Ukiritimba ni hali ya kundi la watu wenye nia ovu kutumia mfumo kutawala kila kitu ili kujinufaisha wenyewe huku wenzao wakiumia. Mfano mzuri wa ukiritimba ni ubeberuNa UKIRITIMBA ni nini, msaada tafadhali
RC anatumia v8Mbona hili jambo ni jepesi lakini watu wanalifanya gumu.... ni rahisi sana. Kila ngazi serikalini ina stahili zake, haiwezekani mkurugenzi wa wilaya akatembea na gari sawa na Waziri. Angenunua gari la kawaida, asingepata hii misukosuko. Hapo ndipo alipokosea.
Hata humu ndani mwetu tuna mabeberuUkiritimba ni hali ya kundi la watu wenye nia ovu kutumia mfumo kutawala kila kitu ili kujinufaisha wenyewe huku wenzao wakiumia. Mfano mzuri wa ukiritimba ni ubeberu
Mabeberu wapo kila mahali na hawafai hata wawe waafrika, wachina, wabelgiji, wamarekani..... beberu ni unyonyaji wa waziHata humu ndani mwetu tuna mabeberu
Na mabepari.....
Beberu siyo mpaka atoke nje
Ova
Basi humu kwetu ndiyo tunao na wanajinufaisha wao tu na wataendelea kuwepo na kuwepoMabeberu wapo kila mahali na hawafai hata wawe waafrika, wachina, wabelgiji, wamarekani..... beberu ni unyonyaji wa wazi
Hivi Mnamshangaa Mkurugenzi aliyenunua Gari la milioni 400 huku Mkimuacha "MITANO TENA" akinunua Midege ambayo haina faida yeyote kwa Mtz.? Nani katuroga? Midege hasara tupu,utanunuaje midege mbayo haina faida huku watoto wanatembea hadi kilometer 10 kwa ajili ya shule? Barabara za mitaani kibao kipindi cha mvua hazipitiki ,hivi tukiuza dege moja si tunaweza kuweka molamu na vikaravati vodogo vidogo barababara zote za mitaani kuepuka adha kipindi cha mvua?Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana!! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati shule hospitali na madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu wa kudumu na ni sehemu ya rushwa za manunuzi.
Hata vyuo vikuu kila leo kuna magari ya kifahari yananunuliwa kwa ajili ya viongozi wakati vyuo hivi haviwezi hata kulipa pesa za likizo za wafanyakazi, hawawezi kuboresha mazingira ya kusomea, hawawezi kujenga nyumba za wanafunzi. Rais Magufuli, tembelea UD, tembelea SUA, nenda UDOM, Mzumbe, Muhimbili, kote kuna magari ya aina hii yamenunuliwa kwa kipindi hiki.
Kama vyuo vikuu wako hivyo, unategemea nini kwenye halmashauri kwa madiwani? Wakurugenzi hawa wamesoma vyuo hivi visivyojua nini muhimu kuliko kingine na rushwa zao. Ni vyuo hivi hivi vilivyokuwa vinaiba pesa za wanafunzi kupitia bodi ya mikopo. Bahati mbaya sana, wanaachwa bila kuchukuliwa hatua. Hawa ndo wnaojenga tabia ya waajiliwa wa baadaye.
V8 hazilingani mkuu kuna level kama 6 hivi.... huyu mkurugenzi kaenda kuchukua ya juu kabisa....RC anatumia v8
DC v8
DED v8
Wachini kidogo nao wanatumia v8
Ova
Huyu anayenunua ndege, nampa nafasi ya uaminifu kwa sababu hakuna anayepanda ndege 10 peke yake:a anaweza kuwa ametia hasara ya kibiashara lakini kosa lake alilifanya kwa fikra njema. Huyu Mkuu wa chuo cha UD, SUA, MUHAS, Mzumbe, nk. Hawana sababu yoyote njema kwa waajiliwa wa vyuo hivyo. Lengo ni kupanda magari ya kifahari.Hivi Mnamshangaa Mkurugenzi aliyenunua Gari la milioni 400 huku Mkimuacha "MITANO TENA" akinunua Midege ambayo haina faida yeyote kwa Mtz.? Nani katuroga? Midege hasara tupu,utanunuaje midege mbayo haina faida huku watoto wanatembea hadi kilometer 10 kwa ajili ya shule? Barabara za mitaani kibao kipindi cha mvua hazipitiki ,hivi tukiuza dege moja si tunaweza kuweka molamu na vikaravati vodogo vidogo barababara zote za mitaani kuepuka adha kipindi cha mvua?
Kuna mtu kanidokeza; maprofesa hawa wanaojiita ma-VCs walipokuwa kwenye mkutano wa pamoja kuna mmoja alisikika akijivunia gari alilokwenda nalo. Tabia hii ni ya watu waliotoka vijijini kwenye maisha magumu. Walizoea wakinunuliwa kaptura mpya, hupita kila kaya wakionesha maajabu waliyoyapata. Maprofesa bado hawajawa watu wa kufikiri ugunduzi. Wanafikiria kuwaonesha majirani.Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana!! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati shule hospitali na madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu wa kudumu na ni sehemu ya rushwa za manunuzi.
Hata vyuo vikuu kila leo kuna magari ya kifahari yananunuliwa kwa ajili ya viongozi wakati vyuo hivi haviwezi hata kulipa pesa za likizo za wafanyakazi, hawawezi kuboresha mazingira ya kusomea, hawawezi kujenga nyumba za wanafunzi. Rais Magufuli, tembelea UD, tembelea SUA, nenda UDOM, Mzumbe, Muhimbili, kote kuna magari ya aina hii yamenunuliwa kwa kipindi hiki.
Kama vyuo vikuu wako hivyo, unategemea nini kwenye halmashauri kwa madiwani? Wakurugenzi hawa wamesoma vyuo hivi visivyojua nini muhimu kuliko kingine na rushwa zao. Ni vyuo hivi hivi vilivyokuwa vinaiba pesa za wanafunzi kupitia bodi ya mikopo. Bahati mbaya sana, wanaachwa bila kuchukuliwa hatua. Hawa ndo wnaojenga tabia ya waajiliwa wa baadaye.
Nahisi kuna jambo. Mbona ofisi hii inapunguziwa matawi kila siku? Ofisi nyingi zimehamishiwa ofisi ya rais.Tatizo Mh Rais huwa anashughulikia tatizo kwa kuangalia mtu au kikundi.
Alitakiwa ashughulikie tatizo hili kimfumo na siyo ki mtu au kisehemu.
Office iliyotumiwa ni office ya waziri mkuu, ambae ni msaidizi wake mkuu. Hatujasikia maelekezo ya hadharani kutoka kwake kama alivyotoa ya wafanyakazi wa TMAA na Mkurugenzi wa Geita.
Mi nadhani kuna double standard katika kushughulikia matatizo ya nchi hii.
Ndio maanake.. Mtu anaevunja Katiba sio mwanaCCM tena.. Kapoteza sifa.Kha!!!!,Kumbe kuna Magufuli halafu tena kuna ccm
Kwaio kwako Magu ndio mtu sahihi au? 😂😂Hiyo CCM kabla ya Magufuli ilikuwa imeoza kwa tabia ya kubebana na matumizi mabaya.
Tena usituambie tena habari za CCM.
CCM kama CCM yenyewe bila mtu sahihi pale juu ni janga kwa taifa.
Hizo gharama ya service Toyota (tz)LTD unazifahamu?Policy Yao gari wanannunua Toyota
Halafu sehemu ya mkataba toyota watafanya
Maintenance na service Hadi likifikisha kilometres 150,000/-
Halafu likifikisha kilometres hizo wanaliuza
Linapigwa mnada ...
Hawakai na gari zilizo zidi kilometres 150,000/..
Kwahiyo hawana kabisa gharama za mabilioni
Za kutengeneza magari kama ambazo
Ziko mashirika mengine ..