rrm72
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 508
- 300
Chadema Bwana, shiida sanaAnaropoka utadhani sifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema Bwana, shiida sanaAnaropoka utadhani sifa.
Nyie ndio mnalazimisha hata wasiotaka shule na walio feli waendelee na shule ili NGOS ziendelee kupata misaada ya wazungu bila kujari muda anaopoteza huyo mwanafunziSema wewe hujaona maana yake siyo sisi! Wewe unaona ni haki mtoto akipata ujauzito asirudi shule? Kwanini anyimwe haki yake ya kikatiba ya kupata elimu, kwanini apewe adhabu mara mbili. Halafu hujui tu hii ni kwa ajili ya watoto wa masikini wanaotegemea shule za serikali
Hawa wanaompinga JPM siwaelewi kabisa,eti wanamtetea mwanafunzi lakini hawamtetei haki za kichanga kitakachokuwa kimezaliwa. Mama akiwa shule haki ya huyo mtoto itapatikanaje?Taifa lazima Liwe na sheria tena zile ambazo kama Taifa litajuvunia. Mimba za utotoni sio maadili yetu .huku wazungu sio wanapata mimba hizo utotoni unadhani ni Serikali. Familia. Long lived traditions. Nk wee kazana kutetea ujinga
Hizi NGOS badala yakuhangaika na matangazo redioni,TV na semina hizo pesa wawafadhili hao wanafunzi wenye mimba kupata elimu katika tasisi nyingine inje ya mfumo wa shule za serikali. Watakuwa wamewasaidia zaidi kuliko wanavyo piga pesa za wafadhiliLakini adhabu kwa mtuhumiwa haimpatii msichana fursa ya kusoma. Watu naona mna-underestimate uzito wa kauli ya kiongozi mkubwa kama rais. Kama rais anawakomesha watoto kwa kuwanyima fursa ya kusoma, wazazi wa huko kijijini ambako mfumo dume umetawala watashawishika vip kuendelea kusomesha mtoto aliyepata ujauzito shuleni?
Kwa kifupi, rais kawapa kisingizio wale wote ambao wanasomesha mabinti kishingo upande na kwa kusuasua. Lazima tukiri, japo moyoni kuwa familia nyingi (tena baba na mama) wanaona fahari sana wakizaa watoto wa kiume tu, kuliko kuzaa wa kike tu. Kwa kauli ya rais, kasumba hii ya kishamba imepata mpiga debe mkuu.
Wait.... Anamaanisha hata akijifungua ni no kusoma? SijamwelewaHapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Kwani kusema neno kubakana au sehemu ni vibaya?
Hizi NGOS badala yakuhangaika na matangazo redioni,TV na semina hizo pesa wawafadhili hao wanafunzi wenye mimba kupata elimu katika tasisi nyingine inje ya mfumo wa shule za serikali. Watakuwa wamewasaidia zaidi kuliko wanavyo piga pesa za wafadhili
Nina uhakika wewe huna PhD. Na ulifoji cheti. Ukiona watu wana ongea PhD za watu hivyo ujue wao hawana.Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Kwa kuzingatia Masharti na Vigezo.Elimu ni haki ya kila raia wa Tanzania,awe na mimba au vinginevyo
Wapuuzi hawakosekani sehemu zote.. Na sifa ya kubwa ya mpuuzi, ni kuibishia hata sheria simply kwa sababu anaemshikia akili zake ameamua hivyo..Tangu nchi hii ipate Uhuru hatukuwahi kuruhusu watoto wa kike wenye ujauzito kurudi mashuleni kuendelea na masomo kisheria. Hivyo kama wewe una NGO yako na ulichukua hela kwa Wazungu zirudishe hazina kazi au badiri proposal ili ujenge shule ya Wazazi, kama ni kurogwa umerogwa wewe. Wanawake wako wengi wamesoma kwa mfumo huo huo na hawakuharirika. Toka hapa usije kutuharibia Taifa.
Nina uhakika wewe huna PhD. Na ulifoji cheti. Ukiona watu wana ongea PhD za watu hivyo ujue wao hawana.
Huumba kwa mabaya tu? Mbona akiongea mema hamsemi kauli yake itaumbaManeno huumba, hiyo kauli yake ya mwisho asishangae siku ikitimia
Mzeee wa kufyatua amefyatuka
Hujasikia hao hao wanafunzi wa darasa la sita mpk form one wako waliobakwa na baba zao.... so elewa zipo mimba zilizotungwa kutokana na huo USHETANI.... hlf warudishe kodi basi za wale walisoma baada ya kujifungua... unajua kuna many powerful women ambao walipata mimba bahati mbaya na leo wako serikalini .. umnyime elimu huyu halafu unatarajia mtoto wake ndo aje asome... au aje kua mzalendo kwa taifa hili... think againNinazungumzia wanafunzi. Baba kumbaka mwanaye ni USHETANI.
MTU Mzima kumbaka mtoto wa miaka miwili ni ufirauni. Adhabu zao zinajulikana.
Mjadala hapa ni wanafunzi wanaojitambua.