Anachokataa Magu ni fungulia mbwa watu wazae at any age...uzazi nao una umri wakeHivi raisi anajua the term "second chance"? Unataka kuniambia katika maisha yake hajawahi kupewa second chance? Hii mimi nadhani busara itumike. Ujauzito sio kwamba ni mwisho wa ndoto za wasichana walio wengi wanaotaka kujiendeleza ki maisha. Wengi unakuta wanapewa mimba na walimu na watu wengine ambao wao hawapewi adhabu. Hii kwa kweli sio sawa. Kama sote tusingepewa second chance no one will be here.
Si kila anaechangia hapa ni chadema. Halafu msiiogope sana chadema unaweza kusema hata ACT au CUFChadema Bwana, shiida sana
Takwimu hazitofautuani kabla ya utawala wake na sasa, sasa sijui hiyo fungulia mbwa inatoka wapi? Au anahisi ile kauli yake ya "zaeni watoto wengi elimu ni bure" inamsuta.Anachokataa Magu ni fungulia mbwa watu wazae at any age...uzazi nao una umri wake
Yes. Nchi zote za magharibi.Wazungu wenyewe wanazaa wakiwa wakubwaa na hawapatagi mimba wakiwa wadogo sn...hv kuna nchi abortion ni legal?.
Ninakushauri ukasome sera ya elimu na mafunzo 2014, uone jinsi mkullu alivyotofautiana nayo. Sera hii iliandaliwa na wataalamu baada ya tafiti za kutosha chini usimamizi wa Wizara ya Elimu. Ilizinduliwa na Rais Kikwete mwanzoni mwa 2015.Binafsi nafikiri kumpinga JPM kwenye hili ni kumwonea. Hili analosema liko kwenye Sheria ya Elimu ya 1978 na marekebisho yake mbalimbali 1995 na 2002.
Tatizo ni namna alivyolisemea lakini kisheria yuko sawa.
Kwa kawaida mtoto wa kike kupata mimba ni ushahidi kuwa amefanya ngono ambayo ni utovu mkubwa wa nidhamu katika kanuni za shule.
Kitu kinachopaswa kwa wanaharakati na wabunge ni kushinikiza sheria ibadilishwe badala ya kumlaumu JPM..
Siungi mtoto kupata mimba akiwa sio shuleni tu bali hata kabla ya ndoa, kuna vitu vingine vinaweza mtokea kutokana na mazingira akajipata katika hali asiyotarajia acha ulimbukeni, We huna mtoto, ungekua na mtoto usingeongea upuuzi wa namna hii, kuzaa hakumuondolei msichana akili darasani.
Ni mawazo yako[Inavo onesha we umewapa wtoto mimba shauri yako lakini miaka 30 hiyooo na huyo mtoto anaenda kulea.
Walimu hakuna kufundisha wazazi.
Iangaliwe kama option walau watu wafanye safe abortion procedures mahospitalini... ni ukweli usipingika mimba zinatolewa saaanaa tena kwa njia hatarishi sana na vidispensary uchwara,usalama wa vizazi ukoje???...na tamko hili la Mkulu ndo abortions zitazidiYes. Nchi zote za magharibi.
Sina takwimu sahihi I can't speak on that but namsupport kuwa watoto wasome kwanza mapenzi badae..Takwimu hazitofautuani kabla ya utawala wake na sasa, sasa sijui hiyo fungulia mbwa inatoka wapi? Au anahisi ile kauli yake ya "zaeni watoto wengi elimu ni bure" inamsuta.
Mwambie binti yako basi azae akiwa na 12 years ehh...Utamkuza binti vipi ukihalalisha uzinzi at a very young age??hivi maadili yenu yako wapi na hata makanisani ama miskitini mnajifunza kweli mnayoambiwa???Una heshima gani? Heshima ni nini? Unaweza kukuta wewe ni Waziri na bonge la fisadi. Hapa unajaifanya una heshima. Kwani hao wanaoibia nchi ni kina nani kama sio nyinyi mnaofurahia victims (msichana kupata mimba akiwa shuleni ni victim)? Haki ya msichana wa nchi hii kupata elimu ni haki ya kuzaliwa - haipaswi kutegemea utashi wa Rais. JF imeshuka viwango sana jamani. Eti kuruhusu wasichana wanaopata mimba kuendelea na masomo ni kuhamasisha wasichana wapate mimba. Seriously? Na watu wenye mawazo ya hovyo kiasi hiki ndio wanazungumza mambo ya viwanda etc. Kweli tuna bahati mbaya nchi hii.
Kaka pole sana naona mapovu matupu badala ya hoja za msingi. Wameambiwa wakipata mimba waende VETA wajifunze kushona, waende shule za private.Una heshima gani? Heshima ni nini? Unaweza kukuta wewe ni Waziri na bonge la fisadi. Hapa unajaifanya una heshima. Kwani hao wanaoibia nchi ni kina nani kama sio nyinyi mnaofurahia victims (msichana kupata mimba akiwa shuleni ni victim)? Haki ya msichana wa nchi hii kupata elimu ni haki ya kuzaliwa - haipaswi kutegemea utashi wa Rais. JF imeshuka viwango sana jamani. Eti kuruhusu wasichana wanaopata mimba kuendelea na masomo ni kuhamasisha wasichana wapate mimba. Seriously? Na watu wenye mawazo ya hovyo kiasi hiki ndio wanazungumza mambo ya viwanda etc. Kweli tuna bahati mbaya nchi hii.
Hakuna mtoto anaetoka nyumbani na nia ya kwenda kufanya mapenzi, wengi wanalazimishwa na watu wazima, walimu n.k. sasa mtoto innocent kama huyo unamnyimaje fursa ya kusoma.Sina takwimu sahihi I can't speak on that but namsupport kuwa watoto wasome kwanza mapenzi badae..
Wewe sijui unaishi dunia gani? Nani kasema wahalalishe uzinzi? Inaonekana wewe hujazaa. Subiri uzae halafu ndo uongeeMwambie binti yako basi azae akiwa na 12 years ehh...Utamkuza binti vipi ukihalalisha uzinzi at a very young age??hivi maadili yenu yako wapi na hata makanisani ama miskitini mnajifunza kweli mnayoambiwa???