Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

Kama serikali ina nia kweli ya kubana matumizi kwanini hii miaka 5 iliyopita imeshindwa kupiga marufuku manunuzi ya magari ya kifahari?

Kuna ulazima wowote ule wa DAS/RAS/DED/DC/RC kutumia haya magari ya gharama waliyo nayo sasa hivi?
Mimi nilidhani kuwa tunachojadili hapa ni kuhusiana na zuio la kununua magari ya aina hii, au? Still, si kila ofisa haruhusiwi kutumia gari za aina hii, wapo wengi tu ambao wanaruhusiwa na hivyo kununuliwa lazima yaendelee kununuliwa. Labda uwashauri sasa Serikali waache kabisa kutumia magari ya aina hiyo, wa-switch kwenye model nyingine ambayo pengine unaweza kuipendekeza, ambalo sasa litakuwa ni jambo jingine kabisa. Issue siyo kwamba hayaruhusiwi hapana, yanaruhusiwa isipokuwa kuanzia ngazi fulani kwenda juu
 
Ipi ni sababu ya msingi ya DAS/RAS/DED/DC/RC kutumia magari yale ya kifahari?Kwani wakitumia 78 series hardtop kuna shida?

Serikali ingekua ina nia ya dhati ya kubana matumizi ingebadili sheria hizo za manunuzi lkn sababu tuna mapesa mengi acha tuendelee tu kutumia magari hayo ya kifahari.
 
Double standard ndio sifa ya serikali ya Magufuli.. Hii serikali ingekuwa ya CCM haya mambo msingeona asilani.
Hiyo CCM kabla ya Magufuli ilikuwa imeoza kwa tabia ya kubebana na matumizi mabaya.

Tena usituambie tena habari za CCM.
CCM kama CCM yenyewe bila mtu sahihi pale juu ni janga kwa taifa.
 
Lectures wanakua na magari ya kifahari ili wawarubuni watoto wa watu. Msieeeeeeew zao.
Magu njoo na vyuon utumbue huku, hasa UD
 

Hilo la double standard ndio unalioongelea leo? Mbona toka wakati wa vyeti fake tulisema? Kwenye vita vya ufisadi tuliona double standard ya hali ya juu, huku akiwaacha wanaccm wenzake.
 

Hili jambo nimelisema jana, kwamba kama matumizi mabaya ya fedha za umma, basi rais anapaswa kutumbuliwa kwanza. Hilo la ulinzi wake nikasema ni kufuru ya hali ya juu maana ana ulinzi usioendana na hali ya usalama nchini. Tungekuwa na bunge la kweli lingehoji matumizi hayo ya kufuru.
 
Ok...labda ni Gari la aina gani na kwa gharama ipi unaona ingemfaa huyo mkurugenzi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sijui kwa nafasi yake anastahili gari gani lakini am sure sio VX-R. Kwa Tanzania hiyo ndio Land Cruiser ya kiwango cha juu kabisa. In short, kwa protocol haiwezekani mkurugenzi wa halmashauri atembelee gari kama la waziri
 
[emoji848][emoji848]assume wewe ndo umenunuliwa Hilo gari afu usikie taarifa hii
 
Sijui kwa nafasi yake anastahili gari gani lakini am sure sio VX-R. Kwa Tanzania hiyo ndio Land Cruiser ya kiwango cha juu kabisa. In short, kwa protocol haiwezekani mkurugenzi wa halmashauri atembelee gari kama la waziri
Unafikiri ni halmashauri yake tu ndiyo Wana hiyo Gari?
Kingine unafikiri kutonunua Gari hizo huko geita ndiyo Wata solve matatizo kadhaa
Kama gharama ya hizo Gari iendane na halmashauri na wizara zote wapige stop kuzichukua kama kuchukua wachukue kwa ajili ya mawaziri na manaibu?hapo sasa kuna tatizo lingine litatokea kibiashara kati ya Toyota na tanzania

Ova


Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Usilinganishe walimu wa vyuo vikuu na mkuu wa mkoa. Hao watu wanakula kwa jasho lao wenyewe. Wengine wanafundisha vyuo mbalimbali part time wengine wanafanya project usiwalinganishe na watu walioteuliwa wakiwa maskini kesho unawaona tajiri
 
mpaka sasa hv ile timu nzima ya wasanii inakuuma si poa.
 
Usilinganishe walimu wa vyuo vikuu na mkuu wa mkoa. Hao watu wanakula kwa jasho lao wenyewe. Wengine wanafundisha vyuo mbalimbali part time wengine wanafanya project usiwalinganishe na watu walioteuliwa wakiwa maskini kesho unawaona tajiri
Kama hujui kinachojadiliwa kwa nini huendi shuleni? Kinachojadiliwa ni gari la serikali kwa pesa za serikali. Kufundisha vyuo mbalimbali kumetoka wapi? Fisi maji wee!
 
Kama sheria inawaruhusu kununua magari, kwa nini msinunue toyota kama hizi, halaf chenji ikibaki mnanunua hata dawa mahospitalini, zingine mnajengea viwanda?
 

Attachments

  • tmp-cam-1676111420.jpg
    6.1 KB · Views: 1
  • tmp-cam--1956173261.jpg
    7.9 KB · Views: 1
SUA walipokuwa wanachangishana kwa ajili ya kujisaidia katika matatizo yao! wala hamkusema, sasa wanalipana kwa kadri ya makubaliano yao mnakuja hapo kulalamika, hizo ni hela zao wenyewe sio za serikali kama mnavyodhania!! Acha waagane baada ya kuishi pamoja katika eneo la kazi !!!
 
Mbona hili jambo ni jepesi lakini watu wanalifanya gumu.... ni rahisi sana. Kila ngazi serikalini ina stahili zake, haiwezekani mkurugenzi wa wilaya akatembea na gari sawa na Waziri. Angenunua gari la kawaida, asingepata hii misukosuko. Hapo ndipo alipokosea.
 
Kama sheria inawaruhusu kununua magari, kwa nini msinunue toyota kama hizi, halaf chenji ikibaki mnanunua hata dawa mahospitalini, zingine mnajengea viwanda?
Hizi hazijakaa kibosi zimekaa kikazi zaidi
V8 bwana ukikaaa ndani unajitanuaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…