Rais Magufuli: RC Dar, Abubakar Kunenge usiwe Sheikh au Padri, badilika uwe mkali

Rais Magufuli: RC Dar, Abubakar Kunenge usiwe Sheikh au Padri, badilika uwe mkali

Yes, maanake huyo hawezi hata kuteka watu hataki kufanya vitendo vitakavyomuudhi Allah.

Kakabidhiwa ofisi na wasioamini katika ukuu wa Mungu, wanaojiona kuwa wenyewe ndio miungu. Ndio hayo hayo yaliyomponza Dr. Assad kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na weledi kitu ambacho miungu hawapendi kabisa.
Ndio maana hata wauza cocaine anaona wako sawa
 
Ni kwamba tulimwambia mwanzoni kabisa ,hili jiji akitaka kuliweza awe kaksi,sasa kajifanya eti yeye poa sana.

..akitaka adumu hapo ahakikishe anakuwa mstari wa mbele kuvuruga kampeni za wapinzani.
 
Sasa mkuu anataka kunenge ashinde na media azurure kwenye mikasino ndio aonekane mchapa kazi.

Kunenge ni mtaratibu na mfata protocol tangu yuko tra pale ata mzee wake ilikua hivyo
Performance za viongozi wote mkulu anazijua,hadanganyiki,mfano Anthony Mtaka,(Simiyu)naye anapenda camera ?
 
JokaKuu, nataman kuwa mkuu wa mkoa. Nishauri

Ushauri wangu ni huu.

Kama una uwezo anza kutukana wapinzani.

Tafuta njia ya kuvuruga kampeni za wapinzani, na hata kuwadhuru.

Hakikisha kwamba unaonekana ukifanya hivyo, usifanye kwa kificho.
 
DC wa Ilala ni next RC! NItakukumbusha siku ikifika!
 
ngoja tuone kama uliemtaja chini atakua mkuu wa mkoa wa jijini daaaaaslam
 
Performance za viongozi wote mkulu anazijua,hadanganyiki,mfano Anthony Mtaka,(Simiyu)naye anapenda camera ?
Anthony Mtaka, an out-layer.
Hata ndani ya kundi la mashetani, unaweza kumkuta shetani mmoja nafuu kuliko wengine.

Na wala usiseme hapa kwamba Anthony ni mfano anaoweza kuutolea Magufuli. Anthony ni wa kipekee kabisa katika kundi la viongozi ambao hafanani nao.
He is a misfit.
 
Sidhani kama unajua Makonda ndie mharibifu namba moja wa huu mradi amini usiamini!
 
Pengo la Makonda limeanza kuonekana!? Huenda ulikuwa Na maslahi binafsi na yeye. Labda pengo la siasa chafu. Huyo dogo mara ya mwisho si alifokewa kama mtoto kuhusu mradi wa machinjio ya vingunguti?
 
Akiwa mkali siyo mbaya, mradi asiteke watu wala kuwapiga risasi.
 
Back
Top Bottom