Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

Ahahaha mbona umepaniki bi mkubwa,kwani mi nimesema siitaki Tanzania? Au naiombea mabaya Tanzania? Naipenda sana nchi yangu ndiyo maana nasema tunamtaka Membe. AFU WANACCM MLIVYO WAPUMBAVU HUWA MNAJIONA NI WAZALENDO KULIKO WATU WOTE NCHINI.Ficha upumbavu wako.
 
Ulipomtaja Musiba ndio umejichanganya kabisaaa [emoji23][emoji23] ni heri kutazama video ya Amber Rutty kuliko uyo zwazwa ambae hajui hata anataka kusema nini alafu mkuu hataki mambo ya ushauri yeye ni jeshi la mtu mmoja ukimpangia cha kufanya ndio unaharibu kabisa tena hao unaowaomba wakamuambie hawathubutu hata kumueleza maana wanaweza kupigwa chini muda huo huo.
 
Yamkini hujui usemacho mdomo huwa unaponza kichwa na siasa huwa ina mavuno yake.! Yasipokuwa matamu huwa machungu.
Kumbuka tu mchuma Janga hula na wa kwao.! Hongera kwa sabbu unawafahamu watu wote wanaokuzunguka. Na JF umejificha sana kama vile kuzimu..

Kongole mkuu.
 
We ni mnafki sana, huipendi Tanzania unampenda rais na chama chenu,wanafki kama nyie ndo mnasababisha nchi yetu inapoteza muelekeo kila siku,wanafki kama nyie ndo mnadhani Magufuli ameleta maendeleo kwa kujenga flyover Dar na barabara Mwanza wakati nchi ina mikoa 31.Nchi hii ni muhimu kuliko matumbo yenu mnayotetea.Kama kuna mtu wa usalama anayeona hii nchi inaenda sawa basi naye ni mpumbavu kama wewe.
 
UNA AKILI SANA WEWE
 

Anamkumbusha aendelee kutilia maanani wale watu aliowataja. Yaani asimpuuze😀😀😀😀
 
Unaniletea tumisemo semo twa Kiswahili kwamba ndo nini? Wewe siyo mzalendo ni mrafi na mchumia tumbo,unajipendekeza kwa wakubwa unaiacha nchi yako nyuma.MNAFKI NA MRAFI.
 
Halafu kibaya zaidi hunijui sikujui,unadhani una uwezo wa kumtisha kila mtu? Ungenijua ungelala tu muda huu.
 
Ndugu umri wako bado mdogo sana!
ruhusu akili yako iwe na upeo wa kutosha kama hujavamia mambo ambayo hayatakupa tija ya kuyafikia malengo yako.
Lile wimbi la uchaguzi wa 2015.
Lililokusomba lilikuwa na vumbi nyingi sana pukuta uso wako kijana yako mengi sana usiyo yajua.
Wazazi wako bado wanakutarajia kwa mengi, mbeleni hebu wape tumaini kidogo la kufurahia matunda ya uwepo wako.!

Siasa na mchezo mchafu aipigaye hiyo ngoma anajua style gani anataka mcheze kuwa makini sana.!
Ni ushauri tu sio lazima uupokee.
 

What a wonderful, informative and analytical thread. Congrats Chief!
 
Get your ass to sleep.
 
It was once! Lowassa! Rais wa mioyo ya watu, then Tundu Lissu for presidence, baadae Zitto mara Bernad Membe.!

Ngoja tusubiri tuone maana yajayo huenda yanafurahisha.
 

Atapata support yetu atakapoheshimu demokrasia kwani ndio iliyomuweka madarakani. Lakini kitendo cha kuchezea box la kura kwa kulazimisha kila mgombea wa ccm kutangazwa mshindi, hata mlete utetezi dhaifu eti anapambana na mabepari mtasubiri sana. Hawezi kufuata taratibu ngoja tuwaunge mkono hao wezi kina Membe na yeye akae pembeni kwani sio msafi.

Imedhihirika hao mafisadi anaosema anapambana nao sio kweli bali analipa visasi kwa aliohitilafiana nao huko nyuma. Kama kuna fisadi yoyote kashitakiwa kwenye mahakama ya mafisadi ntaje. Zaidi ya kubambikizia kesi wapinzani na kuwadhalilisha jipya ni lipi? Aache bunge na mahakama zitende kazi zake kwa mujibu wa sheria za nchi na sio utashi wake, hapo atapata support yetu. Aheshimu box la kura bila kusahau.
 
Wazazi wangu walishakata tamaa na mimi,wametumia mamilioni ya pesa kunisomesha na nimerudi kuwa mzigo home,do you think i care? I real hate all of you,all of you maccm.
 
It was once! Lowassa! Rais wa mioyo ya watu, then Tundu Lissu for presidence, baadae Zitto mara Bernad Membe.!

Ngoja tusubiri tuone maana yajayo huenda yanafurahisha.
Mkuu hao wengine ni chama pinzani lakini kwa membe hata mimi napata wasiwasi lazima kuna kitu au kama hakipo basi hizi kelele haziwezi kupita salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…