Udhaifu wa Joni unapakwa rangi kwa kila aina ya ngonjera.Haaaaaaaaa Pro Kabudi anaongea ngonjeraa tu, eti Mao wa China hakusafiri daaah
Wamesema Mzee wa chato ni mkombozi wetu kwa sera zake za viwanda na kwamba Tanzania tuna bahati ya kuwa na mtu kama yeye. Wamesema amefanya vizuri kuminya sekta binafsi na badala yake shughuli za uchumi ni vizuri zikaendeshwa na serikali badala ya sekta binafsi. Wewe hapo unaonaje?
Ilipaswa afanye kama wenzake mfano prof.Mukandala,prof shivji alivyojibu.Ujinga wake ni upi???!!! Ulitaka wewe aseme nini...ingekupendeza wewe kama huyu Profesa angesema kitu gani???!!!
Yes katika eneo la viwanda amesema vyema hasa kuwakumbusha kuwa wakuu wasikimbilie kuongeza idadi ya viwanda na kujisifu kwa kuwa na idadi kubwa ya viwanda ambavyo vinaweza visiwe productive badala yake vianzishwe kweli viwanda ambavyo vitakuwa na mchango madhubuti na tija kwa taifaProf.Shivji pia Kajitahidi
Hakika namuunga Mkono Pro.. Hizi tafiti zingekua kwa lugha yetu wengi wangezisoma.. Utashangaa Mtu anasoma MA ya kiswahili (uzamili), tafiti inaandikwa kwa lugha ya kigenikuna tafiti nyingi sana ili zimefungiwa katika ngome za lugha na wenye ufunguo ni wasomi.
Kwaaa kwaaa kwaaaaaa.Jamaa anacheka na kupiga makofi peke yake wakt kabudi anampamba ndio atakayo hayo
Hili ni onyesho na kielelezo cha ujinga Tanzania.
Hapa ndiyo tunaona mawazo na watu wanaomzunguka Mkuu. Hawana msaada kwake kwa sababu hawajui vitu (wana ujinga) au ni wanafki na wapo kulinda maslahi yao.
Ni aibu jambo hili linafanyika katika Chuo Kikuu na washiriki ni Maprofessa.
Ndiyo mkuu ni KM 300 kumbuka hiyo Reli inazinguka sana.
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=16&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwiR89qW7bLeAhVpCcAKHZQrAr4QFjAPegQIAhAB&url=https://ppra.go.tz/index.php/news-archive/547-jpm-launches-standard-gauge-railway-project-2&usg=AOvVaw2NvuhoFTS4_ays1983rchP
God bless that Padre! He talked more sense in two minutes than all the professors put together. Shame on them!Padre Kitima wa Baraza la Maaskofu anasema
Kuna tatizo kwenye tume ya Uchaguzi naomba iongelewe
Kuna tatizo kwa watendaji wa chini wananyanyasa wananchi mfano Wakuu wa Wilaya
Uchumi umekuwa lakini kwa wananchi haionekani. Sekta binafsi ijengwe ambayo itasaidiana na Serikali. asanteni
****naona mapadre wamegoma kuwa manamba... kama walivyo baadhi****