Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais yuko sawa........acheni uchama..........atakae pata mimba na akataka kuendelea baada ya kujifungua atafute private tuu asomee au kama mzaz wake yuko radhi amsomeshe private.....

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kumbuka zila adha azipatazo mwanafunzi mja mzito, kumbuka aina ya mtazamo anaoweza kuuambukiza darasani kwa wale wenzake ambao hawajawahi kupata uja uzito.
Ni bora kukemea mitazamo inayowakuza wanafunzi kwenye mambo ya ngono na kuweka mkazo kwenye fikra za utafutaji wa elimu.
Starehe za kimaisha mtoto wa kike atazikuta tu huko mbeleni, tena atazichoka, kwanza akili itulizwe darasani.
Ni sawa kabisa. Hao wanao mpinga jpm wajiulize, watajisikiaje kuwaona watoto au dada wanashindwa kupaform class sababu ya mwingiliano wa ratiba za klinik na darasani !!?
 
Hivi unaijua "ile sehemu" kama unaujua hebu tueleze.
wapnzan wa tanzania huakama watoto mnapenda kushikilia vitu vdogovdogo sana afu point zenu n verry weak hazna mashiko yaaaan "ILE SEHEM" wapnzan ndo mmeiweka kua main topic [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtaelewa tyu
 
Sijaona shida kwenye hiyo kauli. Alichomaanisha ni kwamba, ANAYEYAFANYA HAYO AMEZIDIWA NA MBUZI UTIMAMU
 
Nashangaa wana makanikia leo wanamkana mwenyekiti wao. Hii ni hatari sana
Mliambiwa mseme ndiyooo hata mwenyekit akijamba
 
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
KWa mara ya kwanza Nyani Ngabu umempinga mwenyekiti wakoo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wajameni mimi nashukuru kwa kuwa kila mtz anasubiri noah yake kwa mgao wa Acacia .lakin nina ombi wanafunzi waliopataujauzito wakiwa shuleni Mkuu angewaonea huruma akawasomesha hata kwa pesa ya Escrow. SIJAONA HOJA YA MSINGI kuhusu kutomsomesha mwanafunzi wa shule aliepata ujauzito..et kisa mzazi..haki ya kupata elimu ni ya kila mtu pasina kujali umri,rangi,hali,upeo na nk.sasa haya yanayokuja leo naomba mkuu afikirie mara mbili.
Kunasababu nyingi nyuma ya hili la mwanafunzi kupata mimba utotoni. Kubakwa, umaskini uliokithiri..nk.pia mtoto anaepata ujauzito shuleni bado atabaki kuwa mtoto tuu mpaka atakapofikisha umri wa miaka 18. Tusiwanyime haki zao.watatulaani wao pamoja na vizazi vyao..mwisho hizo pesa za kusomesha watoto wa watanzania hatoki mfukoni mwa mtu.ni za watanzania wenyew.wew umepewa jukumu la kuwagawia tuu.wew somesha then waambie wenye pesa kuwa umesomesha wazazi wenzao..ikishindikana tumia ya escrow.
 
Baba akitukana hakuna maneno, tunasubiri watoto wakiiga kufikisha ujumbe!!

Okeeei ova!
 
Ni sawa kabisa mkuu ila tusubiri maoni ya viongozi wengine.Kwa mtazamo wangu suala hili lingeachwa mikononi mwa mwanafuni mwenyewe.Kama atapenda kuendelea na masomo baada ya kujifungua au la
 
safi kabisa mh Rais wakishindwa kujitunza watafute QT,shule sio za wazazi,wazazi watumie utaratibu wao uliowekwa,hizo NGO zinapiga hela hazina lolote.
Utaratibu wao upi!?
NGO hapa zinahusikaje,mkuu!!?
Mana wengi wa wanaharakati wa NGO's utetezi wao Ni kupunguza Na kudhibiti mimba shuleni.

Na ikitokea mschana akapata mimba wanashauri asitengwe ama kunyanyasika katika jamii apewe nafasi alee mimba yake, ajifungue Na akishakisha jifungua apewe nafasi ya kumalizia masomo pale alipoishia.

Na serikali zilizopita kabla ya awamu ya tano ziliridhia hili Na ziliunga mkono juhudi za NGO's katika hili.Hata baadhi ya mawaziri wa awamu ya tano wanaohusika Na masuala ya Elimu,afya,jinsia,wanawake, watoto Na tamisemi waliliskika Mara kadhaa wakitetea future za Waschana waliopata mimba kupewa frusa ya kuendelea Na masomo!!

Kabla ya kauli ya raisi hata wewe ulikaa kimya wala hukuwahi kujitokeza hadharani kupinga lkn kwa kuwa maamuzi ya watanzania waliowengi hufuata mitazamo ya wanasiasa wanao waamini ama ushabiki Na siyo weledi wa kitaalamu ndio mana Leo hii sishangai kuona mnashambulia NGO's kana kwamba hakuna kilichofanyika Na hakuna kinachofanyika.

Ushauri wangu serikali itamke Na iweke wazi kwa vitendo Ni utaratibu upi rasmi utatumika kuwapa nafasi wanafunzi wenye mimba badaa ya kujifungua kupata elimu.
Na si hao tuu hata wanaofeli darasa la saba, kidato cha nne Na cha sita.

Nasema hivi kwa sababu tukiwaachia wanasiasa waamue kila Jambo kwa hekima zao tuu,bila kuhoji hatima ya maamuzi yao siku mambo yakiharibika sisi wengi ndo tunaumia.
Ipo mifano mingi!! Mfano mzuri Ni madudu yaliyofanyika Sekita ya madini Na uwekezaji.

Elimu yetu iko ICU...watoto wanafaulu darasa la Saba kwa 80% hadi 90%
Wanafika sekondari wanafaulu 15% hadi 20% wengine woote wanafeli wanarudi mtaani bila vyeti wala weledi serikali Na wanasiasa wanakaa kimya,wazazi wanakata tamaa
Vijana wanakata tamaa tunabaki Na kizazi cha kulalamikia ugumu wa maisha Na kushabikia wanasiasa ama kuumizana.

Tunataka serikali ije Na majibu ya maisha ya watoto Na vizazi vijavyo.
Mana hawa watoto ndo wazazi wa kesho woote wakiwa mafundi Nani atakuwa daktari,mwanasheria ama mwalimu!!?
 
Hiyo kauli ni ya kuwanyanyapaa hawa watoto
Hujui unaloliongea,,,,, hovyo kabisa!

Ulimtuma mwanao shule akashike ujauzito?

Kama unataka wajukuu si umfungie tu ndani umletee hao mabwana wamtie mimba kulko kwenda kudhalilisha shule zetu?
Afu mbona private skulz hawashikagi ujauzito huko
 
Kulinda maadili yapi? Unajua unajifanya utasema Tanzania tuliwahi kua na kitu cha kujidai huko nyuma, hakuna hata kimoja, huko nyuma wazee walikua wanabaka tu wanawake bila consequences, hata leo hii vijijini ni hivyohivyo, angalau tena imepungua miaka ya hivi karibuni.

Tunang'ang'ania misingi ipi wakati hatuna lolote tumefata tunachojua miaka mingi toka tupate uhuru na bado nchi masikini ya kutupa. Watu eliku hawana, viongozi hata kusoma wengine hawajui. Hivi we unavyoona unaona tuna cha kujidai kweli? Toka nje uone.

Hizo nchi mnazosema watu wanatembea uchi nimeishi miaka zaidi ya 8 sasa, wadada kutembea na vikaptula vidogo sana vinabana hamna anayewasumbua, hamna ubakaji uliokithiri ka bongo, na watoto wana heshima, uvaaji wanaona kitu cha kawaida tu sio kukaa wanakodoa mimacho ka wabongo. Ila juzijuzi tu huko wametaka kumvua dada wa watu nguo mbele ya watu kisa kavaa miniskirt, kuna joto avae vipi sasa?

Yaani watanzania mmekaa kwenye bubble ya ujinga mko comfortable mnahisi the whole fckn world revolves around you, hamna cha kujidai Tanzania HATA KIMOJA, ni muda tubadilike tuige sasa mazuri wanayofanya wengine.

We unadhani kila aliyepata mimba alipenda? Dont be stupid, angekua mtoto wako ungejua uchungu wake ulivyo, sometimes shit happens, mlee mtoto vizuri na mpe elimu ajue jinsi ya kujikinga sio mnakaa kutoa adhabu za kipumbavu, sasa mdada aache shule, mkaka jela 30years, huyo mtoto anayeletwa duniani hivi ataishia wapi kama sio kuzoa takataka? Mama kazi hawezi pata, baba jela. Umeongeza watu watatu kwenye umasikini bila sababu ya msingi.

Akili ndogo. Mnaboa aisee
DUH AKILI KUBWA YA KUKAA KWA WAKAA UCHI MIAKA 8 ASANTE(NAHISI UMEKAA NA WACHEZA PORN MIAKA YOTE HIYO)! UNATAKA TUJIVUNIE KWA KUWA NCHI YA KUSOMESHA WAZAZI AU SIO AKILI KUBWA? AKILI KUBWA ISIYOJUA TOFAUTI ZA TAMADUNI ZA MAGHARIBI NA WAAFRIKA NA KUONA UMAGHARIBI NDIO BORA ZAIDI KWA KUA WANAYO HAYO UNAYO DEFINE KWA MATAZAMO WAKO KUWA NI "MAENDELEO" AKILI KUBWA INAYOSHINDWA KUJUA YOYOTE ANAEPATA MIMBA KATIKA HALI YA KUTOPENDA (MATHALANI KUBAKWA) ANA HAKI YA KUSHTAKI NA SHERIA INAWEZA KUMRUHUSU KURUDI MASOMONI KWA KIBALI MAALUM IKITHIBITIKA HIVYO! SASA SIJUI NJE YA KUBAKWA KUNA KUTOPENDA KWA AINA GANI AKILI KUBWA?? UNAULIZIA MAADILI YAPI UNATAKA KUYAJUA AKILI KUBWA? FANYA HIVI KAMA WEWE WA KIUME/AU KIKE MCHUCHUKUE SAME SEX PARTNER NENDA KAMTAMBULISHE KWA WAZAZI WAKO KAMA MKEO AU MUMEO HALAFU MFANYE HARUSI KABISA NA MUALIKE NDUGU NA MAJIRANI HAPA TANZANIA UNAYOSEMA TUKO BUBBLE YA UJINGA SAWA AKILI KUBWA HALAFU UTAJUA NINI MAANA YA MAADILI AKILI KUBWA! AKILI KUBWA HAO WAZEE WALIOKUA WANABAKA BILA CONSEQUENCES UNA USHAHIDI LABDA WA ARTICLE AU SOURCES YOYOTE ILI akili ndogo TUWEZE KUFAHAMU HIVYO VITENDO VILIFANYIKA WAPI AKILI KUBWA?? NCHI KWELI MASIKINI WA KUTUPA TANGU UHURU LAKINI UMASIKINI HUO HAUWEZI KUINGIA MPAKA KATIKA AKILI YA KUJUA ATHARI ZA KUFANYA MAAMUZI YA KIJINGA JAMII YENYE ATHARI YA SAIKOLOJIA MKUSANYIKO (mob psychology).UNATAKA UJUE TAIFA LINAJIVUNIA NINI AKILI KUBWA?? HILI SIKWAMBIII KWA SABABU WENYE AKILI KUBWA ORIGINAL WANAJUA TAIFA LINAJIVUNIA NINI. kama hii ndio akili kubwa basi kuna hatari ya kutawaliwa baadae na watu wa dizaini ya waziri mkuu wa luxemborg aliyekasirika kwanini basha wake wa kiume kakatwa katika picha ya ma first lady! note luxemborg nchi tajiri zaidi duniani
 
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.

Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Mimi naona rais haja kosea nisawa kabisa namuunga mkono kwa asilimia 150% mtoto umepelekwa shuleni kusoma sio kupata mimba utegemee kurudi shule

Sent from my H1 using JamiiForums mobile app
 
Contradiction.. Kama mwanafunzi wa kike ambae hajafikisha miaka 18, sheria inamtambua ni mtoto na hivyo mwanaume anaefanya nae mapenzi anachukuliwa kama amembaka, iweje sasa huyo anaetambuliwa kama mtoto na hana akili ya kuchambua maamuzi anayoyafanya na consequences zake leo aje kupewa adhabu kubwa simply tu kwa maamuzi (ambayo sheria inatambua ni ya kitoto), au kuiweka kisheria zaidi kwa kubakwa..?

Tumelogwa..
Tangu nchi hii ipate Uhuru hatukuwahi kuruhusu watoto wa kike wenye ujauzito kurudi mashuleni kuendelea na masomo kisheria. Hivyo kama wewe una NGO yako na ulichukua hela kwa Wazungu zirudishe hazina kazi au badiri proposal ili ujenge shule ya Wazazi, kama ni kurogwa umerogwa wewe. Wanawake wako wengi wamesoma kwa mfumo huo huo na hawakuharirika. Toka hapa usije kutuharibia Taifa.
 
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Hapo hakuna adhabu hapo. Ni upendeleo anaopewa binti kuendelea kufurahia kile binti amechagua kwa uamzi wake. Kama amechagua kuzaa aendelee kwa raha zake. Na nina uhakika kuna wale ambao hawapendi kusoma, saa hii ni kujilengesha tu apate ujauzito aishie anakotaka mwenyewe na mume wake. Pili ni haki ya mtoto aliyezaliwa kukaaa na mama yake anyonyeshwe vya kutosha na sio kuchwa kwa bibi zao. Nakubaliana, si utamaduni wa kitanzania wala kiafrika kusomesha shule ya msingi na sekondari wazazi katika mfumo rasmi ukiacha wa kujiendeleza. Hata Nchi za magharibi ambao ndio wanaojifanya wa haki za binadam, hawasomeshi binti mjamzito au mzazi. Pamoja na kwamba kwao mahusiano yanaanza mapema (boy/girl friend), lakini kwa kuwa hawataki kusomesha wazazi, wamehalalisha utoaji mimba kwa binti ambae anaona muda wa kuwa mama wa mtoto haujafika. Tembea ulaya yote na Amerika, hukuti wasicha wa rika la shule ya msingi na sekondari wakiwa na watoto japo ni wafanya ngono wakubwa. Ila ngono zao ni ama technologia inazuia utangaji mimba au kama ikitungwa ni halali kuitoa. Magufuli yuko sawa. Achana na NGO
 
You are right, yaani comments nyingine nasoma hadi napata kizungu zungu....huyo binti anayenyimwa kuendelea na shule anategemewa kumlea mwanaye hadi akue.....! akianza kuchuna mabuzi anabatizwa jina jipya "Malaya"
Mbona hata sasa hivi malaya wengi ni wasomi.
 
Atakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.

Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Na rais anachokisema ni wale wanaosoma kwa kodi za serikali. Wewe kama una bini yako unaruhusu atiwe mimba akuletee mjukuu uendelee kulea kisha kumpeleka private, JPM hana shida na hilo. Ndio maana anasema "siwez kusomesha wazazi" maana yake haitatoke kodi za wananchi kusomesha watoto ambao wanaacha kusoma na kwenda kufanya ngono, wapate ujauzito warudi darasani waendelee kutumia kodi za tulio wengi. Na wanaopeleka private si wengi kwa sasa. waulize wenye shule zenyewe saa hii, wengine wanatama majengo wafugie ng'ombe. Juzi tu mtu kachuka ada za watoto wa watu NEC college kasepa, hajalipa walimu miezi lukuki.
 
Back
Top Bottom