thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Nahisi anaweza kuwa mkuu wa mkoa atakae kaa ofisni ndani hili jiji kwa muda mfupi sana asipobadilika,kadhalika pengo la Paul Makonda limeanza kuonekana.
Kunenge alikuwa msaidizi namba 1 wa Makonda....usisahau hilo bwashee!Pengo lipi la Makonda maana makonda aliondoka miezi miwili tu sasa.
Aliyeharibu hizo project ni Makonda ukiwepo mradi wa machinjio Vingunguti.
Sasa yanauzwa wapi?Jiji la Dar kiongozi ukiwa mpole kupitiliza madawa ya kulevya yanaweza kuuzwa hadi kwenye mwendokasi.
Alitaka kumlipa Lissu Jana alipoongea na balozi wa USA"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction" kiingereza cha jiwe Leo Mbezi
Your excellency i am just trying to preach but .... but I cant reach you"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction" kiingereza cha jiwe Leo Mbezi
JokaKuu, nataman kuwa mkuu wa mkoa. Nishauri..Mheshimiwa RC ameshatengenezewa mazingira ya kutenguliwa.🤣
Tulimwambia mwanzoni kabisa ,hili jiji akitaka kuliweza awe kaksi,sasa kajifanya eti yeye poa sana...Mheshimiwa RC ameshatengenezewa mazingira ya kutenguliwa.[emoji1787]