Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Kwani ana mpango wa kugombea tena 2020 mbona anazungumzia 10yrs?
 
Hivi nani kamwambia atahudumu miaka 10 wakati hii miwili tuu ishamshinda kabisa? Ni uungwana tuu kuwa ni vema kumuachia hiyo mitano aliyopewa lakini hakukuwa na sababu kwa mtu aliye prove failure na kutuondolea heshima ya kiti anachokalia na kuonekana cha hovyo kwa kauli zake na kushindwa kuheshimu katiba.
Tupe facts na figures tafadhali au japo u quote tafiti inayothibitisha hayo usemayo. Acha kukariri maisha ulivyoyazoea, badili fikra, jipe nafasi hata ya kufungua macho uone yanayofanyika, kuendelea kusema kuna giza wakati macho umefumba hakusaidii kitu. Tupe proof ya kuwa Rais ame prove failure!
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

haya sasa wale wa campaigne ya BAKI MAGUFULI mkuu kawapa kibano hicho
 
siasa ni kama holla hoop sio lazima kinachotajwa kitekelezwe huzunguka na kurudi pale pale, haya tuone
 
Tupe facts na figures tafadhali au japo u quote tafiti inayothibitisha hayo usemayo. Acha kukariri maisha ulivyoyazoea, badili fikra, jipe nafasi hata ya kufungua macho uone yanayofanyika, kuendelea kusema kuna giza wakati macho umefumba hakusaidii kitu. Tupe proof ya kuwa Rais ame prove failure!
tatizo la watanzania tunalewaga fasihi, yaani kila kitu anataka kifichwe, na mzunguko uwe mkubwa katika maelezo, kuna muda tuwe scientific, msipende kuzunguka, sana

unataka facts zipi? kwni aliye comment hivyoo yeye katoa wapi hayo maneno? tusiwe kama mahakimu tunajifanya tunahitaji speculation kwenye kinachomulikwa na jua haya tuu, muda ndo unaenda sasa
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Eti 'its official'. Kwani, was it a possibility in the first place? Kitendo cha Rais kulizungumzia hilo ina maana kuwa alijaribu hata kufikiri kama ni jambo anaweza kufanya. Kule kufikiri tu juu ya uwezekano wa kuongoza zaidi ya miaka 10 si dalili njema.
 
HOJA ZA KUONGEZA MUDA WA URAIS ZIKEMEWE NA ZIPIGWE MARUFUKU KABISA!
Katiba ya nchi ni kama msahafu kwa nchi husika, ni nadra sana kufanya mizaha na misahafu mitakatifu.
Hivi karibuni wamezuka watu ambao kwa maono ni walevi wa mchana ambao kila kukicha wanazidi kuongezeka.
Leo huko korogwe bila aibu amezuka Mbunge na kudai kuwa Rais aliyeko madarakani aongezewe muda atawale miaka 20!
Siku za karibuni aliwahi pia kuibuka mmojawapo wa Rais mstaafu naye akatoa hoja kuwa Rais aongezewe muda .
Labda tukumbushane, hoja hizi dhaifu hazikuanza leo wala si ngeni, kule zanzibar zilizuka wakati wa Dr.Salmin au wao wanamwita komandoo, walevi wa mchana wakapaza sauti aongezewe muda.
Ni mwaka 1990 wakati Rais Mwinyi anazindua kipindi chake cha mwisho cha utawala aliibuka mshairi mmoja pale jangwani, akaghani shairi lililorushwa mubashara na RTD mchi nzima, huku akitoa rai kuwa hakuna haja ya msururu wa wastaafu kuwa Mwinyi apewe muda wa nyongeza.
Ni Julius Nyerere aliyekata mzizi wa fitina kwa kukemea kwa uwazi kuwa hakuna haja ya kubadilisha katiba kutengeneza masultani na wafalme.
Ikumbukwe kuwa kama Mwinyi angebadilisha katiba na kusalia madarakani basi tusingekuwa na waluomfuata yaani Mkapa, kikwete na sasa JPM
Ni wazi kuwa wanaovimbiwa kwa sasa na kutaka katiba ibadilishwe wasingekuwepo.
Kuna habari kuwa JPM amekemkea Mbunge aliyetaka katiba ili atawale miaka kumi, iwe ni fundisho kwa wale wote wanaojikomba ili kuidhaliisha katiba yetu, tuwajatae mchana kweupe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweka rekodi sawasawa, si kweli kuwa Rais Magufuli alimkemea yule Mbunge bali alisema anaheshimu Katiba na asingependa kuwa Rais kwa miaka ishirini! Hayo ndiyo aliyosema Rais Magufuli, hayo ni mawazo yake na Mbunge Ngonyani nae yale yalikuwa mawazo yake ambayo yalishangiliwa sana na wananchi wa Korogwe! Sijui hizo shangwe zilikuwa ni dalili za kumuunga mkono mbunge wao au kumtaka Rais Magufuli akubaliane nao!? Sijui, kwa vyovyote vile, hayo ni mawazo ya Mbunge Ngonyani na wengine waliokwisha lisemea hili. Nadhani na hayo aliyosema Rais Magufuli ni maoni yake, kila mtu apewe nafasi ya kutoa hoja zake, sioni mantiki wala sababu ya HOJA HII KUPIGWA MARUFUKU. Ina nini kibaya, waacheni watu waseme yao ya moyoni. Bishaneni kwa hoja, lakini at the end of the day, maamuzi ni ya wananchi, wapiga kura, katika hili hata Rais Magufuli asubiri tu nini kitakuwa hatma ya huu mjadala. Twende kazi wana JF.
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Kwani hakuapa tena kwa kutumia Biblia kuwa atailinda na kuifuata katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania? Hii ya jukwaani ni hatuwezi kuwa na uhakika, kama yale aliyonena mbele ya jaji na Mungu mwenyewe kwa kumnyooshea Biblia anakiuka.
 
Jaribu kuwa mwelewa, mrithi hachaguliwi na rais anayeondoka bali ni wanachi kwa njia ya kura, mambo yanaweza yakabadilika (Political Dynamics) usiamini na rais asije kwa namna hiyo uliyokariri. Zubaa hapo.
1. kabla ya kupiga kura huwa mnamua mnapigia nani? si mppaka aletwe>
2. umewahisikia kitu inaitwa Political succession Plan? - sasa hivi tunaiendea tu haipo, ndio maana hata vinyamkera vinavamia kupigiwa kura , Guess what!! kwa vile hakunaaliyejiandaa na sisi hatujiandaa basi tunapiga kura kwa mihemuko tu!! mambo yakiwa mabaya wa kwanza kupiga kelele!! Kwa Magu was just try and error!! tukafuma Magu MZALENDO wa kweli ( pamoja na kasoroalizonazo ni binadamu) Je umesoma political science? Umewahisikia kitu inaitwa Political calculations?
 
Nchi hii inayo hazina nyingi ya viongozi na watawala. Hii hazina ndimo kunafanyika mchujo na kupata cream ya kupelekea wananchi (wapiga kura) ili kuamua nani aongoze taifa hili. Katika uchujaji, wasioamini kwamba ni haki kuachwa, huingilia mlango mwingine kuongeza hazina ya upande mwingine ili kuona kama wanaweza kuwa bora kuliko waliokuwemo humo. Na mwisho wapiga kura huamua na pale vumbi la uchaguzi linapotulia, wananchi (wapiga kura) husahau yaliyopita na kuganga yajayo na hivyo kujikita kwenye kuzungusha gurudumu la maendeleo mbele!
 
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.

Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Safi
 
Kuweka rekodi sawasawa, si kweli kuwa Rais Magufuli alimkemea yule Mbunge bali alisema anaheshimu Katiba na asingependa kuwa Rais kwa miaka ishirini! Hayo ndiyo aliyosema Rais Magufuli, hayo ni mawazo yake na Mbunge Ngonyani nae yale yalikuwa mawazo yake ambayo yalishangiliwa sana na wananchi wa Korogwe! Sijui hizo shangwe zilikuwa ni dalili za kumuunga mkono mbunge wao au kumtaka Rais Magufuli akubaliane nao!? Sijui, kwa vyovyote vile, hayo ni mawazo ya Mbunge Ngonyani na wengine waliokwisha lisemea hili. Nadhani na hayo aliyosema Rais Magufuli ni maoni yake, kila mtu apewe nafasi ya kutoa hoja zake, sioni mantiki wala sababu ya HOJA HII KUPIGWA MARUFUKU. Ina nini kibaya, waacheni watu waseme yao ya moyoni. Bishaneni kwa hoja, lakini at the end of the day, maamuzi ni ya wananchi, wapiga kura, katika hili hata Rais Magufuli asubiri tu nini kitakuwa hatma ya huu mjadala. Twende kazi wana JF.
Kwa tume hii ya uchaguzi, atakachotaka mwenye instruments of power ndicho kitapita.
 
Zinatakiwa sentesi mbili.

1. Naheshimu katiba.
2. Siwezi kubadili katiba
 
Katiba inabadilishwa soon kutoa mwanya ,.....ohhh chama nimenipendekeza..................ohhhh wananchi wamenipa kura zao

African leaders
 
Kwa tume hii ya uchaguzi, atakachotaka mwenye instruments of power ndicho kitapita.
Ni kweli lakini wananchi tuna a very important role to play in this au hebu tuiangalie hoja hii from another angle. Say, kwa mfano hoja na pendekezo au wazo hili la kutaka Rais Magufuli aongezewe miaka mingine ya kutawala na ikipelekwa Bungeni say 2019 kwa nia na lengo la kukifuta (delete) kifungu hicho cha ukomo wa muda wa Raisi kuwa madarakani wa miaka KUMI (10). Nasema tena let us speculate, kama hoja hiyo inatinga Bungeni, kwenye Bunge hili! Itakuwaje!? Hoja itapita, ukubali usikubali na sababu UNAIFAHAMU na ikienda kwa wananchi ITAPITA kwa urahisi, itakuwa kama kumsukuma mlevi! Haya ni mawazo yangu in the current scenario and context in our country. Kwenye suala hili Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo mahali pake na haina nafasi katika maamuzi ya Bunge au/na ya wananchi. Zaidi ya yote, hata Rais Magufuli hatakuwa na nafasi au hata nguvu ya kukataa uamuzi wa UMMA kupitia Bunge au hata kupitia BALLOT BOX. Haya yatakuwa ni maamuzi ya UMMA WA TANZANIA hata kama watakuwa 51%. Haya wana JF twende kazi.
 
Kwanini usieshimu katiba miaka mitano wewe unataka kumi ulafi wa madaraka huku ukiwaacha watanzania wakiteseka.

Swissme
 
Ni kweli lakini wananchi tuna a very important role to play in this au hebu tuiangalie hoja hii from another angle. Say, kwa mfano hoja na pendekezo au wazo hili la kutaka Rais Magufuli aongezewe miaka mingine ya kutawala na ikipelekwa Bungeni say 2019 kwa nia na lengo la kukifuta (delete) kifungu hicho cha ukomo wa muda wa Raisi kuwa madarakani wa miaka KUMI (10). Nasema tena let us speculate, kama hoja hiyo inatinga Bungeni, kwenye Bunge hili! Itakuwaje!? Hoja itapita, ukubali usikubali na sababu UNAIFAHAMU na ikienda kwa wananchi ITAPITA kwa urahisi, itakuwa kama kumsukuma mlevi! Haya ni mawazo yangu in the current scenario and context in our country. Kwenye suala hili Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo mahali pake na haina nafasi katika maamuzi ya Bunge au/na ya wananchi. Zaidi ya yote, hata Rais Magufuli hatakuwa na nafasi au hata nguvu ya kukataa uamuzi wa UMMA kupitia Bunge au hata kupitia BALLOT BOX. Haya yatakuwa ni maamuzi ya UMMA WA TANZANIA hata kama watakuwa 51%. Haya wana JF twende kazi.

Ni sawa na vilevile kusema kwamba CCM wao wakaamua kumpendekeza yeye tu JPM awe mgombea wao kwa mihula mingine miwili na akapita tena bila kupingwa kwenye mchakato.

Ni lazima katiba itafanyiwa marekebisho.

Sasa unadhani wananchi wataamuaje wakiangalia CV ya JPM?

Kunaweza kutokea different scenarios ambazo hatujawahi kuziona tangu uhuru.
 
Back
Top Bottom