoliki kumunzishia mchakato wa kuwa mtakatifu.
usimsikilize sana Mange
 
TUHESHIMU KATIBA YA NCHI.PIA TUNAWACHAPAKAZI ZAIDI YA MILIONI HAMSINI TZ YETU.KWANI YEYE NDIE ALIEIFIKISHA HAPA ILIPO TZ KWA SASA.YEYE AMEIKUTA TZ NA WATU WAKE NA ATAIACHA NA WATU WAKE NA ITASONGA MBELE.TUACHE UJINGA NA TUHESHIMU KATIBA YETU .
 
Nimeona na viashiria vingi sana vya huyu mheshimiwa vya kubadili karibu na kubakia madarakani kwenye kiti cha uraisi.Mimi siwezi kumuani hata kidogo .ingawaje kuna watu punguani waliomba aongezewe muda wa kutawala na yeye akatamka kwamba ataheshimu katiba mimi nasema simuamini hata kidogo,Sababu kubwa in kwamba yuko katika muda wa awali wa uongozi wake, kwa kukubali kungezua mjadala mkubwa kwenye uongozi wake na kufanya utawala wake uwe mgumu.Atakacho fanya ni kusubiri dakika za mwisho na kusema watu wameniomba sana na kuniomba niendelee.na urais.
Kitu kingine ni marafiki wake wa karibu, Rais Museveni na Paul Kagame ,hawa wote wamebadili katiba ili kubakia madarakani.
Hali ya sasa ya usalama nchini pia inatoa viashiria vya uvunjifu wa demokrasia hususa upande wa upinzani ., Mpinzani gani hapo Tanzania ambaye hajaonja nguvu za dola hata kama haki ipo upande wao.
Mwisho ni wapambe wa Magufuli ,wakina Bashite , Mwigulu na wengineo , hata Kama Rais akikosea wao hawaoni kosa.
Mungu ibaraki Tanzania
 
Wananchi wala hatuna wasiwasi maana hawezi leta hayo na tukamkubalia. Wenye wasiwasi ni hao wanaojikomba kwake ili aongezewe miaka, njaa baba!!
 
Hii hofu inatokawapi? Au kwa sababu kina kuna marais majirani zetu wanacheza na katiba zao?
 
Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Hii takataka ni bora hata imetangulia. Stupi.d.
 
Nazkumbuka San ,kauli za huyu jamaa.ni mtaalam,wa kuwadanganya .ww angalia vitendo vyake,utagundua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…