Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Mmhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tema mate chini wewe.... na wale watoto wa miaka miwili wanabakwaga gulioni??? Wanaobakwa na baba zao ni gulioni huko... fikiria kabla hujaropokaHiyo mimba kainunua dukani?
1: Kavua pichu kalalia mgongo akaruhusu aingiliwe kupata uroda.
2: Binti kubakwa kuna mazingira aliyatengeneza( kukaa ghetto za wavulana peke yako)
3: Kushinda kwenye masoko, magulio hadi usiku
4: Kudanganywa na vitu vidogo ( simu, chips mitumba(Nguo)
5: Kutokuwasikiliza vizuri wazazi walezi waalimu.
UBAKAJI HAUJI HIVI HIVI TU.
Calm down,kwani wewe mtoa maada ni shoga?
hicho alichoongea siasa iko wapi?
Baada ya kumsikiliza Mh Rais kwa umakini na kwa tafakari kubwa nimeona kuna kasoro kubwa ambayo ipo katika sera na sheria zetu kama nchi hasa kuhusu masuala haya.
Napenda niende moja kwa moja alichosema Rais leo ni sawa kabisa hata mimi siwezi kusomesha mtu aliyezaa akiwa shule kwa kujitakia tatizo linakuja sio wote walio pata mimba shuleni walipenda, wengine walibakwa na wengine ni kutokana na changamoto za kiuchumi na kijamii ikiwepo ukosefu wa mabweni shuleni, umbali kutoka nyumbani, ugumu wa maisha na hata ushawishi wa aliyempa mimba mfano mwalimu au kiongozi.
Sasa basi katika hili sera na sheria zetu ikatoa adhabu sio tu kwa aliyebeba mimba na aliyempa mwenzie mimba bali kwa wote hata na wasio husika
Ntaelezea wasio husika ni kina nani
1. Mzazi, huyu anaweza kuhusika au asihusike lakini sheria inamudhibu
2. Mtoto atakaye zaliwa, katika hali ya kawaida huyu ahusiki hata kidogo juu ya makosa ya baba au mama yake lakini sheria inamudhibu vikali tena pengine kuliko wote. Kwanini nitaeleza
Hebu fikiria wanafunzi wawili wa kike na wakiume wana mahusiano ya kimapenzi Mwanafunzi wa kike akipata mimba atafukuzwa shule na yule wakiume atafungwa miaka 30. Maana yake mtoto atakaye zaliwa atakuwa na mama kilaza maana hakumaliza shule lakini pia atakuwa hana baba wa kumlea kwa kuwa baba yuko jela. Hivyo basi mtoto atakua kwa shida na wengi huishia mtaani kama adhabu ya kosa la wazazi wake.
NINI KIFANYIKE
1. Nashauri sheria na sera zetu ziwe na exceptional option yaani kwa mfano Endapo itatokea mazingira kama hayo yametokea mama yaani aliyepata mimba ndio awe final say katika decision ya nini kifanyike kwa baba yaani aliyempa mimba kama atachagua kumfunga basi afungwe la ataki basi aachwe walee mtoto wao.
2. Mtoto wa kike aliyebakwa au kupata mimba kwa makosa ambayo ni ya sisi Jamii mfano ukosefu wa mabweni kama atutaki arudi shule basi tumpeleke vyuo vya ufundi stadi kama VETA ili apate ujuzi wa kumuwezesha kumlea mtoto angalau tuepuke laana ya kumuadhibu mtoto asiye na hatia kama taifa.
Lakini hata ukitoa kichwani not to such extent.Tatizo ni pale anapoacha kusoma na kuanza kutoa ya kichwani....
Tatizo lake yeye, Ndalichako, Salma Kikwete na wengineo wanaotetea huo upuuzi ni kuwa misinformed.
Sera za dunia zinaandaliwa kisayansi sio moral view points labda kwenye nchi zilizo na misimamo mikali ya kidini.
Ni hivi kigezo cha afya bora kwa tafsiri ya WHO sio kukosekana kwa maradhi tu bali usalama wa mtu kwa ujumla wake ikimaanisha mazingira bora ya kila siku, kuwa na elimu ya kutosha kumwezesha kufanya maamuzi sahihi (saa zingine mtu anapata magonjwa ya maambukizi au anabeba kisa elimu tu ya kujua umuhimu kutumia kinga), ushirikiano wa mtu na familia na jamii (inawezekana kuna watoto wanapata hizo mimba kwa sababu wazazi awawezi kuwapa ata basic needs zao) etc.
Ndio maana kwenye afya kuna arguments za health inequality wenye mapato mazuri kawaida wanaweza ishi zaidi kwa sababu wanapesa za kupata access ya huduma bora ukienda muhimbili utakuta wazazi na watoto wanaokufa kwa uzazi ni wale wa chini kuliko matajiri, wanaelimu ya kuzuia magonjwa ambayo chanzo chake ni lifestyle, etc.
Kwa hivyo kwa jicho la NGO kupambana na elimu ya watoto wanaopata mimba sio kuleta agenda zao la hasha wao wanachoongalia ni 'social factors' zinazoleta health inequality ata makwao hilo ni tatizo sugu utakuta sehemu zinazopishana kilomita mbili tu kuna gap ya life expectancy ya zaidi ya miaka kumi uwezi kuzi ignore hizo kama causes.
Tatizo serikari yetu aifikirii kupambana na hizo changamoto wanachojua wao ni kwamba dawa ya kikoozi kata kimeo kama tiba kwenye kila kitu.
Ni hivi hii nchi kuendelea tunahitaji proper succession serikari imejaza watu wengi sana wasio na uwezo na wanaopanda madaraka kwa namna za kujipendeza lakini ubunifu ni zero na Ndalichako Phd yake inatakiwa ichunguzwe mama kwa kauli tu she is not technical mimi nakataa Ndalichako kama Phd yake ni halali.
Wanaowatia watoto wa kike mimba utawajua tu! Halafu wanakuja hapa kulia lia utadhani wanawaonea huruma kumbe ni unafiki mkubwa! Hongera JPM umetumbua hili jipu! Lazima tuambizane ukweli! Ukibeba mimba ushakuwa mzazi! Shuleni siyo mahali pako tena, anza kujiandaa kulea MTOTO wako! Watoto wa kike na wazazi wanataka kusikia kauli thabiti kama hizi ili wachague kusuka au kunyoa!Only Tanzania huu upuuzi ndio upo, halafu mnataka nchi iendelee ikiwa mnawanyima watoto wa kike Elimu kwa kisingizio cha kipuuzi, eti mimba.
Je kama mwanafunzi alibakwa? Je mwanafunzi akipewa ujauzito na mwalimu? Matineja wengi hawajapevuka kiakili kiasi cha kujua madhara wanayofanya. Si haki kuwanyima fursa adhimu kama ya elimu.