Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Magufuli ni chuma wapinzani hoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anadhani watanganyika ni mazuzu km yy, ngoja itafika zamu naye ataisoma namba vilevileRais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa Misungwi kwa ushindi mkubwa walioupata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaambia Wapinzani wataendelea kuisoma namba.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama
May beLabda ndio maana kakemea ukabila!
Ndie aliye mtuma sio?Labda ndio maana kakemea ukabila!
Anayemwamini Meko ni wa kuchunguza akili.Juzi kanda ya kaskazini (manyara) mwana lumumba kavunja "UMOJA WA WATU WA KILIMANJARO" (Umoja wa watu wa kaskazini), na amesema hataki kusikia maswala ya umoja huo.
Songwe mwezi uliopita "ADMINI MEKU" aliombwa serikali iwavutie maji kijiji na mwanamke mtu mzima, jibu aliopewa aende akamuombe "MUME WAKE, DIWANI WAKE au MBUNGE WAKE", akiashiria akaombe viongozi wa upinzani waliowachagua eneo hilo (bila ya kujua kama mama huyo ni mwana CCM au MPINZANI).
Kanda ya ziwa leo "MEKU" anasifia maswala ya umoja wao, sambamba akisifia na kutoa pongezi kwa ushindi mkubwa wa CCM.
* Kanda ya Kaskazini marufuku umoja, Kanda ya Ziwa ruhusa na pongezi kwa umoja, Kanda ya Kusini-Magharibi kaombeni misaada wapinzani mliowachagua na umoja wenu.
* Umoja wetu tanzania ndio huo kwenye "SPEECH" ni umoja madhubuti, ila kwenye uhalisia (practical) viongozi hawaoneshi umoja na wanaonesha matabaka wazi wazi.
Unapovunja Umoja wa raia una "ASISI" kitu gani kama sio "DIVISION OF UNION" hata raia wasiwe na umoja wa kusaidiana, kushauriana na kuelimishana pindi mmoja wao anapopatwa na tatizo/shida. Raia wawe na matabaka ya mimi CCM nitasaidiwa, wewe MPINZANI hautasaidiwa.
#Watanzania sijui viongozi wetu wanatuona ni wapumbavu kiasi gani. Sijui mpaka lini wataacha kuchezea akili za raia wanyonge.
Iringa tubaki Wahehe tu, waambie waha na Wasukuma wakaunde umoja Kigoma na Mwanza.Labda ndio maana kakemea ukabila!
Sidhani kama nchi hii imewahi kuwa hata na Mkuu wa Wilaya mnafiki kama huyu jamaa.Jamani huyu mzee ni mnafiki tuache utani mazee
Kwahiyo mchungaji Msigwa hamumtaki hapo unyaluni?!Iringa tubaki Wahehe tu, waambie waha na Wasukuma wakaunde umoja Kigoma na Mwanza.
Mbona kawe mbunge ni Halima Mdee wa Chadema lakini CCM inaleta maendeleo kwa kwenda mbele!Sisi wananchi mbona hatubaguani hata kidogo...
Ubaguzi unaletwa na viongozi, kwa kusema maendeleo hayana chama huku wakibagua kupeleka miradi ya maendeleo kwenye maneno yanayoshikiliwa na wapinzaini...
Cc: mahondaw
Mpuuzi na ZezetaHapo nampinga Raisi wetu, kutaka kumiliki Mji wako uliovamiwa na watu ambao siyo asili ya hapo siyo Ubaguzi bali ni lazima. Binafsi nisingependa wenyeji watawaliwe na wageni kama ilivyo Arusha City, hivyo kuutaka Mji wako siyo Ubaguzi bali ndivyo inavyopaswa kuwa.
Kabisa ,siasa za ulaghai, kuonewa huruma na majitaka ziwe mwisho na wasiishie kusoma namba za kawaida tu wasome mpaka namba hasi
Wewe mwanamke unatafuta ndoa ya lazima , Sina muda wa kuoa wanawake wenye akili ya kupima kwenye mzaniUmehamia huku sasa!!
Labda ndio maana kakemea ukabila!