Rais Magufuli: RC Dar, Abubakar Kunenge usiwe Sheikh au Padri, badilika uwe mkali

Rais Magufuli: RC Dar, Abubakar Kunenge usiwe Sheikh au Padri, badilika uwe mkali

..Kunenge aliteuliwa July 15.

..Sasa hajafikisha hata miezi mitatu ktk nafasi yake tunaambiwa hafai.

..Kipindi kifupi ktk nafasi yake kinatosha kumlaumu kutokana na yanayotokea ktk huo mradi?
 
Hivi Kuna mkuu wa mkoa, wilaya, DED anategemea kubaki kwenye kazi yake baada ya uchaguzi huu? Hata afanye figisu baada ya uchaguzi itakuwa tupa kule Mbali yaani watafanyiwa lishafo ya Hatari kama unajielewa na kuna sehemu yakupata chochote cha kuanzia huu ndo muda wa kuchukua chako mapema, hujiulizi kwanini wajanja walikimbilia kwenye ubunge japo wengine walikosa ila tayari wameondoka kiaina.
 
Magufuli anapenda watu wa makelele wanaojionesha onesha kwenye media.

Akipata mtu strategist anayefanya kazi kimya kimya, anaona kama hafanyi kazi.
 
Naona Gondwe akichukua nafac then Kunenge akipangiwa mkoa mwingine
 
Yes, maanake huyo hawezi hata kuteka watu hataki kufanya vitendo vitakavyomuudhi Allah.

Kakabidhiwa ofisi na wasioamini katika ukuu wa Mungu, wanaojiona kuwa wenyewe ndio miungu. Ndio hayo hayo yaliyomponza Dr. Assad kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na weledi kitu ambacho miungu hawapendi kabisa.
Maadili ya Kiislam! Sema Mtu kama Mwinyi aisee ana maadili sana. Hongera sana Waislam..kiukweli mkipewa uongozi mnakuwa wataratibu.

Sema sisi aisee! Mmmgh
 
Magufuli anaoenda watu wa makelele wanaojionesha onesha kwenye media.

Akipata mtu strategist anayefanya kazi kimya kimya, anaona kama hafanyi kazi.
Sikweli,Kunenge kapwaya tu
 
Hivi Kuna mkuu wa mkoa, wilaya, DED anategemea kubaki kwenye kazi yake baada ya uchaguzi huu? Hata afanye figisu baada ya uchaguzi itakuwa tupa kule Mbali yaani watafanyiwa lishafo ya Hatari kama unajielewa na kuna sehemu yakupata chochote cha kuanzia huu ndo muda wa kuchukua chako mapema, hujiulizi kwanini wajanja walikimbilia kwenye ubunge japo wengine walikosa ila tayari wameondoka kiaina.
Chukua chako upokwe kisha mahakamani,wadanganye ,zama hizi haishii kuachishwa kazi ukajilie vyako,ni gerezani tu
 
Nakuona Paul Makonda!!! Umefurahiii hadi umeamua kuleta uzi!!! Unadhani utarudi kuwa mkuu wa Mkoa eeh???!

Bado sana!! Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!! Hivyo sahau kuwa mkuu wa Mkoa tena
Lissu ni Rais wa twitter tu si vinginevyo
 
Mtu kama Ole Sabaya kama atapewa nafasi ya ukuu wa mkoa dar kwa misifa anaweza hata kujitangaza yeye ndo rais
 
So wanataka watu kama yule zero brain anaropoka ropoka..?
 
Maadili ya Kiislam! Sema Mtu kama Mwinyi aisee ana maadili sana. Hongera sana Waislam..kiukweli mkipewa uongozi mnakuwa wataratibu.

Sema sisi aisee! Mmmgh
Angalia hawa viongozi wanvyorubuniwa na majitu yanayoamini kuwa utawala ni kunyanyasa na kudhulumu watu haki zao na hata kuwaua.

Wameshaanza kumshauri Hussein Mwinyi afuate njia hiyo akiukwaa urais. Mwizi akimpata rafiki asiye mwizi cha kwanza kufanya ni kumfundisha wizi.
 
Jiji limepooa.
Hakuna kashikashi
Hakuna matamko tata ya kufanya kila aliyenje ya mstari arudi.
Kijana Yule aliitelea heshima serikali maana akisema jambo analitekeleza.

Kiwango chake cha uthubutu kikao huu mno tunakoswa hiki kitu kwa sasa.

Kama ndio basi kaishapigwa chini Basi MPE Gwajima akishindwa ubunge na mdee Kawe.

Yule naye ataleta bashaha jijini maana inaonekana anaexposure Kubwa na hata akiwa RAIA wa kawaida tu akitaka kutuletea Treni.
 
Kunenge hawezi Dar kabisa, i said this many times.. Naturally he is not aggressive to lead. Dar inahitaji mtu au type ya Magufuli au Aggrey Mwanri au RC wa Geita au some one aggresive like Jay One.. Nasema hivi Dar ningeisimamia na kui lead to be the most beautiful City in Africa.
 
Je RCs wa mkoa wa DSM kabla ya Makonda walikuwa aggressive nao?

Kama siyo Je waliwezaje kutimiza majukumu yao ya msingi?
 
Back
Top Bottom