Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikufuru....ukishazaa ni mtihani awe wa kike au wa kiume. tulishawahi kuona watu walisema mwanae akipata mimba atamchinja ila wamepata hawajamchinja na bado wajukuu anacheza nao tena kwa furahahuna watoto ndio maana unasema hivyo......subiri uwe na watoto au ufurahie kisa mtoto wa jirani yako kapata mimba na masomo hataendelea tena.
Inakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
Hawajanyimwa fursa ya kusoma,ila wamejinyima Fursa ya kusoma shule za Serikali.Je kama mwanafunzi alibakwa? Je mwanafunzi akipewa ujauzito na mwalimu? Matineja wengi hawajapevuka kiakili kiasi cha kujua madhara wanayofanya. Si haki kuwanyima fursa adhimu kama ya elimu.
Fungua while Ako wakasomeKama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Mkuu hongera sana. Huenda ulibahatika kupata malezi mazuri. Hata hivyo sio watoto wote wanabahatika kupata guidance ktk maisha. Fikiria single mothers, fathers, wazazi wenye conflicts, etc.Nilianza nikiwa chuo kikuu. Na ndiyo ikawa salama yangu. Mtoto wako akijifanya mjuaji na kuanza mchezo huo akiwa msingi na upili, na ashike ujauzito, hatasomeshwa shule na serikali, labda umuombee msaada kutoka NGO.
Mkuu BRUCE LEE tofautisha kuupigia debe ushoga na uwepo wa ushoga!wana jamvi hili swala la ushoga na usagaji lipo na lilikuepo miaka mingi saana ila kwavile tunaishi katika unafiki uliokubuhu tunajifanya kua tatizo hili linaletwa na wazungu, hayo mambo ya biological disorder yapo na hayaja anza leo wala jana, ukitaka kuutibu ugonjwa kwanza kabisa lazima uukubali kua upo then kitakachofuata ni kuutafutia tiba......
mimi kuna kipindi nilikua naishi nchi fulani na nikagundua kua mashoga na wasagaji wapo na pia kiakili ukimchukulia msagaji kama mwanamke wa kawaida unakosea kwakua hisia zao hazipo uko.....
tutaendelea kujifanya tunakemea na kupinga machoni pa wengi ila sirini hao mashoga wanafuatwa na baadhi ya wanaume rijali kamili ambao wanajulikana kama mabasha au ma top gays na kufanya nao kisirisiri tena tunasikia na wengine ni viongozi wakubwa katika taasisi za kidini na serikali....nachoona hapa kinachostahili kufanyika ni kufanya tafiti za kina ili kujua chanzo cha tatizo hilo na kulitafutia ufumbuzi tena kwa njia za busara....
kijana mmoja baada ya baba yake kugundua kua ni shoga alimtisha tisha sana na kusema atamuua, yule kijana alimwambia kua anajuta kuzaliwa na jinsia ya kiume wakati akiwa na hisia za kike na mwisho wa siku alijiua...
tuacheni unafiki wa kulikataa tatizo ambalo lipo miaka mingi hapa duniani.
Asante kwa hilo. Mimi nimejilea mwenyewe mkuu.Mkuu hongera sana. Huenda ulibahatika kupata malezi mazuri. Hata hivyo sio watoto wote wanabahatika kupata guidance ktk maisha. Fikiria single mothers, fathers, wazazi wenye conflicts, etc.