Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Mimi familia yangu haina ujinga kama huu wa kwako hasa uliozungumza leo kumhusu Mukandala.
Umeniprove wrong jinsi nilivyokuwa nakuchulia. Badilika,jiongeze upeo wa kufikiri na wa kutambua mambo.Bado huna jicho la kuangalia out of the box.Jitahidi kujifunza zaidi.

Ni kweli labda familia yetu na ukoo ina low IQ, lakin mimi nakuhakikishia kuwa mimi ni nondo.Najiangalia mimi as mimi.Weww unajiangalia ukoo huwezi kuamini kuna possibility kubwa wewe ukawa miongoni mwa wanaukoo wenye very low IQ licha ya wanaukoo wenu kuwa na high iQ
Ila sijayazidi yaliyopo katika Koo zako zote mbili bila kusahau Familia yako.
 
Hili ni onyesho na kielelezo cha ujinga Tanzania.

Hapa ndiyo tunaona mawazo na watu wanaomzunguka Mkuu. Hawana msaada kwake kwa sababu hawajui vitu (wana ujinga) au ni wanafki na wapo kulinda maslahi yao.

Ni aibu jambo hili linafanyika katika Chuo Kikuu na washiriki ni Maprofessa.
 
Jiulizeni kwanza, nani anae walipa mshahara!? Again, kwa watu tuliosoma Enzi ya mfumo wa chama kimoja (including these guys/professors) tunaelewa tulivyo elimishwa Enzi hizo, "chama kushika hatamu", "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm". Tuliosoma nyakati hizo chini ya hizo slogan halafu uwe umeajiriwa shirika la UMMA, haki ya nani ni lazima uwe na moyo wa chuma kuishi nje ya UNAFIKI.
 
Wengine wameaemaje
Wamesema Mzee wa chato ni mkombozi wetu kwa sera zake za viwanda na kwamba Tanzania tuna bahati ya kuwa na mtu kama yeye. Wamesema amefanya vizuri kuminya sekta binafsi na badala yake shughuli za uchumi ni vizuri zikaendeshwa na serikali badala ya sekta binafsi. Wewe hapo unaonaje?
 
Kwa tanzania kiwango cha uprofesa ndio kiwango cha juu cha ujinga, upumbavu na kushikiwa akili na ccm kwa level za dreamliner.
 
Nilitegemea kongamano litagusia mambo nyeti kwenye uchumi kama ajira, kilimo, viwanda na masuala ya kibiashara.
Lakini watu wamejikita kwenye kusifia tu na kusahau lengo ka kongamano.
 
Hotuba yako ilikuwa fair, umesema wazi uongozi haupimwi kwa quantity wala Nia ya kutenda pekee bali unapimwa kwa ustawi wa watu unaowaongoza, kuridhika kwao, furaha waliyonayo mitaani, uwezo wa kumudu maisha.

Kasema jeshi la polisi halitendi haki, halina uwezo linatumia mbinu zilezile zilizotumiwa na jeshi hilo enzi za awamu ya kwanza.

Akahitimisha kwa kusema hawezi kusema rais Magufuli kafanikiwa ama la.

Kwangu mimi prof. Mukandala amekuwa presenter mzuri zaidi ya wengine.
Quinine, ndiyo maana sikuja kwa sababu watu watasema kwa kuogopa after effects! hawatasema ukweli wanaouamini. Prof sawa amejaribu kama ulivyosema lakini ilibidi atoe definite conclusion: Amefeli, amefaulu, au 50:50 say 60% amefeli and (definitely 40% atakuwa amefaulu) something of that nature.
 
Back
Top Bottom