Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Mpaka muda huu kwa tathmini ya haraka haraka waliolitendea haki hili kongamano ni watu wawili mmoja ni muwasilishaji wa mada Profesa Mukandala na mwingine mshiriki wa kongamano ambaye ni Padri wa kanisa katoliki
Yule padri kapigilia msumari inch 1.5trillion maana nilihisi kongamano likiisha sio ajabu tukaambiwa amepotea akirudi nyumbani